Serikali kwanini inaficha picha za Katesh, Hanang?

Mpango yuko wapi? kama wameficha hilo unawashituka nini?
 
Si uende huko huko Hanang ukapige vizuri?
Kenge wewe
 
Uko wapi tukuletee picha zote zaidi ya 10 elfu uchague unazotaka?
Isitoshe serikali haijaenda dareda kupiga picha bali kusaidia wahanga wa maporomoko ya mlima hanang.
 
Uko wapi tukuletee picha zote zaidi ya 10 elfu uchague unazotaka?
Isitoshe serikali haijaenda dareda kupiga picha bali kusaidia wahanga wa maporomoko ya mlima hanang.
Hizo picha weka mitandaoni tuzione,

Lengo ni kujifunza Tu, wananchi wa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ wajue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