Muite Kingai akurindeSheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Ni sahihi kabisa kwa mujibu wa sheria za vyama vya siasa.Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimewela wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
πππ
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Anaweza kuwa msomi tu, lakini mrengo wa chama chake ukamfanye aonekane boya!!!Umeishia la ngapi?
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
πππ
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
πππ
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Nimemvalisha dada yako.Unajisahaulisha kwamba nimemuoa dada yako?Likizo uje uwe unafungia mbuzi kwenye majani yaliyonawiri.Tunakupenda kwa ukarimu wako.Dada yako kanisisitizia nikutumie nauli uje.Umevaa shanga?
Kwani kikundi kinaanzia watu wangapi?Sioni kikundi hapo naona watu watatu tu, na hao ni walinzi binafsi wa Mbowe. Kama hamtaki kuwaona acheni matendo yenu ya kinyama dhidi ya wapinzani mfanye siasa sio kuwavunja miguu kwa kuwavizia usiku.