Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Yeah am christian. Kwaresma loading....

Kwa nini Wakristo wa siku hizi mmebeba chuki tofauti na Yule Yesu mnazareth.
Naiona chuki yenu ipo wazi Sana hata kwa Waislam mnaionyesha pasi na kificho.

Nikuulize swali;
Hivi Mimi kuiambia serikali kuhusu kuangalia suala la Wahitimu wa TANZANIA waliowasabato kutofanya usaili jumamosi kwani kwao ni siku nyeti. Wewe au Wakristo wengine inawaumiza au kuwauma wapi Mpaka mpinge?

Kwa nini wasipinge Waislam na wapagani lakini Wakristo mnapinga mambo ya wenzenu?

Ndio upendo wenu huo?
 
Ni kwa Sababu wewe sio Msabato ndio maana huoni shida.
Na hapo ndipo Watibeli wanapopishana na watu wengine.

Ungekuwa Msabato usingeuliza swali Hilo. Lakini kwa vile sio unahaki hiyo.
Na pia ungekuwa mtu mwenye kuvaa viatu vya wengine na asiye mbinafsi pia ungeona kuna shida sehemu.
Serikali haina dini. Jakuna popote Serikali ilisema wasabato wasali jumamosi, wala wakristu wengine wasali Jumapili wala waislamu wasali kila siku swala tano na ijumaa wakazie. Hayo makundi yaliamua yenyewe. Kama msabato anaona jumamosi ni bora kuliko kitu ingine kwake aendelee na sabato yake, wale wanaosali Jumapili wanaona Jumapili ni bora kuliko kitu chochote waendelee lakini wasitake kuingilia program zingine katika siku hiyo. Simple, mambo ya kudejezana tupa kule.
 
Ndio tunarudi kulekule

Ubinafsi ndio changamoto.

Hakuna anayetaka kuendekezwa au kupendelewa.
Tunachozungumzia ni HAKI ambayo kwa Watu wengine kama wewe ni msamiati mgumu
 
Victim mentality imeanza kukutawala pole mtibeli.

Mbona kuna comments tele za waislam humu hujaziona.

Yale yale ya kukesha airport kusubiria miujiza ya kusafiri bila passport wala tiketi. Likitamkwa neno la kuwaelimisha mnaanza kujivika uvictim. Kwenye ukweli tuambiane mbona walokole waambiwa ukweli kila siku na hawajalalamika. Akina mwamposa daima wanatupiwa matope

Nyie wenyewe mahubiri yenu asilimia kubwa kuwapondea wakristo wengine hasa hasa wakatoliki. Nanyi huu ndio upendo?

Ama kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha.

Umeweka uzi JF inakua mali ya jamii nzima kuchangia. Nimechangia umeniquote,ulitegemea nini mkuu?
Kwa nini Wakristo wa siku hizi mmebeba chuki tofauti na Yule Yesu mnazareth.
Naiona chuki yenu ipo wazi Sana hata kwa Waislam mnaionyesha pasi na kificho.

Nikuulize swali;
Hivi Mimi kuiambia serikali kuhusu kuangalia suala la Wahitimu wa TANZANIA waliowasabato kutofanya usaili jumamosi kwani kwao ni siku nyeti. Wewe au Wakristo wengine inawaumiza au kuwauma wapi Mpaka mpinge?

Kwa nini wasipinge Waislam na wapagani lakini Wakristo mnapinga mambo ya wenzenu?

Ndio upendo wenu huo?
 
Wewe utakayesajili ndio serikali itasoma vilivyomo kwenye hiyo dini yako kama vinafaa au havifai.
Kama vinafaa watasajili
Kama havifai hawataisajili.

Tatizo Lako wewe huelewi unazungumzia vitu gani.

Ni kama uelewa wako upo finyu.
Wewe ambaye unataka serikali iahirishe ratiba zake za kiserikali, ifuate ratiba zako za kiimani ndio una akili finyu.

You should consult a psychiatrist

You need to restore your brain to factory settings.
 
Hawa Wasabato waliwahi kuwa deregisterd pale SAUT kipindi cha VC Father Dk. Kitima na DVCA (Sasa Baba Askofu) Dk. Bernidine Mfumbusa walipokataa kufanya mitihani yao ya UE siku ya Jumamosi!
Kitima ni bwege kama mabwege wengine. Halafu alivyo mngese anajifanya mpenda haki.
 
Mambo ya dini hayapaswi kupewa kipaumbele.Ukiona dini ni muhimu sana nenda kasali acha wengine waende kwenye interview
 
Victim mentality imeanza kukutawala pole mtibeli.

Mbona kuna comments tele za waislam humu hujaziona.
Hakuna muislam anaweza ku-comment kwa kutaka kundi jingine lisisikilizwe. Huyo muislam hayupo. Ninawajua Waislam vizuri Sana.

