Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

Sheria haikatazi walinzi binafsi, lakini pia kumbuka tulisikia kutoka kwenye viunga vya pilato watu wakishuhudia kuwa vijana hao walifurushwa ukomando na kutelekezwa mitaani wengine wakifanya kazi ya kuponda kokoto! Sasa wakipata kazi nzuri shida ipo wapi?
Mungu alisikia kilio chao walipokuwa huko kwenye kuponda kokoto, akawainua na kuwapa umaarufu zaidi na sasa wanazidi kupaishwa zaidi kutokana na kesi ile ya Michongo. Kwa kweli acheni Mungu aitwe Mungu, ana njia zake, ila kabla ya mafanikio lazima akupitishe kwenye tanuru lake na akuimarishe zaidi...weupe wana msemo wao, diamond is carbon formerd under a high temperature and pressure. Na ndio inayopendwa zaidi kuliko dhahabu. Na kwa sasa hiyo diamond ndio hao Makomandoo wa Mbowe. Sijui akina ulio wanajisikiaje kwa sasa.
 
Ni sahihi kabisa kwa mujibu wa sheria za vyama vya siasa.
Ila tatizo ni kwamba siasa za nchi yetu ni za kulindana na kulinda maslahi binafsi.
Na hata chama tawala wapo vijana wa green guard, wengine wanawaita wa kwao white guard nk.
Hapo shida ni utekelezaji wa sheria. Kama kuna siasa za amani, makomando wa ulinzi na usalama wana umuhimu gani? Kwanini kujihami? Bila shaka maswali ni mengi!
Kwa mazingira ya siasa zetu za kishamba, sheria hii haitekelezeki. Anayetakiwa kuwa kiranja kuhakikisha sheria hii inaheshimiwa ndiye wa kwanza kaanzisha kikundi chake. Kuwazuia wengine wasianzishe vyao ndio ile double standard ambayo mwisho wake ni vurugu tu na kutoelewana!
 
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.

Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.

Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.

Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu

👇👇👇

View attachment 2157029
View attachment 2157030

View attachment 2157031
Tangu mentor wenu aondoke mnateseka sana. Na bado
 
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.

Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.

Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.

Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu

[emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2157029
View attachment 2157030

View attachment 2157031
acha use...e
 
Kwani wapo?
Wapo sema tu hawaonekani kwa kuwa shughuli za CCM zinapata ulinzi wa kutosha kutoka jeshi la Polisi hasa ukizingatia viongozi waandamizi wengi wa chama pia ni viongozi wa serikali hivyo jeshi la polisi linajikuta linafanya kazi 2 ya kulinda viongozi wa chama wakati huo huo kulinda mabosi wao wakati ukweli ni kwamba kwenye kusanyiko lolote la watu wengi hata kama sio la kichama au kiserikali, polisi wanapaswa kutoa ulinzi
 
Daah yaani hizi drama za bongo hizi mtu usipokuwa makini unaweza jikuta unatembea kichwa chini miguu juu.
 
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.

Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.

Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.

Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu

👇👇👇

View attachment 2157029
View attachment 2157030

View attachment 2157031
Wakati dayamondi na hamonaizi wana walinzi hukuongea hayo
 
Back
Top Bottom