Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Nakumbuka miaka kadhaa nyuma kuna wanafunzi wasabato wa Kilakala sekondari morogoro na wao waligoma kufanya masomo/mitihani/kazi za shule siku ya jumamosi wakaambiwa waombe radhi yaishe wakagoma wakasema wanaamini wako sahihi basi wakatimuliwa. Haikupita hata miezi 6 toka watimuliwe wakapata ufadhili wa kuendelea na masomo canada kupitia wasabato wenzao wa huko canada kwa kuwa wameilinda imani yao!. Mambo ya imani ni magumu sana wakati mwingine! ni si vitu vya kuiga!
Kwaiyo na hawa wainterview wasubiri msaada wa ajira toka kwa wasabato wenzao?
 
Ndio kama mtakuwa mmesajiliwa mtakuwa na hiyo HAKI.

WASABATO ni dhehebu ambalo pia linatambulika na limesajiliwa kisheria hapa nchini.

Hata wewe unaweza kuanzisha Dini au dhehebu ukaenda kusajili.
Kusajili kwako imani au dini yako, Haimaanishi kwamba ndio uanze kuipangia serikali ratiba zake.

Au kwamba eti serikali iahirishe ratiba zake za kiserikali, ifuate ratiba zako za kidini na kiimani.

Huo utakuwa ni uwendawazimu.
 
Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato.​

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Sabato Njema. (itikia Njema Sana).

Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya Usaili ni siku ya ibada. Sikukuu ya Mungu wao wanaomuamini.

Ikumbukwe kuwa Sabato kwa waumini wa kisabato ni Moja ya amri kubwa na kuu wanaamini wameagizwa kuifuata na Mungu wao wakirejelea Torati ya Musa katika Biblia, katika Kutoka 20:8-11

Tunafahamu kuwa serikali huenda ilifanya kwa bahati mbaya kwa kusahaukundi hili la Wasabato. Na hatutaki kuamini kuwa imefanywa makusudi bila kujali au kwa kudharau Wasabato kwa Sababu zozote zile.

Wasabato sio Watu wakujihusisha na mambo ya siasa na kiserikali na hii huenda ni Moja ya sababu ya wao kusahaulika hata kwa mambo muhimu kama ya Ajira.

Mimi Kama Taikon Master, ambaye ni Msabato. Baada ya kupewa taarifa hiyo kwa kweli nilisikitika Sana. Nikaona kuinyamazia inaweza kujirudia na kuwafanya Wananchi wa Kitanzania, wanaoabudu katika dhehebu la Wasabato wanaweza kukosa Haki Yao kwa wakati Mwingine.

Serikali kupitia Wizara husika, ifuatilie Jambo hilo na kulifanyia marekebisho.

Taikon Acha nipumzike sasa.

Kesho tukutane, KANISA LA MWENGE SDA, DAR ES SALAAM.

SABATO NJEMA
Pole sana kaka. Washauri vijana wako wakatoe ng'ombe shimoni.
 
Ndo hivyo sasa. Muafrika haupo humo

Kuna mambo unahitaji kueleweshwa kuhusu Dini.
Mtu hazaliwo na Dini
Dini mtu anaikuta Duniani.

Torati mtu hazaliwi nayo. Anaikuta Duniani
Qurani mtu hazaliwi nayo, anaikuta Duniani

Kuwa Muisrael Kwa kuzaliwa haimanishi wewe dini yako itakuwa myahudi na Kitabu chako kitakuwa ni Tourat.

Hiyo ni tangu zamani.

Torati alipewa Musa, sio kwaajili ya Waisrael pekee. Ila kwa vile yeye alikuwa Muisrael na kiongozi wa Waisrael na watu waliomzunguka walikuwa Waisrael ndio maana aliwapa hicho kitabu

Hata watoto wa huyo Musa wao hawakuwa Waisrael Bali machotara.

Daudi hakuwa Muisrael Pure
Hata Yesu mwenyewe hakuwa Muisrael Pure.

Unapozungumzia Sabato unazungumzia Uumbaji wa Mungu na Mungu aliyeumba huo ulimwengu. Huwezi taja Uumbaji wa Dunia bila kuitaja Sabato.
Huwezi izungumzia Tanganyika bila siku ya Uhuru

Sizungumzii ili uwe msabato au uifuate sabato .
 
Kwenye Torati kuna hiyo Amri ya KAZI
Na bahati nzuri kwenye hiyohiyo Amri ya KAZI ndio kuna Sheria ya MAPUMZIKO (SABATO)

Torati inasema ufanye Kazi kwa siku sita, siku ya Saba apumzike. Ni sabato ya Bwana, Mungu wako(Muumbaji) siku hiyo usifanye Kazi yoyote.

Ndio maana nikakuambia, hayo mambo ya Imani hasa ambayo huna uelewa nayo ni Bora uyaache. Serikali yenyewe ndio ihusike.

Wewe Wasabato wakisikilizwa na serikali kuna sehemu yoyote unapata hasara?
Mimi naona msisikilizwe kwani mko wangapi Tanzania hii?!
 
