Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho zinawauma mnaona inakuwa vigumu kuwadhuru😂😂😂😂hawa niwalinzi binafsi wa ChairmanSheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
👇👇👇
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Kwani wapo?
Shida ya ccm wote akili zenu kisoda,jitie dole upunguze wivuSheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Unachopost kinaonesha uwezo wako wa kufikiri
Kuuuma la mmko, na CCM kua na kundi la vijana wakakamavu ni nini ?Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
👇👇👇
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Ni sahihi kabisa.Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
👇👇👇
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.