Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
👇👇👇