Serikali kwanini inaficha picha za Katesh, Hanang?

MANYARA: Mafuriko yaliyosababishwa na Mvua zilizonyesha kuanzia Desemba 2 huko Hananga ,yameleta maafa makubwa,vifo , uharibufu wa Mali .

Maporomoko ya mawe, miti , Tope kutoka Mlima Hanang yakielekea katika Mji wa Kateshi yakiwa na nguvu yamebomoa nyumba za wananchi

Lakin mpaka Sasa bado picha za mlima ulio sababisha madhara hazionekani .

Ni kama mafuriko ya Tope yametokea From no where Yan,

Je waandishi wa habari wazuiwa wasipige picha za mlima ulio sababisha madhara ?.

Ila wananchi wanaishi karibu na huo mlima walidai kuona Moshi ukitoka kwenye huo mlima,siku chake kabla ya mvua kunyesha

ina maana serikali ilijua ikamua kukaa kimya, matokeo yake ndio Haya 👆 Sasa vifo na uharibufu wa Mali

Jamani tunaomba hizo picha kuna kitu cha kujifunza kwenye hili tukio linalosababishwa na maumbile ya dunia

Wanafunzi mashuleni wanatakiwa kujifunza na wananchi pia kuelewa Tabia ya nchi.

Na Sio kuficha madhara ya tukio, Kwan haisaidii wala kuzuia lisitokee tena .
Mpango yuko wapi? kama wameficha hilo unawashituka nini?
 
ina maana serikali ilijua ikamua kukaa kimya, matokeo yake ndio Haya [emoji115] Sasa vifo na uharibufu wa Mali

Jamani tunaomba hizo picha kuna kitu cha kujifunza kwenye hili tukio linalosababishwa na maumbile ya dunia

Wanafunzi mashuleni wanatakiwa kujifunza na wananchi pia kuelewa Tabia ya nchi.

Na Sio kuficha madhara ya tukio, Kwan haisaidii wala kuzuia lisitokee tena .
Si uende huko huko Hanang ukapige vizuri?
Kenge wewe
 
MANYARA: Mafuriko yaliyosababishwa na Mvua zilizonyesha kuanzia Desemba 2 huko Hananga ,yameleta maafa makubwa,vifo , uharibufu wa Mali .

Maporomoko ya mawe, miti , Tope kutoka Mlima Hanang yakielekea katika Mji wa Kateshi yakiwa na nguvu yamebomoa nyumba za wananchi

Lakin mpaka Sasa bado picha za mlima ulio sababisha madhara hazionekani .

Ni kama mafuriko ya Tope yametokea From no where Yan,

Je waandishi wa habari wazuiwa wasipige picha za mlima ulio sababisha madhara ?.

Ila wananchi wanaishi karibu na huo mlima walidai kuona Moshi ukitoka kwenye huo mlima,siku chake kabla ya mvua kunyesha

ina maana serikali ilijua ikamua kukaa kimya, matokeo yake ndio Haya 👆 Sasa vifo na uharibufu wa Mali

Jamani tunaomba hizo picha kuna kitu cha kujifunza kwenye hili tukio linalosababishwa na maumbile ya dunia

Wanafunzi mashuleni wanatakiwa kujifunza na wananchi pia kuelewa Tabia ya nchi.

Na Sio kuficha madhara ya tukio, Kwan haisaidii wala kuzuia lisitokee tena
Uko wapi tukuletee picha zote zaidi ya 10 elfu uchague unazotaka?
Isitoshe serikali haijaenda dareda kupiga picha bali kusaidia wahanga wa maporomoko ya mlima hanang.
 
Hizo picha weka mitandaoni tuzione,

Lengo ni kujifunza Tu, wananchi wa 🇹🇿 wajue
 
Back
Top Bottom