Serikali kuunda Tume za Uchunguzi na kutoweka wazi matokeo ya uchunguzi wake inamaanisha inawalinda wahusika?

Black Butterfly

Senior Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
130
Reaction score
368
Katika nchi zenye idadi kubwa ya Tume za Uchunguzi huenda Tanzania ikaongoza, karibia kia tukio baya iwe Wizi, Mauaji, Uhaliifu wa Kawaida, Uhalifu Mbaya, Ajali za Moto, Magari, Majengo, Vifo vyenye Utata, kote huko tumeshawasikia mara kadhaa viongozi wa nchi hii hadi wale wa ngazi ya juu kabisa wakiagiza Tume ziundwe.

Lakini sasa cha ajabu hakuna Tume huwa inarudi na majibu ya kueleweka nyingie ndio huwa zinapotelea huko huko kabisa. Huu utaratibu unakera sana, hapa ndio namkumbuka Hayati Magufuli aliwahi kumwambia IGP mstaafu Simon Nyakoro Sirro kuwa Jeshi lake liwaone Watanzania ni wajinga.

Ndio, Magufuli alikuwa sahihi kutamka kauli hiyo kwasababu kwa hali ilivyo ni kama viongozi na watoa maagizo hao wanawaona Watanzania matabulalasa na wasiokuwa na kumbukumbu yoyote, kwamba litatokea jambo lipigwa danadana na litapotea bila maelezo.

Ifikie wakati Viongozi wajue kwamba hatusahau maagizo yao kwasababu matukio yanayopelekea kuundwa kwa Tume hizo huwa yanakuwa na maumivu au makovu kwenye akili na mioyo yetu kwa muda mrefu ni ngumu kuyasahau hivyo wasitupuuze kwa kudhani tumesahau hapana. Sisi tunachukulia hivyo hivyo kuwa wanatudharau kwasababu hatuna Dola au cha kuwafanya.

Viongozi watambue kuwa kukaa kimya kwa Tume zinazoagizwa kufanya Uchunguzi wa matukio nchini wananchi tunachukulia kuwa Serikali inawajua wahusika na huenda ina mahusiano nao hivyo inawalinda kwa kutoweka wazi matokeo ya Uchunguzi.
 
Wanachunguza wakishapata majibu wanajikuta na wao wako kwenye list😀😀
 
Tatizo hata mkipewa majibu baada ya uchunguzi huwa mnayapinga, mfano mzuri ni kupinga majibu ya ile tume iliyokuja na majibu kuwa kinyesi cha mifugo ndiyo kimesababisha samaki kufa kwenye chanzo cha maji na wananchi kupata athari za kiafya.
Hii inachagizwa na Wananchi kuwa tayari wana majibu vichwani mwao na kupuuza majibu ya timu ya wataalamu wa field husika jambo ambalo linawakatisha tamaa na kuona bora waishie kupeleka ofisini tu bila kuweka hadharani ili wahusika wachukue hatua stahiki.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom