Serikali: Makala ya BBC haina ushahidi. Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi

BBC iliombwa na Serikali iwahoji kwa wakati mmoja Waziri wa mambo ya ndani, spika na waziri wa ulinzi lakini walikataa.

Hiki ni kipeperushi tu cha mabeberu kipuuzwe.
Kwanini wahojiwe wakati mmoja?

Mnaogopa nini wakihojiwa mmoja mmoja , kwani hawawezi kujieleza hadi wakiwa kama kundi?

Interview na structure ya maswali inaandaliwa na anayeandaa interview sio ambaye anakuja kuhojiwa.
 
Kumbe iliombwa.Ukiombwa unaweza kukubali au kukataa kadri utajavyoona inafaa.Lakini mwisho wa siku Tanzania ndio inapoteza hivyo.Kwenye biashara image ndio kitu muhimu kuliko pengine hata bidhaa shikika
 
Hao ndio majirani zetu mkuu;

Tatizo nyie machadema mnatazama sana movie hivyo mnadhani uhusiano wa nchi na nchi ni kujipendekeza kwa mabeberu tu.

Yaani matamko ya EU na senate ya marakani, jumuiya ya madola ndio nchi inakuwa Imepiga hatua kiuchumi.
Nilidhani mpaka kufikia mwaka huu 2026 utakuwa umeelimika bro kumbe ni kazi bure! Bado uko vilevile!
Ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ukidhani atacheza na kuacha kula majani aliyotupiwa!
Nimesikitika sana na nakuombea uponyaji.
 
Kumbe iliombwa.Ukiombwa unaweza kukubali au kukataa kadri utajavyoona inafaa.Lakini mwisho wa siku Tanzania ndio inapoteza hivyo.Kwenye biashara image ndio kitu muhimu kuliko pengine hata bidhaa shikika
getting unbiased advice from someone who has what you want but wants nothing from you in return is one of the rare gift.
 
Mdigwa hana uwezo wa kuongea na chombo chochote cha nje hata cha kiswahili.
 
Kwanini kila siku mnahubiri amani bila kutaja haki? Pathetic
 
Zee la mzania limetoa kichwa pangoni. Yakiombwa ushirikiano yanapiga danadana taarifa ikitoka yanaibuka na mzania.
 
BBC iliombwa na Serikali iwahoji kwa wakati mmoja Waziri wa mambo ya ndani, spika na waziri wa ulinzi lakini walikataa.

Hiki ni kipeperushi tu cha mabeberu kipuuzwe.
Serikali ya mama yako ni maongo hakuna mfano. Unaamini kuwa hawakuombwa ushirikiano au walikuwa wanaingia mlango huu na kutokea mlango ule.
 
It's sad, wanaharibu reputation ya nchi kipumbavu. Huyo Prof wa Jalalani naye huwa blah blahs tupu always dodging critical points, huwa anathani kuongea mambo mengi useless yanaweza kuwatoa watu kwenye ku-focus critical issues.
 
BBC wamewachokoza tu hapo,sasa NZI WA KIJANI mkijichanganya tu,BBC wanamwaga MBOGA YOTE.
 
Hakuna wa kumfunga paka kengele miongoni mwao? Mbinu zite za kijasusi wamefungia kabatini?
 
naona ni kama walikuwa hawana mbinu zaidi ya Ile ya mto wami katika Ile ziara ya Tanga wakati mzee baba akiwa anaaga dunia kule Mzena
 
Nilidhani mpaka kufikia mwaka huu 2026 utakuwa umeelimika bro kumbe ni kazi bure! Bado uko vilevile!
Ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ukidhani atacheza na kuacha kula majani aliyotupiwa!
Nimesikitika sana na nakuombea uponyaji.
Hunizidi mimi mkuu;

Nasikitika bado upo upande huo wa matapeli ya siasa.
 
Kumbe iliombwa.Ukiombwa unaweza kukubali au kukataa kadri utajavyoona inafaa.Lakini mwisho wa siku Tanzania ndio inapoteza hivyo.Kwenye biashara image ndio kitu muhimu kuliko pengine hata bidhaa shikika
Watu wanainvest Somalia kwenye Vita kila siku ndio iwe Tanzania ambako amani imejaa mpaka inamwagika.
 
Kwanini wahojiwe wakati mmoja?

Mnaogopa nini wakihojiwa mmoja mmoja , kwani hawawezi kujieleza hadi wakiwa kama kundi?

Interview na structure ya maswali inaandaliwa na anayeandaa interview sio ambaye anakuja kuhojiwa.
Walipewa nafasi wakaikataa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…