Yale yale ya kukesha airport kusubiria miujiza ya kusafiri bila passport wala tiketi. Likitamkwa neno la kuwaelimisha mnaanza kujivika uvictim. Kwenye ukweli tuambiane mbona walokole waambiwa ukweli kila siku na hawajalalamika. Akina mwamposa daima wanatupiwa matope

Nyie wenyewe mahubiri yenu asilimia kubwa kuwapondea wakristo wengine hasa hasa wakatoliki. Nanyi huu ndio upendo?
Hao Wasabato wanaoponda Dini zingine especially Wakatoliki kwa lugha Kali na kejeli hawana upendo lakini hiyo haikupi kibali na wewe kuwa kama wao. Yaani kuwa na chuki dhidi Yao.

Ama kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha.

Umeweka uzi JF inakua mali ya jamii nzima kuchangia. Nimechangia umeniquote,ulitegemea nini mkuu?

Nimekupa changamoto kukuambia kuwa, utafakari ukristo wako.
Na bahati mbaya hiyo tendency huko nayo wewe pekee. Humu JF Wakristo imekuwa ni Tabia yetu kuonyesha Sisi ni watu wenye chuki dhidi ya watu wengine waliokinyume na Sisi ikiwemo Waislam
 
Wewe ambaye unataka serikali iahirishe ratiba zake za kiserikali, ifuate ratiba zako za kiimani ndio una akili finyu.

You should consult a psychiatrist

You need to restore your brain to factory settings.

Nani kasema ihairishe?

Mtu unajua Mpaka kingereza lakini akili bado ipo chini. Kweli kujua Lugha sio kuwa na AKILI
 
Kwenye hiyo interview wasabato wengi tu wataenda.Mbona kazi maalum ambazo hazina Sabato Huwa wanaenda?
 
Wasikilizwe....

Mimi si msabato ila nina marafiki wengi wa SDA....

Imani ni jambo zito.....

Haya yananikumbusha stori niliyopewa na daktari mmoja aliyefanya kazi chuo kikuu cha MUHAS Muhimbili...alimzungumzia mtu mmoja mwenye akili nyingi sana kutoka mkoa wa Mbeya....akiwa mwanafunzi wa udaktari alikataa kufanya mitihani siku ya jumamosi ya BWANA ..alilipia gharama hiyo kwa kusoma miaka mingi zaidi ya 5.... leo hii ni CHAMPION wa taifa....aliokoa maisha ya ndugu Tundu Lissu akiwa katibu mkuu wa wizara ya afya....baadaye akawa balozi (ambassador) wetu....huyu mzalendo ni kichwa kweli....ni msabato mwenye kuyaishi maisha mema ya SDA.....

#Tupendane!
#Tuheshimiane!
#Tuthaminiane!

#YetzerHatov!
Serikali au taasisi yeyote ya kiserikali haiwezi kufanya kazi zake kwa kigezo cha imani za watu.

Sasa nyie mnataka serikali iongoze nchi kwa kutumia imani zenu!

Mna fikiri sawasawa kweli?

Ni sawa na wanafunzi wa kiislamu waishinikize serikali kwamba Ijumaa wasiende shule kwa vile wanafunzi wa kikristo hawaendi shule jumapili.
 
Tatizo lako ni moja kile unachoandika humu unakigongelea msumali kama sheria na lazima sio ombi. Akitokea mtu kukuchallange kidogo unatoka nje ya mstari na kujivalisha vazi la uvictim. Sabato njema
Hakuna muislam anaweza ku-comment kwa kutaka kundi jingine lisisikilizwe. Huyo muislam hayupo. Ninawajua Waislam vizuri Sana.

Hao Wasabato wanaoponda Dini zingine especially Wakatoliki kwa lugha Kali na kejeli hawana upendo lakini hiyo haikupi kibali na wewe kuwa kama wao. Yaani kuwa na chuki dhidi Yao.

Nimekupa changamoto kukuambia kuwa, utafakari ukristo wako.
Na bahati mbaya hiyo tendency huko nayo wewe pekee. Humu JF Wakristo imekuwa ni Tabia yetu kuonyesha Sisi ni watu wenye chuki dhidi ya watu wengine waliokinyume na Sisi ikiwemo Waislam
 
Kuna Lecturer Mmoja alikuwa anafundisha DS 101,kipindi chake kilikuwa Ijumaa saa kumi na mbili.Badala yake Ijumaa alikuwa hafundishi maana Sabato inakuwa imeshafika,badala yake alikuwa anafundisha siku ya Jumapili.Huyu alikuwa hajali Sabato za wenzake (Jumapili) isipokuwa Jumamosi.
Huu usaili ungepangwa Jumapili kama inavokuaga uchaguzi mkuu nadhani usingeandika Uzi huu
 
Back
Top Bottom