Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Hapana mkuu sikumaanisha hivyo....Serikali au taasisi yeyote ya kiserikali haiwezi kufanya kazi zake kwa kigezo cha imani za watu.
Sasa nyie mnataka serikali iongoze nchi kwa kutumia imani zenu!
Mna fikiri sawasawa kweli?
Ni sawa na wanafunzi wa kiislamu waishinikize serikali kwamba Ijumaa wasiende shule kwa vile wanafunzi wa kikristo hawaendi shule jumapili.
Hapana mkuu siungi mkono nchi kuongozwa kidini na kiimani.....
Hoja yangu ni kusikilizana na ile "inclucivity" tu....
Mbona sisi waislamu tuliiomba serikali ituruhusu watoto na dada zetu wawe na sare za hijabu(headscarves) na serikali ikatukubalia ilihali sare ya wanafunzi haikuwa na mwongozo wa kiimani ?!!