Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Angalau shukuru kwa hilo maana ana uhakika wa kila mwisho wa mwezi kwenda kuigusa ATM
Hii Serikali wasanii tu. Mke wangu ni Mwalimu wa Physics alikuwa anajitolea kufundisha shule moja kwenye Municipal moja,ajira zilivyotangazwa headmaster wa hiyo secondary akamuandikia recommandation kwamba anamuhitaji na ikipitishwa na DED. Ajira zilipotoka akapangiwa mkoa wa mbali huko yaan 2000km kutoka tulipo tena vijijini hata network ni shida. Kuna classmate wangu yupo TAMISEMI kanihangaikia ili abadilishiwe kashindwa anaambiwa ni maagizo kutoka juu hakuna kubadilisha. Hiyo ilikuwa 2017.