Tetesi: Serikali Kumtoa 'Kafara' Mkurugenzi Korogwe kwa Kuiaibisha

serikali haiwezi kumtoa kafara huyo, mda si mrefu utasikia ni mkuu wa mkoa sehemu fulani, hayo ndo mambo mkulu anayapenda bwana.
Watu wasitafute mchawi hapa!Tatizo ni maelekezo ya Magufuli kuwa MKURUGENZI ATAKAYERUHUSU UPINZANI KUSHINDA AJIHESABU HANA KAZI....!Katika mazingara kama hayo tunategemea nini toka kwa DEDs???
 
Hukumsikia Maradona akisema hivyo, wewe vipi? Maradona 'Hand of God' goal 1986 World Cup.
Kati ya Mungu na Maradona wewe unalinganisha, sio!!!!
Jitathimni acha kulinganisha hip upuuzi. Kama Maradona alisema ni goli la mkono wa ni kwa nini tangu kipindi hicho, Argentina haijawahi kuchukua kombe la Dunia? Ni Kwasababu alimsingizia Mungu, hivyo Mungu alishusha Laana Juu ya taifa hilo Kwa kuwa goli la udanganyifu aliligeuza kuwa goli la Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…