Serikali kwanini inaficha picha za Katesh, Hanang?

Unataka picha za aina gani?





Google picha za "Hanang mudslide".
 
Nchi inaenda kihuni huni hii
 
Nataka pictures za juu ya mlima hanang nione kreta yake yake
 

Hujazuiwa nenda kapige wewe kwa tani yako. Si unayo smart phone au una kiswaswadu?
Ruksa nenda unakimbia kule kapige picha na uturushie hapa!
 
Mlima ndiyo kwanza umetupa mudslide, watu wanasafisha miundombinu chini bado, wewe unataka watu wapande juu wakapige picha za kukuonesha wewe?
Hapana mkuu, cjamaanisha watu Waache shughuli za uwokozi.

Ila mbona mawaziri walitumia chopa, lakini Cha ajabu waka post picha za Wao wakiwa ndani ya chopa , badala ya kuonyesha uhalibifu uliotokana na mafuriko ya matope
 
Sii hasa imeshaingi kwa manufaa ya wana sii hasa.
 
Hapana mkuu, cjamaanisha watu Waache shughuli za uwokozi.

Ila mbona mawaziri walitumia chopa, lakini Cha ajabu waka post picha za Wao wakiwa ndani ya chopa , badala ya kuonyesha uhalibifu uliotokana na mafuriko ya matope
Mawqziri ni wanasiasa, si wanajiografia, wapigapicha wala walimu.

Hawawezi kuacha nafasi ya kujipiga picha wao wapige picha ya mlima kukufundisha wewe.

Uchumi ukichanganya, kina Millard Ayo na wenzake watapata chopa nankwenda kupiga picha.

Vilevike, kwa sasa inawezekana ni mapema sana kupata picha za juu kwa sababu watu wanatafiti kilichotokea ni nini, wasije kwenda kupiga picha huko wakakutana na ajali nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…