Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hii biashara Rostam hayupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hafiki May mosi akiwa Waziri wa KilimoBig boy mmoja ndio bosi wake.
Big boy mwingine ni rafiki wa bosi wake.
Mabig Boyz weeengi ndio maswaiba wa mabosi wake.
Ngoja tuone sinema.
Huyu yeye ana sema hakuna shida ya sukari kabisaKwani waziri wa Viwanda na Biashara anasemaje?
Yawezekana Tatizo ni kubwa zaidi[emoji209]
Majangili yananufaika haswaHYO JEURI HANA.SIJAONA SBB YA KULINDA WAWEKEZAJI WACHACHE HUKU UNAUMIZA WANANCH WENGI.SUKARI IAGIZWE VIBALI VITOLEWE SASA HV SUKARI TOKA ZAMBIA NA MALAWI INAJAA HAPA NCHN
Ina maana Malawi na Zambia hakuna mvua?Wakafie mbele huko. Kama ni syndicate ya kututesa wananchi kwa kulangua sukari acha ife tu. Tunduma sukari ni 2500/- lakini ukifika Mbeya mjini ni 4800. Kwa nini watu wateseke? Wafungue mipaka sukari ya Zambia na Malawi ije kwa wingi bei zishuke.
Si kwamba waziri anataka kuiua sekta fulani.Inafikirisha sana Waziri wa Kilimo anaapa kabisa lazima aiue sekta Fulani ya Kilimo?
Huyu waziri inabidi afutwe kazi ameshindwa kudeal na chanzo cha tatizo la kupanda.bei ya sukari
Kwani waziri wa Viwanda na Biashara anasemaje?
Yawezekana Tatizo ni kubwa zaidi🐼
Yaan kazingua, tuwe tegemezi nje hata Kwa sukari? Siku wakiamua hao wa nje hatutoi sukari tunywe chai bila sukari?Chain ya sukari imebeba watu wengi ikiwemo wasio na makosa. Bashe hawezi kuharibu maisha yao kisa Serikali kushindwa kutimiza wajibu wao wa kudhibiti bei. Anajigamba kabisa mwaka mmoja mashamba yote yatakufa, hamna mtu hapo..
Si kwamba waziri anataka kuiua sekta fulani.
Waziri anawaambia watu wa kwenye hiyo sekta waache kupenda kubebwa na protectionism, ni muda kwa kushindana na bei ya sukari kutoka nje.
Waliosoma uchumi wanajua kitu kinaitwa "competitive advantage".
Anachosema Bashe ni kwamba, kama Tanzania hatuna competitive advantage katika sukari, sukari yetu ina gharama ya juu zaidi kuizalisha, tuseme labda tunazalisha kilo moja kwa shilingi 6,000, wakati wenzetu wanaweza kuzalisha kilo hiyo kwa shilingi 3,000, hapo labda inawezekana ikawa busara kuacha kuzalisha sukari, tuagize ya nje, na hiyo ardhi ya kulima sukari tulime mpunga.
Hapo hatuna "competitive advantage" katika kutengeneza sukari.
Kauli hii pia inaweza kuwa silaha ya kisiasa, kwa mfano, ikiwa waziri anajua kuwa wafanyabiashara wa sukari wanapandisha bei kwa hila, na wanaweza kabisa kupunguza bei ikawa sawa na ile ya sukari kutoka nje ya shilingi 3,000 , kwa kupunguza gharama za uzalishaji na kuondoa upandishaji bei wa kiholela wa kutafuta faida tu, kauli hii inaweza kutumika kulazimisha wadau wa sekta ya sukari kupunguza bei.
Bei ya sukari Tanzania haipo juu naturally, ipo juu artificially. Ndiyo maana sukari ya nchi jirani kama Malawi bei yake iko chini zaidi.
Serikali inafanya kitu sahihi kuruhusu sukari ya nje ije kushindana na ya ndani kwenye soko.
Hili jambo lilitakiwa kufanyika zamani sana. Naona kama wamechelewa.
Anaweza akang’ooka yeye !Bashe hawezi kupambana na hawa jamaa hiyo cartels kubwa yenye mapapa
Akifanya atakua kafanya Jambo zuri,uhuru wa manyaniChain ya sukari imebeba watu wengi ikiwemo wasio na makosa. Bashe hawezi kuharibu maisha yao kisa Serikali kushindwa kutimiza wajibu wao wa kudhibiti bei. Anajigamba kabisa mwaka mmoja mashamba yote yatakufa, hamna mtu hapo..
Kwa Bashe anachofanya ni tofauti na anachotakiwa kufanya mtu aliye kwenye malipo kutoka kwa wenye viwanda.Mawaziri na mamlaka husika zinajua hatua ya kuchukua, nnacho ona ni kuwa wanaweza wawe kwny malipo kutoka kwa wenye viwanda.
Hili linawezekana,KAGERA sugar,kilombero, bakhressa nk.. powerfulAnaweza akang’ooka yeye !
Jamaa mmoja aliongea kwenye Radio moja kwenye malumbano ya hoja kwamba hao ma-cartels wa Sukari ni kama wa Ngada ! So powerful !
Kwa kukosa sukari!!?..unashindia keki!?mpaka June tutakuwa tumepigika vya kutosha
Kwa Bashe anachofanya ni tofauti na anachotakiwa kufanya mtu aliye kwenye malipo kutoka kwa wenye viwanda.
Kwa sababu Bashe anataka kufungua soko zaidi ili wenye viwanda wapate ushindani zaidi kutoka sukari ya nje.
Mtibwa,kilombero, KAGERA vilikua vya serikali..wazalishaji sukari nje wengi,hakuna wa kusema hatuletei sukari,kuwabana wadau wa ndani imeshindika aYaan kazingua, tuwe tegemezi nje hata Kwa sukari? Siku wakiamua hao wa nje hatutoi sukari tunywe chai bila sukari?
Binafsi naona kazingua. Serikali ingejikita katika viwanda vyake na mashamba kama JPM alivyoanza na kiwandà Cha Mkulazi ambapo wao saiz baada ya kufa mwamba wanatafuta mbia, muwekezaji.
Hatua gani!?..kupeleka miswada maana yake kishaandaa,hawatishiKwahiyo anasema hadharani hayo ili kuwatisha wenye viwanda ili wamwone au waongeze dau, kwa maana ya kwann asichukue hatua at first place ili wakilalamika yy ndiyo aje na haya majibu?
Anasema anapeleka muswada bungeni kuruhusu sukari ya nje kwenye soko.Kwahiyo anasema hadharani hayo ili kuwatisha wenye viwanda ili wamwone au waongeze dau, kwa maana ya kwann asichukue hatua at first place ili wakilalamika yy ndiyo aje na haya majibu?