Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

Mungu alisikia kilio chao walipokuwa huko kwenye kuponda kokoto, akawainua na kuwapa umaarufu zaidi na sasa wanazidi kupaishwa zaidi kutokana na kesi ile ya Michongo. Kwa kweli acheni Mungu aitwe Mungu, ana njia zake, ila kabla ya mafanikio lazima akupitishe kwenye tanuru lake na akuimarishe zaidi...weupe wana msemo wao, diamond is carbon formerd under a high temperature and pressure. Na ndio inayopendwa zaidi kuliko dhahabu. Na kwa sasa hiyo diamond ndio hao Makomandoo wa Mbowe. Sijui akina ulio wanajisikiaje kwa sasa.
 
Kwa mazingira ya siasa zetu za kishamba, sheria hii haitekelezeki. Anayetakiwa kuwa kiranja kuhakikisha sheria hii inaheshimiwa ndiye wa kwanza kaanzisha kikundi chake. Kuwazuia wengine wasianzishe vyao ndio ile double standard ambayo mwisho wake ni vurugu tu na kutoelewana!
 
Tangu mentor wenu aondoke mnateseka sana. Na bado
 
acha use...e
 
Kwani wapo?
Wapo sema tu hawaonekani kwa kuwa shughuli za CCM zinapata ulinzi wa kutosha kutoka jeshi la Polisi hasa ukizingatia viongozi waandamizi wengi wa chama pia ni viongozi wa serikali hivyo jeshi la polisi linajikuta linafanya kazi 2 ya kulinda viongozi wa chama wakati huo huo kulinda mabosi wao wakati ukweli ni kwamba kwenye kusanyiko lolote la watu wengi hata kama sio la kichama au kiserikali, polisi wanapaswa kutoa ulinzi
 
Daah yaani hizi drama za bongo hizi mtu usipokuwa makini unaweza jikuta unatembea kichwa chini miguu juu.
 
Wakati dayamondi na hamonaizi wana walinzi hukuongea hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…