Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Ha ha ha, mbona unapanick?Sasa si umeshikwa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha, mbona unapanick?Sasa si umeshikwa wewe
Kumshinda huyuHa ha ha, mbona unapanick?
Ongeza picha nyingine, hii haitoshi.Kumshinda huyuView attachment 844342
Mazuzu wenzioOngeza picha nyingine, hii haitoshi.
Watu wasitafute mchawi hapa!Tatizo ni maelekezo ya Magufuli kuwa MKURUGENZI ATAKAYERUHUSU UPINZANI KUSHINDA AJIHESABU HANA KAZI....!Katika mazingara kama hayo tunategemea nini toka kwa DEDs???serikali haiwezi kumtoa kafara huyo, mda si mrefu utasikia ni mkuu wa mkoa sehemu fulani, hayo ndo mambo mkulu anayapenda bwana.
Ongeza nyingine. Zipo nyingi tu mtandaoni, hii moja haitoshi.Mazuzu wenzioView attachment 844345
Usimlinganishe Mungu na upuuzi uwe na heshimaHuo ni mkono wa Mungu, hukumsikia Maradona?
Hukumsikia Maradona akisema hivyo, wewe vipi? Maradona 'Hand of God' goal 1986 World Cup.
Mtu mwenyewe anajiita magonjwa mtambuka naona ndiyo yanavuruga hata ubongo.Ongeza picha nyingine, hii haitoshi.
Very soon waganga wa kienyeji wataanza kuadopt kibwagizo cha Jaji kama ilivyokuwa kwa akina Prof. Majimarefu. Majaji wetu ni hovyo kwelikweliHivi yule mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ni Jaji kweli , au ndio wale wale akina Mutungi ?
Wewe mbona unajiita Ss Jr lakini mimi silalamiki?Mtu mwenyewe anajiita magonjwa mtambuka naona ndiyo yanavuruga hata ubongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya Mungu na Maradona wewe unalinganisha, sio!!!!Hukumsikia Maradona akisema hivyo, wewe vipi? Maradona 'Hand of God' goal 1986 World Cup.
Kwa nini nisilinganishe. Hujui kuwa Mungu aliumba binaadamu kwa mfano wake, au husomi Biblia?Kati ya Mungu na Maradona wewe unalinganisha, sio!!!!...
Nimeoji mara kadhaa, udaktari wa Kihamia ni wa nini.Hivi yule mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ni Jaji kweli , au ndio wale wale akina Mutungi ?