Msigwa anakula Kwa jasho sanaaaHuyu ni mbwa tu. Wanaandika wengine yeye anapewa kusoma.
Washtakiwe hawa BBC. Ni mara nyingi sana hawa BBC wanapotosha na wanalipa hela nyingi ya compensation.TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAKALA YA BBC
Serikali imesikitishwa na makala iliyochapishwa leo tarehe 13 Julai, 2026 na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha "BBC Africa Eye" ambayo ime-beba maudhui ya upande mmoja, yaliyokosa ushahidi thabiti, yenye upungufu wa taar-ifa muhimu na yenye mwelekeo wa kuichafua heshima ya Tanzania Kimataifa.
Chombo cha habari cha BBC kimeendelea na mwenendo wake wa kuitangaza vibaya Tanzania kwa tuhuma nzito pasipo kutoa nafasi ya Serikali kujibu kama kinavyopaswa kufanya kwa mujibu taaluma ya uandishi wa habari licha ya Serikali kuwa tayari kutoa ushirikiano kama ambavyo kimefanya katika makala hii ambapo kilikataa kutoa nafasi kwa viongozi wawili wa upande wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kufuatia upungufu huu wa kiweledi ambao haukupaswa na hautegemewi kufanywa na chombo cha habari kinachotarajiwa kuwa na heshima kama BBC, Serikali ya Tanzania inachukulia kwa uzito mwelekeo wa maudhui ya BBC dhidi ya Tanzania na inafanya tathmini ya kina ya makala hiyo.
Mara tathmini hiyo itakapokamilika, Serikali itachukua hatua zenye lengo la kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi dhidi ya mashambulizi ambayo yanafanywa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na kutoa ufafanuzi wa upo-toshaji na uchochezi wa makusudi uliojitokeza katika makala ya BBC.
Serikali inatoa wito kwa Watanzania wote kuwa makini na chokochoko zinazofanywa dhidi ya Tanzania kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, na inapenda kuwa-hakikishia wananchi wote kuwa itaendelea kusimamia misingi yote ya kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania wote huku ikitekeleza afua mbalimbali za kukabiliana na changamoto zinazojitokeza kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa lengo la kuimarisha ustawi wa jamii.
Pia soma; BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?
Hongereni sana BBC kwa kumpiga nyoka kichwani. Hili tamko lao ni ushahidi tosha mlimpiga sehemu nzuri. Msiache kuleta makala nyingine. Wananchi wengi wenye akili timamu tuko upamde wenu.TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAKALA YA BBC
Serikali imesikitishwa na makala iliyochapishwa leo tarehe 13 Julai, 2026 na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha "BBC Africa Eye" ambayo ime-beba maudhui ya upande mmoja, yaliyokosa ushahidi thabiti, yenye upungufu wa taar-ifa muhimu na yenye mwelekeo wa kuichafua heshima ya Tanzania Kimataifa.
Chombo cha habari cha BBC kimeendelea na mwenendo wake wa kuitangaza vibaya Tanzania kwa tuhuma nzito pasipo kutoa nafasi ya Serikali kujibu kama kinavyopaswa kufanya kwa mujibu taaluma ya uandishi wa habari licha ya Serikali kuwa tayari kutoa ushirikiano kama ambavyo kimefanya katika makala hii ambapo kilikataa kutoa nafasi kwa viongozi wawili wa upande wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kufuatia upungufu huu wa kiweledi ambao haukupaswa na hautegemewi kufanywa na chombo cha habari kinachotarajiwa kuwa na heshima kama BBC, Serikali ya Tanzania inachukulia kwa uzito mwelekeo wa maudhui ya BBC dhidi ya Tanzania na inafanya tathmini ya kina ya makala hiyo.
Mara tathmini hiyo itakapokamilika, Serikali itachukua hatua zenye lengo la kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi dhidi ya mashambulizi ambayo yanafanywa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na kutoa ufafanuzi wa upo-toshaji na uchochezi wa makusudi uliojitokeza katika makala ya BBC.
Serikali inatoa wito kwa Watanzania wote kuwa makini na chokochoko zinazofanywa dhidi ya Tanzania kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, na inapenda kuwa-hakikishia wananchi wote kuwa itaendelea kusimamia misingi yote ya kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania wote huku ikitekeleza afua mbalimbali za kukabiliana na changamoto zinazojitokeza kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa lengo la kuimarisha ustawi wa jamii.
