Serikali kwanini isijenge majengo mazuri mikoa au wilaya kuliko kuyajaza mikoa iliyojengeka kama Dar, Pwani, Arusha, Dodoma?

-Nimekuuliza wawekezaji wakija au watu wa worldbank hukutana wapi na rais
-Maamuzi ya kiuwekezaji hutokea wapi.
-Sheria na sera za nchi za kuendesha biashara mbalimbali husainiwa wapi.
-rais anapokwenda nje kutafuta wawekezaji hutokea wapi?
-
Ndugu yangu mvuta bangi[emoji23][emoji23]
There direct and indirect
Usifanye vitu mojakwamoja ukaja kuniambia kukutana na raisi ni shuguli ya biashara ata ikiwa kivyovyote ikulu si sehemu pa kuingizia kipato cha biashara

-maamuzi ya kiuwekezaji hayatokei ikulu(yanatokea bungeni)

-sheria na sera za nchi (zinafanyika Bungeni)
 
-maamuzi ya kiuwekezaji hayatokei ikulu(yanatokea bungu)

-sheria na sera za nchi (zinafanyika Bungeni)

Sheria haíwi sheria mpaka isainiwe na rais
-Iwe direct ama indirect suala ni kwamba jengo hilo linahusiana na biashara hakuna sehemu niliposema lazima iwe direct
-MOU ya kukodisha bandari ilikuwa na sahihi ya nani kama maamuzi yanatokea bungeni,ninachojua bunge ni sehemu tu ya maamuzi.
 
Iko hivi kusaini mikataba iwe ikulu iwe mikoani iwe bandalini iwe bungeni siyo 'biashara"(ata ikiwa ni shughuli ya biashara haiwezi ingizia ikulu pesa yeyoye) chaziidi biashara ndo inayo ingiza mapato siyo shughuli ya biashala ingize mapato

Alafu ishu aikua ikulu ilikua majengo yajengwe kila kanda wasipendelee kujenga sehemu fulani tu!.
 
Kuna hasara yeyote kama huu mjengo ungejegwa iringa?.
Screenshot_20240415-004315.jpg
 
Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia vitu kama hivyo mikoa ambayo haijajengeka.

Wewe huyaoni.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
-Siku zote biashara huanza na makubaliano either ya mdomo ama documented ambayo ni mikataba na mikataba haisainiwi ama kuandikwa barabarani bali kwenye maofini.

-Majengo hayajengwi kama fasheni, ukiona kuna mahali jengo linasimamishwa ujue hapo inatafutwa pesa, Na pesa inapatikana palipo na mzunguko wa kibiashara. Haiwezekani eti tu kwa sababu dar ssalaam ina majengo mengi basi mengine majengo ya ghorofa yenye 20+floors yakajengwe Rukwa ili hali Rukwa hakuna shughuli zinazolifanya jengo hilo lilete tija kwa jamii. Majengo yanajengwa kwa kuzingatia plani za kiuchumi.
 
Majengo ayajengwi kwakuzingatia biashara wala uchumi ungeniambia majengo yanajengwa kwakuzingatia mambo yafuatayo ningekuona umeasha bangi zako zakuifanya ikulu ni sehemu ya biashara uje na uelimishe watoto wako hivyo hivyo kwamba ikulu ni sehemu ya biashara.
Hizi ni sababu zinazo pelekea hujengwaji wa maghorofa ukibisha na apa bisha tu kwani bangi bado mbichi uliyo vuta

1, Jeoglafia, ya eneo fulani mfano umesema rukwa+froo20 kwa sasa ni kitu ambacho akijawahiwa kufikilika kutokana na joglafia yake kupitiwa na bonde la ufaa kwa kiwango kikubwa mno.

2,Uhaba wa maeneo,

3,City planning, hapa tunazungumzia upangaji wa miji ngazi za mijengo na mitaa hii alipingi kwamba kila mkoa unaweza kumiliki at list froo ata kumi wewe nduguyangu kipindi unazungumzia froo20 ukiongea kwa kejeli unajua apa kuna mikoa imeanzishwa miaka ya 70 ata ghorofa moja lenye froo6 akuna yaani mkoa mzima hakuna naukija kutafuta sababu hakuna na nimikoa inayo zidi baadhi ya mikoa yenye biashara kama unavyo dai.

4,utalii,ni sababu moja wapo ya ujengwaji wa vichuguu kwa hapa Tanzanian sijaona sehemu ambayo aina vivutio vya utalii nafikili serikali izingatie hapa baadhi ya mikoa aipo serious kabisa.

5,biashara(kwani mpanda plaza ni pambo?).

6,makazi,huwezi kuniambia mikoa imekosa wakazi mpaka washindwe kujenga ata froo5.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].

Sababu ni nyingi acha watu wajenge vichuguu usitake kuaminisha watu Bangi zako.
Nyinyi ndo mnafanya baadhi ya mikoa iyonekane ni washamba pindi wakitembelea mikoa iliyo jengeka.View attachment 2964019View attachment 2964018
Screenshot_20231219-232115.jpg
 
Majengo ayajengwi kwakuzingatia biashara wala uchumi ungeniambia majengo yanajengwa kwakuzingatia mambo yafuatayo ningekuona umeasha bangi zako zakuifanya ikulu ni sehemu ya biashara uje na uelimishe watoto wako hivyo hivyo kwamba ikulu ni sehemu ya biashara.
Hizi ni sababu zinazo pelekea hujengwaji wa maghorofa ukibisha na apa bisha tu kwani bangi bado mbichi uliyo vuta

1, Jeoglafia, ya eneo fulani mfano umesema rukwa+froo20 kwa sasa ni kitu ambacho akijawahiwa kufikilika kutokana na joglafia yake kupitiwa na bonde la ufaa kwa kiwango kikubwa mno.

2,Uhaba wa maeneo,

3,City planning, hapa tunazungumzia upangaji wa miji ngazi za mijengo na mitaa hii alipingi kwamba kila mkoa unaweza kumiliki at list froo ata kumi wewe nduguyangu kipindi unazungumzia froo20 ukiongea kwa kejeli unajua apa kuna mikoa imeanzishwa miaka ya 70 ata ghorofa moja lenye froo6 akuna yaani mkoa mzima hakuna naukija kutafuta sababu hakuna na nimikoa inayo zidi baadhi ya mikoa yenye biashara kama unavyo dai.

4,utalii,ni sababu moja wapo ya ujengwaji wa vichuguu kwa hapa Tanzanian sijaona sehemu ambayo aina vivutio vya utalii nafikili serikali izingatie hapa baadhi ya mikoa aipo serious kabisa.

Sababu ni nyingi acha watu wajenge vichuguu usitake kuaminisha watu Bangi zako.
Nyinyi ndo mnafanya baadhi ya mikoa iyonekane ni washamba pindi wakitembelea mikoa iliyo jengeka.View attachment 2964019View attachment 2964018View attachment 2964020
Bonde la ufa viewer.
Screenshot_20231219-232624.jpg
 
Ndugu yangu mvuta bangi[emoji23][emoji23]
There direct and indirect
Usifanye vitu mojakwamoja ukaja kuniambia kukutana na raisi ni shuguli ya biashara ata ikiwa kivyovyote ikulu si sehemu pa kuingizia kipato cha biashara

-maamuzi ya kiuwekezaji hayatokei ikulu(yanatokea bungeni)

-sheria na sera za nchi (zinafanyika Bungeni)
Niambie, ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato, maamuzi yalitokea bungeni?

CC Northpole
 
Back
Top Bottom