Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Duru za ndani zinasema kitendo cha Mkurugenzi Korogwe cha kutumia mbinu ya kukataa kupokea fomu akidhani mbinu hiyo itampa credit kinaelekea kumponza baada ya CUF Lipumba nao kuja na lawama zinazofanana na Chadema hivyo kuipa nguvu hoja ya msingi kuwa aliamua kufanya unyang'anyi wa wazi kuisaidia CCM.
Duru hizo zinasema kitendo hicho cha aibu kimewafedhehesha kwa namna ambayo wao hawakutaka I we hivyo kwani baada ya Ubalozi wa Marekani na washirika wao kuongeza kutupia macho chaguzi zetu na changamoto zinazotokea Uganda hali itakuwa mbaya zaidi kama kuweka chumvi kwenye kidonda.
Sikieni na kauli ya CUF Lipumba nayo muone DED Korogwe alivyo likoroga.
Sent using Jamii Forums mobile app