2 Wathesalonike 3:10 Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.

Paulo hajawahi kutunga Sheria hata Moja
Usichanganye madesa

Anayetoa Sheria kwenye Dini ni miungu
Paulo hakupewa Sheria Wala Amri hata Moja

Hiyo Sheria ya Kazi zipo kwenye Torati
Na zimefafanuliwa kwa kina huko.

Paulo alikuwa mtume na mwandishi ambaye hakuhusika na wahayi(ufunuo) wa kupewa Sheria .
Yeye alikuwa mfafanuzi wa Injili na mfundisha Injili ya Yesu.
Usichanganye mambo
Kama huelewi omba kuelekezwa
 
Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato.​

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Sabato Njema. (itikia Njema Sana).

Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya Usaili ni siku ya ibada. Sikukuu ya Mungu wao wanaomuamini.

Ikumbukwe kuwa Sabato kwa waumini wa kisabato ni Moja ya amri kubwa na kuu wanaamini wameagizwa kuifuata na Mungu wao wakirejelea Torati ya Musa katika Biblia, katika Kutoka 20:8-11

Tunafahamu kuwa serikali huenda ilifanya kwa bahati mbaya kwa kusahaukundi hili la Wasabato. Na hatutaki kuamini kuwa imefanywa makusudi bila kujali au kwa kudharau Wasabato kwa Sababu zozote zile.

Wasabato sio Watu wakujihusisha na mambo ya siasa na kiserikali na hii huenda ni Moja ya sababu ya wao kusahaulika hata kwa mambo muhimu kama ya Ajira.

Mimi Kama Taikon Master, ambaye ni Msabato. Baada ya kupewa taarifa hiyo kwa kweli nilisikitika Sana. Nikaona kuinyamazia inaweza kujirudia na kuwafanya Wananchi wa Kitanzania, wanaoabudu katika dhehebu la Wasabato wanaweza kukosa Haki Yao kwa wakati Mwingine.

Serikali kupitia Wizara husika, ifuatilie Jambo hilo na kulifanyia marekebisho.

Taikon Acha nipumzike sasa.

Kesho tukutane, KANISA LA MWENGE SDA, DAR ES SALAAM.

SABATO NJEMA

Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato.​

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Sabato Njema. (itikia Njema Sana).

Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya Usaili ni siku ya ibada. Sikukuu ya Mungu wao wanaomuamini.

Ikumbukwe kuwa Sabato kwa waumini wa kisabato ni Moja ya amri kubwa na kuu wanaamini wameagizwa kuifuata na Mungu wao wakirejelea Torati ya Musa katika Biblia, katika Kutoka 20:8-11

Tunafahamu kuwa serikali huenda ilifanya kwa bahati mbaya kwa kusahaukundi hili la Wasabato. Na hatutaki kuamini kuwa imefanywa makusudi bila kujali au kwa kudharau Wasabato kwa Sababu zozote zile.

Wasabato sio Watu wakujihusisha na mambo ya siasa na kiserikali na hii huenda ni Moja ya sababu ya wao kusahaulika hata kwa mambo muhimu kama ya Ajira.

Mimi Kama Taikon Master, ambaye ni Msabato. Baada ya kupewa taarifa hiyo kwa kweli nilisikitika Sana. Nikaona kuinyamazia inaweza kujirudia na kuwafanya Wananchi wa Kitanzania, wanaoabudu katika dhehebu la Wasabato wanaweza kukosa Haki Yao kwa wakati Mwingine.

Serikali kupitia Wizara husika, ifuatilie Jambo hilo na kulifanyia marekebisho.

Taikon Acha nipumzike sasa.

Kesho tukutane, KANISA LA MWENGE SDA, DAR ES SALAAM.

SABATO NJEMA
Uluzaliwa kufanya kazi, hukuzaliwa kuwa msabato. Wewe amua kilichobora kwako. Kama sabato ya siku moja tuu ni kipaombele kwako achana na Usaili wowote ndani ya jumamosi. Achana na vitisho kwa watanzania.
 
Kusajili kwako imani au dini yako, Haimaanishi kwamba ndio uanze kuipangia serikali ratiba zake.

Au kwamba eti serikali iahirishe ratiba zake za kiserikali, ifuate ratiba zako za kidini na kiimani.

Huo utakuwa ni uwendawazimu.

Wewe utakayesajili ndio serikali itasoma vilivyomo kwenye hiyo dini yako kama vinafaa au havifai.
Kama vinafaa watasajili
Kama havifai hawataisajili.

Tatizo Lako wewe huelewi unazungumzia vitu gani.

Ni kama uelewa wako upo finyu.
 
Tatizo ubishi na ni kawaida ya wasabato. Serikali ikaze uzi unataka ajira fata muongozo. Full stop
Paulo hajawahi kutunga Sheria hata Moja
Usichanganye madesa

Anayetoa Sheria kwenye Dini ni miungu
Paulo hakupewa Sheria Wala Amri hata Moja

Hiyo Sheria ya Kazi zipo kwenye Torati
Na zimefafanuliwa kwa kina huko.

