Serikali: Makala ya BBC haina ushahidi. Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi

De samia de doga red die hard, de one day with your serikali we will fingerlift you upside down, de mdomolism mixer vine mb e will be cutoff direct
 
Kadri mnavyojitetea ndivyo ukweli unabainika!
 
Hao ndio majirani zetu mkuu;

Tatizo nyie machadema mnatazama sana movie hivyo mnadhani uhusiano wa nchi na nchi ni kujipendekeza kwa mabeberu tu.

Yaani matamko ya EU na senate ya marakani, jumuiya ya madola ndio nchi inakuwa Imepiga hatua kiuchumi.
 
Hiki kitengo kinapitia wakati mgumu sana... Waliosababisha haya yote wapo huko nchi za mbali wanakula raha....
 
Mwamba ana maisha magumu sana.... Sijui kama huwa wanamkumbuka hata kumfuta jasho japo kidogo kwa kazi ngumu anayoifanya...
 
Zamani ilikuwa congo sudan elitrea

Sasa hivi tanganyika aaah nyie **** mmetuharibia nchi sana. Demokrasia inazidi kuzorota na kuzoroteshwa. Viongozi wastafu wapo wanaangalia tu. TISS mpo kwa ajili ya maslahi gani?
TISS hawasikilizwi. ukishauri unaonekana uko upande wa Lissu. Hawako huru wanalinda kitumbua chao. Katiba mpya ipatikane ili wakuu wa Taasisi wapatikane kwa mfumo tofati na sasa. CDF,CPF,DGIS, ... anaweza kuondolewa kazini kama tufanyavyo kwa house girl/boy?

tujisahihishe!
 
Hawa nao wanakera
Kila siku wanalalamika wao tu kutopewa nafasi.
Na wakipewa nafasi kazi yao ni kukanusha chochote hata kwa mambo yenye ushahidi wa kutosha.

Kumbe sasa kama ilivyo kawaida yao wakanushe, kama kuna ukweli wowote dhidi ya tuhuma hizo, sisi wadau tutayapima na kuubaini ukweli.
 
Hao ndio majirani zetu mkuu;

Tatizo nyie machadema mnatazama sana movie hivyo mnadhani uhusiano wa nchi na nchi ni kujipendekeza kwa mabeberu tu.

Yaani matamko ya EU na senate ya marakani, jumuiya ya madola ndio nchi inakuwa Imepiga hatua kiuchumi.
Majirani wauaji na wasiofuata haki za binadamu?

Ndege wafananao huruka pamoja.

Sishangai saa hizi kuona mkitaka ushirikiano na China na Urusi.
 
Hiki kitengo kinapitia wakati mgumu sana... Waliosababisha haya yote wapo huko nchi za mbali wanakula raha....
Hakuna raha wanakula mkuu huku damu za watu zikiwalilia aisee hata waende wapi ni kizazi na kizazi vitapita kwao ili wawe salama sio leo..
 

Huyu Msigwa ni very incompetent. Sijui amepewaje hiyo nafasi. Yaani yeye uwezo wake ni kuongea tu na akina Millard Ayo au magazeti ya udaku. Huo ndiyo uwezo wake unapoishia. Hana uwezo wa kuiface any media nje ya nchi. Huko lazima wamtafute Propesa wa Jalalani awasaidie.
 
Zamani ilikuwa congo sudan elitrea

Sasa hivi tanganyika aaah nyie **** mmetuharibia nchi sana. Demokrasia inazidi kuzorota na kuzoroteshwa. Viongozi wastafu wapo wanaangalia tu. TISS mpo kwa ajili ya maslahi gani?
Alafu angalia hata majibu Yao, mepesi mepesiiiii!!! Ya kukulupukaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…