Kwaio hapa unawaeleza waliosoma hicho kitabu au tukuelewe vipi?Mkuu,umenikumbusha kitabu fulani kinaitwa 'His Excellence The Head Of The State' humo ndani humo mwanamama kwa jina la Nelly Takida
Kuna mtawala alitaka kuchapisha fedha Nelly Takida akagoma kwa kumshauri asichapishe tena alimpa formula za kiuchumi mwishowe mwanamama Nelly Takida alipuuzwa na kiongozi wa nchi yake (Kilitania) ali-print noti nyingi sana na kuwapa tenda rafiki zake bila kufuata taratibu za zabuni za ununuzi...gues what happened then!!!!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha wewe ndugu ni una majungu sana○Viwanda 3000+
○Fly over
○Kuamia Dom, kulifanýa jiji mpaka ○mapato kuòngeka na kulipita jiji la Dar
Hahahah! Mkuu vuta subira kidogo I'm sure Mr. Mipango is on the way kulimaliza hiliKwahiyo tuchapishe ili tuupunguze kasi kidogo isije speed hii ikatubwaga kitonga....
Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
Hahahah! Hapana mkuu, sasa tutafanyaje zaidi ya kusubiri ufafanuzi?Inaonekana wewe nyumbani kwako sufuria zote zimesha badilika rangi na kuwa kijani sababu ya kisamvu daily
Sent using Jamii Forums mobile app
wakati jk anachukua nchi gdp ilikua kiasi gani na aliacha kiasi gani?uchumi alianza kuuharibu jk
huyu alikuwa na nafasi ya kuurekebisha,bahati mbaya badala awaachie wachumi yeye mchmi maganda korosho akawa ndio mshauri mkuu wa kiuchumi,tena majukwaani!!!!
Naconnect dot na mjadala was Bi Maria Sarungi twitwerTaarifa ya BOT 2018 hati fungani zimekosa wanunuzi
Low purchasing powerHivi elfu kumi unaitafuta kwa shida, na ukiipata unanunua vitu vichache , jina la uchumi wa namna hii ni lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yana akisi utabiri wa Bushiri wa sauz Africa 2015 hali ya uchumi itazidi kuendelea kuwa mbaya kila mwaka.Tuendelee kutembea kwenye right track kurudi rivasi,Ikiwa ni kweli basi Tanzania yetu inakoelekea M/Mungu atupe ujasiri wa kuikabili.
Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app