Pia soma; BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?
Hata wananchi wanashangaa itakuwa wanamlenga mtu wao.hii taarifa imewafikia BBC au imetolewa kutufurahisha wananchi?
Sema baba usiogope, TISS wao kazi yao ni kuilinda majizi ya ccm ili nao wapate ulaji.Kuna kitu nitakisema lakini watu wengi wanaweza kutokubali. Ni suala la muda tu lakini.... mtakuja kujua: Mwarabu ana mkono kwenye kinachoendelea sasa hivi Tanzania. Tena sana.
Upepo kidogo tu, naniliu za mtetea wazi kabisa. Serikali maskini na kichwa ngumu bado inazidi kushupaza shingo.TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAKALA YA BBC
Serikali imesikitishwa na makala iliyochapishwa leo tarehe 13 Julai, 2026 na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha "BBC Africa Eye" ambayo ime-beba maudhui ya upande mmoja, yaliyokosa ushahidi thabiti, yenye upungufu wa taar-ifa muhimu na yenye mwelekeo wa kuichafua heshima ya Tanzania Kimataifa.
Chombo cha habari cha BBC kimeendelea na mwenendo wake wa kuitangaza vibaya Tanzania kwa tuhuma nzito pasipo kutoa nafasi ya Serikali kujibu kama kinavyopaswa kufanya kwa mujibu taaluma ya uandishi wa habari licha ya Serikali kuwa tayari kutoa ushirikiano kama ambavyo kimefanya katika makala hii ambapo kilikataa kutoa nafasi kwa viongozi wawili wa upande wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kufuatia upungufu huu wa kiweledi ambao haukupaswa na hautegemewi kufanywa na chombo cha habari kinachotarajiwa kuwa na heshima kama BBC, Serikali ya Tanzania inachukulia kwa uzito mwelekeo wa maudhui ya BBC dhidi ya Tanzania na inafanya tathmini ya kina ya makala hiyo.
Mara tathmini hiyo itakapokamilika, Serikali itachukua hatua zenye lengo la kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi dhidi ya mashambulizi ambayo yanafanywa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na kutoa ufafanuzi wa upo-toshaji na uchochezi wa makusudi uliojitokeza katika makala ya BBC.
Serikali inatoa wito kwa Watanzania wote kuwa makini na chokochoko zinazofanywa dhidi ya Tanzania kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, na inapenda kuwa-hakikishia wananchi wote kuwa itaendelea kusimamia misingi yote ya kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania wote huku ikitekeleza afua mbalimbali za kukabiliana na changamoto zinazojitokeza kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa lengo la kuimarisha ustawi wa jamii.
Pia soma; BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?
Wanakwambia dereva wa Lissu anasubiriwa wakati makazi ya wabunge kulikuwa na camera wakang'oa kuficha ushahidi yale yale ya marehemu Mzee Kibao na wengineoKila siku wanadi hivyo. Msigwa si awaombe kwenda kuongea mao na kueleza upande wa pili.
Hivi hata hiyo ya Lissu kupigwa risasi na serikali kudhindwa kufanya upelelezi mayo bado wanajitetea....!?
Serikali ya kabibi kachawiTAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAKALA YA BBC
Serikali imesikitishwa na makala iliyochapishwa leo tarehe 13 Julai, 2026 na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha "BBC Africa Eye" ambayo ime-beba maudhui ya upande mmoja, yaliyokosa ushahidi thabiti, yenye upungufu wa taar-ifa muhimu na yenye mwelekeo wa kuichafua heshima ya Tanzania Kimataifa.
Chombo cha habari cha BBC kimeendelea na mwenendo wake wa kuitangaza vibaya Tanzania kwa tuhuma nzito pasipo kutoa nafasi ya Serikali kujibu kama kinavyopaswa kufanya kwa mujibu taaluma ya uandishi wa habari licha ya Serikali kuwa tayari kutoa ushirikiano kama ambavyo kimefanya katika makala hii ambapo kilikataa kutoa nafasi kwa viongozi wawili wa upande wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kufuatia upungufu huu wa kiweledi ambao haukupaswa na hautegemewi kufanywa na chombo cha habari kinachotarajiwa kuwa na heshima kama BBC, Serikali ya Tanzania inachukulia kwa uzito mwelekeo wa maudhui ya BBC dhidi ya Tanzania na inafanya tathmini ya kina ya makala hiyo.