Paulo alikuwa mtume na mwandishi ambaye hakuhusika na wahayi(ufunuo) wa kupewa Sheria .
Yeye alikuwa mfafanuzi wa Injili na mfundisha Injili ya Yesu.
Usichanganye mambo
Kama huelewi omba kuelekezwa
Kuna mambo unahitaji kueleweshwa kuhusu Dini.
Mtu hazaliwo na Dini
Dini mtu anaikuta Duniani.

Torati mtu hazaliwi nayo. Anaikuta Duniani
Qurani mtu hazaliwi nayo, anaikuta Duniani

Kuwa Muisrael Kwa kuzaliwa haimanishi wewe dini yako itakuwa myahudi na Kitabu chako kitakuwa ni Tourat.

Hiyo ni tangu zamani.

Torati alipewa Musa, sio kwaajili ya Waisrael pekee. Ila kwa vile yeye alikuwa Muisrael na kiongozi wa Waisrael na watu waliomzunguka walikuwa Waisrael ndio maana aliwapa hicho kitabu

Hata watoto wa huyo Musa wao hawakuwa Waisrael Bali machotara.

Daudi hakuwa Muisrael Pure
Hata Yesu mwenyewe hakuwa Muisrael Pure.

Unapozungumzia Sabato unazungumzia Uumbaji wa Mungu na Mungu aliyeumba huo ulimwengu. Huwezi taja Uumbaji wa Dunia bila kuitaja Sabato.
Huwezi izungumzia Tanganyika bila siku ya Uhuru

Sizungumzii ili uwe msabato au uifuate sabato .
 
Uluzaliwa kufanya kazi, hukuzaliwa kuwa msabato. Wewe amua kilichobora kwako. Kama sabato ya siku moja tuu ni kipaombele kwako achana na Usaili wowote ndani ya jumamosi. Achana na vitisho kwa watanzania.

Hoja yako ni ipi?
Kwamba Wasabato waendelee kunyimwa Haki Yao?
 
Wasikilizwe....

Mimi si msabato ila nina marafiki wengi wa SDA....

Imani ni jambo zito.....

Haya yananikumbusha stori niliyopewa na daktari mmoja aliyefanya kazi chuo kikuu cha MUHAS Muhimbili...alimzungumzia mtu mmoja mwenye akili nyingi sana kutoka mkoa wa Mbeya....akiwa mwanafunzi wa udaktari alikataa kufanya mitihani siku ya jumamosi ya BWANA ..alilipia gharama hiyo kwa kusoma miaka mingi zaidi ya 5.... leo hii ni CHAMPION wa taifa....aliokoa maisha ya ndugu Tundu Lissu akiwa katibu mkuu wa wizara ya afya....baadaye akawa balozi (ambassador) wetu....huyu mzalendo ni kichwa kweli....ni msabato mwenye kuyaishi maisha mema ya SDA.....

#Tupendane!
#Tuheshimiane!
#Tuthaminiane!

#YetzerHatov!
 
Umepewa haki ya kushiriki Usaili jumamosi, kama hutaki kwa sababu ya usabato achana na interview. Shida Iko wapi?

Ni kwa Sababu wewe sio Msabato ndio maana huoni shida.
Na hapo ndipo Watibeli wanapopishana na watu wengine.

Ungekuwa Msabato usingeuliza swali Hilo. Lakini kwa vile sio unahaki hiyo.
Na pia ungekuwa mtu mwenye kuvaa viatu vya wengine na asiye mbinafsi pia ungeona kuna shida sehemu.
 
Ubinafsi ni janga mkuu wangu....
 
Wasikilizwe....

Mimi si msabato ila nina marafiki wengi wa SDA....

Imani ni jambo zito.....

Haya yananikumbusha stori niliyopewa na daktari mmoja aliyefanya kazi chuo kikuu cha MUHAS Muhimbili...alimzungumzia mtu mmoja mwenye akili nyingi sana kutoka mkoa wa Mbeya....akiwa mwanafunzi wa udaktari alikataa kufanya mitihani siku ya jumamosi ya BWANA ..alilipia gharama hiyo kwa kusoma miaka mingi zaidi ya 5.... leo hii ni CHAMPION wa taifa....aliokoa maisha ya ndugu Tundu Lissu akiwa katibu mkuu wa wizara ya afya....baadaye akawa balozi (ambassador) wetu....huyu mzalendo ni kichwa kweli....ni msabato mwenye kuyaishi maisha mema ya SDA.....

#Tupendane!
#Tuheshimiane!
#Tuthaminiane!

#YetzerHatov!

Tabia ya kuwavagaa wengine na kuwanyima Haki Zao naona inashamiri Sana hasa kwa Sisi Wakristo.

Angalia humu JF hata waislam waongee kidogo mambo Yao unashangaa Wakristo hao na kuingilia mambo yasiyowahusu.

Huwezi kuta Muislam akichangia kwa chuki kwa mambo ya wengine. Nadra Sana.

Je upendo wa Kanisani tunaofundishwa ni unafiki?
 
Back
Top Bottom