Serikali kuwapatia viwanja Polisi ili wasifedheheke wakistaafu

Serikali kuwapatia viwanja Polisi ili wasifedheheke wakistaafu

Hao wasenge kwani hawapati salary? Who are they? Acheni ushenzi nyie serikali
 
ili bunge la sasa lina mambo ya kipuuzi sana , sasa hoja gani hiyo,
 
Hii nchi inashangaza sana yani limtu kama Muroto na majigambo yote yale linakua hata halina kibanda baada ya kustaafu loh, na kwa jinsi yalivyo na roho mbaya yanatakiwa yakistaafu yasipate hata wa kuyatembelea wale jeuri yao ,wanapokua kazini wanasahau kama na wao ni binadamu na watafika kipindi watarudi kwenye jamii
Ndio maana ma wananchi yatazidi kuburuzwa yaani Serikali itumie kodi zao kuyalipa mapolisi Salary na maposho,mapolisi yanabambikia watu kesi,mapolisi yanachukua rushwa eti tena yapewe viwanja kwa kodi za wananchi?

Miwananchi isipokomaa kuyapiga chini maccm itaendelea kukandamizwa hadi akili ikae sawa
 
Ujinga mtupu, kwani police hawapati mshahara!?
 
ni utaratibu mzuri ila serikali ingeanza na waalim alafu ndiye wafuatie hizo kada nyingine!
 
Ndio maana ma wananchi yatazidi kuburuzwa yaani Serikali itumie kodi zao kuyalipa mapolisi Salary na maposho,mapolisi yanabambikia watu kesi,mapolisi yanachukua rushwa eti tena yapewe viwanja kwa kodi za wananchi?

Miwananchi isipokomaa kuyapiga chini maccm itaendelea kukandamizwa hadi akili ikae sawa
Ujinga sana na juzi Rais anamwambia Siro afute kesi za kubambika anamjibu eti apewe miaka miwili yaani nchi hii, na bado anaendelea kuwa IGP tu
 
kulingana na jinsi kazi yenyewe inafanywa k’laana laana hata mkiwapa viwanja watafedheheka tu Mungu hataniwi...
 
Polisi pekee ndiyo watumishi nchi hii?

Walimu na mishahara yao duni hawahitaji viwanja? Hawahitaji unafuu wa bei?

Kupanga ni kuchagua hao wanaoadhirika wakistaafu, hawakujipanga.

Tuache upendeleo kwenye kada fulani.

Everyday is Saturday 😎
Usiteseke mkuu,nasikia wakati wa kustaafu: kama polisi atachukua pensheni ya 50m,mwalimu anavuta 100m.Usiteseke kabisa,hivi unajua polisi akishapata ajira humchukua miaka 12 ili kuingia katika mfumo wa pensheni?
Hivyo kwa kwakuzingatia hayo serikali imeamua kuwakwamua hawa walinzi wetu ambao wanaishi maisha magumu sana.
 
Wapewe watumishi wote wa serikali, police wanafedheheka kwa sababu ya laana ya pesa za dhuluma na uzembe wao wa kutoona kesho na sio sababu ya kipato.Mwalimu hana marupurupu wala posho kama ilivyo police ni mshahara tu lakini mbona wao awafedheheki baada ya kustaafu jibu wanaona kesho yao kwa kidogo hicho hicho.
Yaani mtu uendekeze kufungua chupa na zipu then uje kusaidwa tena uzeeni.
 
Naona ccm imeamua kuwafadhili wanaowaweka madarakani,tuwakumbushe watumishi wa umma sio police pekee.
 
Mtumishi kufedheheka baada ya kustaafu kapenda mwenyewe.Yaani hata kununua pori ujanani baada ya miaka 40 ya kustaafu inakua ni mji na sio pori nako kukushinde.Huu ni uzembe wa maisha inatakiwa uchapwe viboko kabisa.
Punguza bia ongea tofali.
Bia moja ni SAwa na tofali 2 kwa mwaka umekunywa tofali ngapi
 
Sisi wamaofisini kukoroga chai hatuna sifa yakupewa viwanja?
Kura mbona huwa tunapigia kijani
 
Back
Top Bottom