Serikali kutumia kigezo cha kujitolea kuajiri Walimu siyo haki

Uwongo km 2000 wapi acha izo ww akuna distance ya km 2000 kwa tz hapa hata kutoka mtwara mpaka bukoba co km 2000ni km 1700..
Jamaa kaongea tu kimihemko kuonesha ni Mbali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakini pia nashangaa mwalimu wa physics anakosaje ajira mpaka anajitolea????? How yani....
 
Kuna habari gani mpya kuhusu walimu wanaojitolea ku submit taarifa zao manispaa?
 
Mchakato huu umeanza tena! Wakuu wa shule, maafisa elimu kata, ma-DEO na ma-REO wanachomeka ndugu zao kwenye orodha taarifa zinatumwa TAMISEMI! ambao hatuna connection kazi tunayo!
 
Mchakato huu umeanza tena! Wakuu wa shule, maafisa elimu kata, ma-DEO na ma-REO wanachomeka ndugu zao kwenye orodha taarifa zinatumwa TAMISEMI! ambao hatuna connection kazi tunayo!
Mtindo utawakosesha fursa vijana wengi ambao hawana uwezo wa kujitolea (kwa kukosa nauli/ndugu wakaao karibu na shule akuhudumie)

Wange ajiri kufuata miaka waliyo hitimu,ingesaidia sana vijana wetu.
 
nilivyosikiatu mchakato et8 mpaka waliojitolea nikaona kabisa hapo itakua yale yale ya hanani hanan akiulizwa haungami.kuna sabab nyung sana huwa zinakwamisha mtu kujitolea.leo aliyejitolea ndio anapata.dili waz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana. Nchi ya Wabaguzi kuliko hata Ubaguzi wa Makaburu enzi zile.
Ushauri: Dada yangu mpendwa kama umesikikiza hotuba ya Mhe. Rais Samia jana KIPAUMBELE KWENE AJIRA NI WANAWAKE ......Kama viongozi Tamisemi mkoa or Wilaya wanazingua nenda Dodoma TAMISEMI HQ, onana na Waziri au KM. Wakizingua nenda Ikulu kwa Samia mwenyewe. Toka 2017 ni muda mrefu sana usije ukazeeka bure dadake...!!!
 
nilivyosikiatu mchakato et8 mpaka waliojitolea nikaona kabisa hapo itakua yale yale ya hanani hanan akiulizwa haungami.kuna sabab nyung sana huwa zinakwamisha mtu kujitolea.leo aliyejitolea ndio anapata.dili waz

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Sera(Policy) ya kwamba mtu akimaliza Chuo kwanza ajitolee ndipo aje aajiriwe imeanza lini??
Wabunge wetu walihoji swala hili Bungeni kwa Prof. Ndalichako sio wanakula posho tu, kushambulia wapinzani na Maptofessors!!!
 
Zipo mkuu! Msikilize hapa silinde anachokisema!
View attachment 1761171
Kwa hiyo wanaojitolea ndio Wazalendo nchi hii? Huyu Silinde malaya wa kisiasa anatumia sheria au kanuni ipi kama sio ubabaishaji mtupu??
Basi Serikali ilete muswada wa kutunga Sheria ya Kujitolea kwanza unapotoka Chuo.
Angalizo: Serikali instengeneza Ubaguzi wa mchana na inaweza kusababisha mtafaruku kwa Wahitimu wote wa kutokea 2016/17!!!
 
Ajabu! Silinde mwenyewe hajawahi kujitolea ila leo anaona fahari kuwambia vijana wenzie tujitolee! Hajui hata shida tunazopata na zinazotufanya tushindwe kujitolea ila kisa amepewa cheo basi anatamka lolote analoona kwake ni sahihi!! Ama kwa hakika maskini akipata makalio hulia mbwata!
 
Ajira zenyewe kiduchu lakini makelele na vigezo kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…