Sina hakika kama Katiba Mpya itaniongezea chochote Cha maana kwenye maisha yangu hasa nikiangalia kinachoendelea Kenya ,South Africa,Ufaransa..
Hizi mambo nadhani zinawasaidia zaidi Wanasiasa,so ikipatikana sawa isipopatikana sawa.
Jamaa alitupatia kwakweli
Shaka yako haipishani na yangu.Mimi nitabaki kuwa Tomaso katika hili swala la Katiba Mpya.
Sina hakika kama Katiba Mpya itaniongezea chochote Cha maana kwenye maisha yangu hasa nikiangalia kinachoendelea Kenya ,South Africa,Ufaransa..
Hizi mambo nadhani zinawasaidia zaidi Wanasiasa,so ikipatikana sawa isipopatikana sawa.
Katiba mpya haiepukiki. Hata CCM kuna wengi wanataka hili. Swali ni: je, itapatikana katiba ya wananchi yenye viwango vinavyokubalika au ni katiba ya kiinimacho ili kutuliza kelele?
Kabisa hii ni danganya toto, huko mbeleni watajitokeza akina Mwigulu, Nape, Makamba, Wassira na wengineo na kuvuruga mchakato woteKiini macho tu, katiba ya kweli huku Afrika huandikwa baada ya machafuko, au serikali kupinduliwa.
Zikishapatikana pesa inapigwa sarakasi mchakato unavurugwaWaziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa mchakato wa Katiba Mpya pamoja na maboresho ya sheria ya vyama vya siasa na Uchaguzi unatarajiwa kuanza kufanyiwa kazi baada kupitishwa kwa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
Mchakato wa Katiba mpya ni agizo la Rais Samia Suluhu Hassan,
suala hilo kuwa mchakato wake hauwezi kupelekwa haraka haraka lakini Serikali inalifanyia kazi.
Safi Sana.
Kwani kinachoendelea huko ni kwa sababu ya katiba mpya....!!? ELIMU, ELIMU, ELIMU.Sina hakika kama Katiba Mpya itaniongezea chochote Cha maana kwenye maisha yangu hasa nikiangalia kinachoendelea Kenya ,South Africa,Ufaransa..
Hizi mambo nadhani zinawasaidia zaidi Wanasiasa,so ikipatikana sawa isipopatikana sawa.
Una akili sana! It’s impossible maana atakayopenda Samia, Chadema watasusa! Wabunge hawatakubali kutokuwa mawaziri etcMimi nitabaki kuwa Tomaso katika hili swala la Katiba Mpya.
Jibu ni hakunaKatiba mpya haiepukiki. Hata CCM kuna wengi wanataka hili. Swali ni: je, itapatikana katiba ya wananchi yenye viwango vinavyokubalika au ni katiba ya kiinimacho ili kutuliza kelele?
Swali gumu sana hili. Tujipe muda na kushuhudia nini hasa kitakachofanyika.je, itapatikana katiba ya wananchi yenye viwango vinavyokubalika au ni katiba ya kiinimacho ili kutuliza kelele?
You have nailed,to add Ghana na Marekani ni nchi zinazosifika kwa demokrasia na juwa na katiba bora duniani,ukija upande wa ghana maisha ni shida sana kwao kwa sasa licha ya kusifika kwa kuwa na katiba bora na demokrasia nzuri ,marekani nao Trump D Analia kubambikiwa kesi na chama twawala lakini ndo wanajisifu kwa katiba bora na demokrasia imara,sasa demokrasia ni nini!?Sina hakika kama Katiba Mpya itaniongezea chochote Cha maana kwenye maisha yangu hasa nikiangalia kinachoendelea Kenya ,South Africa,Ufaransa..
Hizi mambo nadhani zinawasaidia zaidi Wanasiasa,so ikipatikana sawa isipopatikana sawa.
Hayo mambo ya Katiba Yako overrated ila hayana direct impacts kwenye maisha ya mtu mmja mmja,ni scarm Kwa locals na deal Kwa Wanasiasa..You have nailed,to add Ghana na Marekani ni nchi zinazosifika kwa demokrasia na juwa na katiba bora duniani,ukija upande wa ghana maisha ni shida sana kwao kwa sasa licha ya kusifika kwa kuwa na katiba bora na demokrasia nzuri ,marekani nao Trump D Analia kubambikiwa kesi na chama twawala lakini ndo wanajisifu kwa katiba bora na demokrasia imara,sasa demokrasia ni nini!?
Mimi nadhani katiba mpya kwa upande wangu sioni kama ni suruhu ya changamoto alizonazo mwananchi
Kumbe ni Kwa sababu ya nini? Nyie si ndio mnadanganya watu hapa kwamba ukiona Watoto wanakaa chini shida eti ni Katiba Mpya, upumbavu.Kwani kinachoendelea huko ni kwa sababu ya katiba mpya....!!? ELIMU, ELIMU, ELIMU.
Sasa mbona hizo Katiba Mpya hazina maana yeyote kwenye maisha yoa? Mbona Zina maisha hovyo kuliko Tanzania..Kwa taarifa yako hizo nchi kutokana na kuwa na katiba bora, ndio maana unaona unayoyaona kwenye nchi hizo, ila kwakuwa umekulia kwenye malezi ya ukondoo hivyo unaona yanatokea Kenya, South Africa nk, ni makosa.
Ni sawa akisema hivyo kwani nae ni mwanasiasa na Wala Mimi sipingi hiyo Katiba yenu Mpya ila nachojaribu kuweka sawa kumbukumbu ni kudhani kwamba hiyo Katiba Mpya ni muarobaini wa ustawi wa Maisha ya watu jambo ambalo ndio mnadanganya watu..Waziri anasema hitaji la katiba mpya ni hitaji la watanzania.
Kwani mbinafsi wewe ni Mrundi?