Mara tathmini hiyo itakapokamilika, Serikali itachukua hatua zenye lengo la kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi dhidi ya mashambulizi ambayo yanafanywa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na kutoa ufafanuzi wa upo-toshaji na uchochezi wa makusudi uliojitokeza katika makala ya BBC.
Serikali inatoa wito kwa Watanzania wote kuwa makini na chokochoko zinazofanywa dhidi ya Tanzania kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, na inapenda kuwa-hakikishia wananchi wote kuwa itaendelea kusimamia misingi yote ya kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania wote huku ikitekeleza afua mbalimbali za kukabiliana na changamoto zinazojitokeza kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa lengo la kuimarisha ustawi wa jamii.
Pia soma; BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?
Hamna jeuri hiyo, na hamtakaa muwe nayo. Ama mnadhani bbc ni ITV ama Clouds nk? Hao jamaa wakitangaza kitu ni cha kweli, na sisi wananchi ni mashahidi wa ukweli huo.Ndugu zangu Watanzania,
Embu Soma Habari Hii Nzito kutoka kwa Serikali yetu dhidi ya Vyombo mbalimbali vya Habari vya Kimataifa ambavyo Vinajaribu kutaka Kuichafua Nchi yetu na Taswira njema na nzuri ambayo tumejijengea kwa Miaka mingi Duniani kote.
Soma hapa👉Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza kusikitishwa na makala iliyotangazwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha BBC Africa Eye, ikisema maudhui yake yamebeba upotoshaji na yanaweza kuathiri taswira ya Tanzania kimataifa.
Akizungumza kupitia taarifa kwa umma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amesema Serikali imewasiliana na BBC kuhusu makala hiyo ambayo, kwa mujibu wa Serikali, haikuzingatia kikamilifu misingi ya uwiano katika uandishi wa habari.
“Serikali imesikitishwa na makala iliyochapishwa leo tarehe 13 Julai, 2026 na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha ‘BBC Africa Eye’ ambayo imebeba maudhui ya upotoshaji, yaliyokosa usahihi thabiti, yenye upungufu wa taarifa muhimu na yenye mwelekeo wa kuichafua heshima ya Tanzania kimataifa." amesema Msigwa.
Amesema chombo hicho cha habari kimeendelea na mwenendo wa kutangaza vibaya Tanzania kwa kutumia nzito pasipo kutoa nafasi ya Serikali kujibu hoja zilizowasilishwa.
“Chombo cha habari cha BBC kimeendelea na mwenendo wake wa kutangaza vibaya Tanzania pasipo kutoa nafasi ya Serikali kujibu kama inavyopaswa kufanywa kwa mujibu taaluma ya uandishi wa habari licha ya Serikali kuwa tayari kutoa ushirikiano.” amesema.
Makala hiyo ya BBC Africa Eye inayohusu kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, imezungumzia safari yake ya kisiasa, historia ya harakati zake, tukio la kushambuliwa mwaka 2017, kurejea nchini, kukamatwa kwake na kesi ya uhaini inayomkabili.
Katika makala hiyo, BBC imewahoji watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa, wanaharakati na watu waliokuwa karibu na matukio yanayomhusu Lissu, huku ikijadili pia mazingira ya kisiasa nchini Tanzania.
Serikali imeeleza kuwa makala hiyo imeacha nafasi ndogo kwa upande wake kutoa ufafanuzi kuhusu hoja zilizowasilishwa na hivyo kukosa uwiano unaotakiwa katika uandishi wa habari.
“Kufuata upungufu huu wa kiweledi ambao haukupaswa na hautegemei kufanywa na chombo cha habari kinachotarajiwa kuwa na heshima kama BBC, Serikali ya Tanzania inachukulia kwa uzito mwelekeo wa maudhui ya BBC dhidi ya Tanzania na inafanya tathmini ya kina ya makala hiyo.” amesema Msigwa.
Aidha, Serikali imesema baada ya kukamilisha tathmini hiyo itachukua hatua zenye lengo la kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi dhidi ya mashambulizi yanayofanywa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
“Mara tathmini hiyo itakapokamilika, Serikali itachukua hatua zenye lengo la kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi dhidi ya mashambulizi ambayo yanafanywa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.” imeeleza taarifa hiyo.
Serikali imewataka Watanzania kuendelea kulinda amani, umoja na mshikamano wa kitaifa huku wakikabiliana na changamoto zinazotokana na taarifa zinazoweza kuleta mgawanyiko.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.