Serikali kukubali Katiba kuwekewa viraka Dodoma maana yake ni hii...

Ibada ya mazishi kwa marehemu hufanyika sio kqa faida ya marehemu maana hasikii wala haoni ila kwa faida ya waliobaki.

Wanaomsema Marehemy wanafikisha ujumbe kwa waliobaki wajisahihishe.
 
Tundu lisu mtu mwenye hulka ya allogancy awe amiri jeshi, mbona tutakoma.
Fatilia kazi zake mahakamani ni mtu wa watu. Amekuwa wakili.wa miaka nenda rudi mahakama kuu ametetea wanyonge bila kulipwa kitu chochote kesi maelfu kwa maelfu.

Kosa la Lissu ni kujua mambo kwa ufasaha na uwezo wake wa kuyawakilisha kwa jamii.
 
Dunia inaenda kasi sana, msitegemee mabadiriko yoyote kutoka kwa FISI WA CCM.

fisi ni FISI tu hawezi kuwa KONDOO.

kiufupi Ccm nzima hakuna kiongozi bora, bali watawala wenye wasiwasi wasiokuwa na matumaini ya kesho kisiasa. Ndio maana hawana siasa za kuvumiliana.
 
.......Tunapendekeza hivyo kwa sababu huu ndio utaratibu ambao CCM na washirika wake wameamua kuutumia ili kushona kiraka kingine katika Katiba ya sasa.

Kama ni sahihi kwa CCM na washirika wake kufanya mikutano na makongamano yanayohusu kushona viraka vingine kwenye Katiba ya sasa, haiwezi kuwa haramu kwa CHADEMA na washirika wake kufanya mikutano na makongamano ya aina hiyo kwa ajili ya Katiba Mpya.

Hiki Ni kipande muhimu sana
 
Maisha yamewapiga.Saizi kipato kwa Amsterdam kimeshuka ,Ulaya yote inakabiliwa na mfumuko mkubwa wa bei kila kitu Kiko juu kuanzia gas hadi mbolea.
 
Watu wenye akili duniani...Lisu the Great!
 
subiri hotuba hangaya ya kuchosha ya kujenga madarasa
Hotuba ya Rais kama kawaida ni ya maendeleo,Sasa hapa huyu mke wa Amsterdam anahutubia au kaandika malalamishi na tuhuma hewa?

Kwanza anaonekana ni mjinga unawezaje ku ignore mradi ambao tayari zaidi ya til.15 zimezikwa eti auache Ili pesa zipotee? Nimeshamdharau.
 
Warudi tuliamshe dude,
 
Lissu awe makini sana, sidhan Kama nchi hii ni salama sana kwake!!

Amshukur Mungu kumpa uhai mpaka leo hi, ila asifanye haraka!!

2022-kazi iendelee
Lisu should not come by now! Uhai wake Ni muhimu kuliko 99.999% ya hao watu unaowafikiria wa nchi ya kusadikika
 
Lissu awe makini sana, sidhan Kama nchi hii ni salama sana kwake!!

Amshukur Mungu kumpa uhai mpaka leo hi, ila asifanye haraka!!

2022-kazi iendelee
Mshale nimekuadmire bure kabisa.Asante kwa andiko zuri!
 
Hii ndio hotuba ya Taifa,

Kama kuna mwingine anataka kuhutubia, asubiri mwakani.

Imeisha hiyo.
Upuuzi mtupu. Lissu ni msomi lakini hana maarifa. Pengo la Dr. Slaa halizibiki Chadema. Chama kimebaki na wahuni watupu!
 
Fatilia kazi zake mahakamani ni mtu wa watu. Amekuwa wakili.wa miaka nenda rudi mahakama kuu ametetea wanyonge bila kulipwa kitu chochote kesi maelfu kwa maelfu.

Kosa la Lissu ni kujua mambo kwa ufasaha na uwezo wake wa kuyawakilisha kwa jamii.
Unajua Pythagoras anafaa kutetea watu unapompa madaraka na yeye kuwajibika mojakwamoja ni tofauti na kuangalia we gine wanaendeshaje nchi.
 
Sijui kwanini CCM hawapendi Watanzania tulio na akili kubwa!

Mtu kama TAL kutotumiwa na nchi, ni uharamia mkubwa wa kutomshukuru Mungu Muumba kwa ukarimu wake wa kutupa Tanzania watu kama Lissu.

Kutomtumia Lissu ni ukosefu wa shukrani kwa Bwana Mungu wa kiwango cha SGR.
 
Spika Makinda aliujuwa umuhimu wa Lisu na alimsaidia sana kwenye kupitisha kanuni bungeni.
 
we acha tu. Ukishakuwa na akili za kujielewa na ukawa hununuliki basi wewe ni adui yao.

Akina Lusinde wanajua TL ni Mtu makini sana. Tatizo hanunuliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…