Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

Tuliza jampio lako
Utakufa muda si wako.Relax.Tupo tunaomboleza vifo vya wenzetu Moro usije ukafanya tukaumia zaidi tukijutia katika hao 22 angepona mmoja then umreplace wewe
 
Haya kavae pampasi
 
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.

Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.

Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.

Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu

👇👇👇

View attachment 2157029
View attachment 2157030

View attachment 2157031
Vipi ulikuwepo chato kwenye sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja toka kipenzi chenu apaishwe mawinguni?
 
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.

Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.

Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.

Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu

[emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2157029
View attachment 2157030

View attachment 2157031
Unahangaika sana na chadema huna kazi zingine za kufanya?
 
Back
Top Bottom