Serikali kuweni makini; inakuaje mtoto ana A ya math, B ya Chemistry, B ya biology na B ya Physics halafu mnampangia combination ya Art?

Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG.

Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi amefikia hapo ili ndoto zitimie halafu mnataka kumsumbua na kumuathiri kisaikolojia kama hivyo.

Najua kuna kubadilisha, lakini hilo ni mchakato na kwakuwa amepelekwa shule isiyo na hizo combinations maana yake itamlazimu kugharamika huyo katika kutafuta shule nyingine, kuna wakuu miungu watu; maringo, rushwa n.k.

Halafu kama machaguo ya mtoto, ambayo hufanyika kwa kuwahusisha walimu pamoja wazazi/walezi, hayazingatiwi kuna haja gani ya kujazishwa?

Inakera sana!
Pole mkuu. Serikali hii ya CCM ina mambo ya kiqumer sana
 
Na huko kwwenye art ame perform vipi?
 
Ana nafasi ya kubadili ,huenda ni Changamoto za hapa n pale,Huwa wakienda kumripoti wanapewa mda wa kubadili michepuko.

Mwisho ungekuwa na akili ungemwambia mtoto wako akasome Ualimu wa Ufundi
 
si ma
Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG.

Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi amefikia hapo ili ndoto zitimie halafu mnataka kumsumbua na kumuathiri kisaikolojia kama hivyo.

Najua kuna kubadilisha, lakini hilo ni mchakato na kwakuwa amepelekwa shule isiyo na hizo combinations maana yake itamlazimu kugharamika huyo katika kutafuta shule nyingine, kuna wakuu miungu watu; maringo, rushwa n.k.

Halafu kama machaguo ya mtoto, ambayo hufanyika kwa kuwahusisha walimu pamoja wazazi/walezi, hayazingatiwi kuna haja gani ya kujazishwa?

Inakera sana!
si marehemu magufuli aliombea covid ikatoka.
leo dokta msukuma ana mkosoa dokta janabi.
 
Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG.

Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi amefikia hapo ili ndoto zitimie halafu mnataka kumsumbua na kumuathiri kisaikolojia kama hivyo.

Najua kuna kubadilisha, lakini hilo ni mchakato na kwakuwa amepelekwa shule isiyo na hizo combinations maana yake itamlazimu kugharamika huyo katika kutafuta shule nyingine, kuna wakuu miungu watu; maringo, rushwa n.k.

Halafu kama machaguo ya mtoto, ambayo hufanyika kwa kuwahusisha walimu pamoja wazazi/walezi, hayazingatiwi kuna haja gani ya kujazishwa?

Inakera sana!
Nakusanua!!

Huu ujinga ulianza baada ya mama kushika hatamu TU matokeo yaliyofuata yakaanza na kasheshe zake!!

Ni hivi wahuni wanataka shule zao za private zijae wanafunzi ambao hawataki kusoma chuo husika au tahasusi husika!!

Unakuta kijana was kiume ana div 3 halafu anapangiwa u secretary!!

Unalazimishwa upeleke mtoto private wahuni wapige pesa kwenye shule zao!
 
Miaka yote TAMISEMI kupitia wizara ya elimu wanarudia hili kosa
 
Nadhani ni tatizo linalorekebishika! Nadhani huwa kuna muda unatolewa kwa ajili ya wanafunzi kubadilisha tahasusi.
Ndiyo hiyo hiyo channel ya watu kula kwa urefu wa kamba zao!
 
Hapo mwanzo niliamini taasisi kama NECTA na baadhi ya wakurugenzi waliopo TAMISEMI ni watu makini wenye kisomo kinachoendana na utendaji wao. Asee kuna vilaza hukooo ni balaaa ni kupiga per diem tuu.
 
Ndio nakwambia imefutwa Mimi pia nimesoma kitambo na mwanangu kasoma HIO combi Ila Mwaka Jana imefutwa HAIPO
Mkuu haijafutwa sababu mimi mwaka huu nilikuwa nambadirishia kombi mdogo wangu, CBG Ilikuwepo , pia hapa chini angalia kuna chalii kapangiwa CBG sijui kwanini unabisha ?
Screenshot_20240601-200505.jpg
 
1. Kama hiyo shule aliyochaguliwa ina kombi za sayansi aende akifika abadilishe.

2. Kama haiwezekani basi mpelekeni private akasome.
 
Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG.

Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi amefikia hapo ili ndoto zitimie halafu mnataka kumsumbua na kumuathiri kisaikolojia kama hivyo.

Najua kuna kubadilisha, lakini hilo ni mchakato na kwakuwa amepelekwa shule isiyo na hizo combinations maana yake itamlazimu kugharamika huyo katika kutafuta shule nyingine, kuna wakuu miungu watu; maringo, rushwa n.k.

Halafu kama machaguo ya mtoto, ambayo hufanyika kwa kuwahusisha walimu pamoja wazazi/walezi, hayazingatiwi kuna haja gani ya kujazishwa?

Inakera sana!
Kuna dogo mvulana wa shule ya kata kwenye CBG amefaulu kwa A(Chemistry)B(Biology)C(Geography) na D ya Basic Maths. Alijaza ya kwanza CBG lakini hakupangwa badala yake kapangwa HGE ambayo amepata C History na C Geography.
 
Back
Top Bottom