Serikali: Mchakato wa Katiba Mpya na maboresho ya Sheria ya vyama vya Siasa na Uchaguzi, sasa kuanza

Serikali: Mchakato wa Katiba Mpya na maboresho ya Sheria ya vyama vya Siasa na Uchaguzi, sasa kuanza

Sina hakika kama Katiba Mpya itaniongezea chochote Cha maana kwenye maisha yangu hasa nikiangalia kinachoendelea Kenya ,South Africa,Ufaransa..

Hizi mambo nadhani zinawasaidia zaidi Wanasiasa,so ikipatikana sawa isipopatikana sawa.

Waziri anasema hitaji la katiba mpya ni hitaji la watanzania.

Kwani mbinafsi wewe ni Mrundi?
 
Kwa taarifa yako hizo nchi kutokana na kuwa na katiba bora, ndio maana unaona unayoyaona kwenye nchi hizo, ila kwakuwa umekulia kwenye malezi ya ukondoo hivyo unaona yanatokea Kenya, South Africa nk, ni makosa.
 
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa mchakato wa Katiba Mpya pamoja na maboresho ya sheria ya vyama vya siasa na Uchaguzi unatarajiwa kuanza kufanyiwa kazi baada kupitishwa kwa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
Zikishapatikana pesa inapigwa sarakasi mchakato unavurugwa
 
Safi Sana.

Hatua njema lakini pesa za kununua magoli na kusaidia wahanga wa majanga nje sasa, zipo ila siyo kwa katiba mpya ambayo ni hitaji la watanzania.

Zingatia:

1. Tunanunua magoli @ 5,000,000/- kwenye vilabu, na 10,000,000/- @ kila goli Taifa stars.

2. Tumetoa juu ya misaada mingine $ 1m kwa Malawi na pia kwa Uturuki kwa majanga yaliyowakuta.

Imesisitizwa: "pesa zipo."

Huyu mama atakuwa amewekeza kwenye kutuchezesha ngoma kweli kweli. Kila wakati yuko hatua moja mbele.

Tusipoangalia chaguzi 2024/25 si chini ya katiba mpya.

Uchaguzi 2024/25 wa nini kama hakuna Katiba Mpya?

Ni muhimu kuona Mama anataka uchaguzi mkuu 2025 bila katiba mpya.

Ni heri uchaguzi ukaahirishwa.
 
Atleast serikali inaendelea kuonesha nia, ipongezwe; wasiwasi wangu ni kwamba, kwasababu inaonekana Samia ana copy & paste kila kilichofanywa enzi za JK, isije tokea huo mchakato wa Katiba Mpya ukafa kifo kile kilichotokea wakati ule, vyema ajitahidi yeye amalizie alipoishia mwenzake.

Kinyume na hapo, utakuwa ni muendelezo ule ule wa kuchezea pesa za walipakodi, usitokee; pia sitarajii kusikia maneno ya wahafidhina wamegoma kupitisha hiki au kile, hili taifa sio la wahafidhina, ni la watanzania wote, nao kwa umoja wao ndio wanahitaji Katiba Mpya, sasa muhimu maoni yao yafanyiwe kazi kwenye hiyo Katiba itakayopatikana.

Hatuhitaji Katiba Mpya ya watawala kama hii tuliyorithi toka kwa mkoloni, hili taifa limeshakuwa huru ni wakati wa kuonesha hayo kwenye Katiba Mpya, nchi sasa irudi mikononi mwa wananchi.
 
Sina hakika kama Katiba Mpya itaniongezea chochote Cha maana kwenye maisha yangu hasa nikiangalia kinachoendelea Kenya ,South Africa,Ufaransa..

Hizi mambo nadhani zinawasaidia zaidi Wanasiasa,so ikipatikana sawa isipopatikana sawa.
Kwani kinachoendelea huko ni kwa sababu ya katiba mpya....!!? ELIMU, ELIMU, ELIMU.
 
You have nailed,to add Ghana na Marekani ni nchi zinazosifika kwa demokrasia na juwa na katiba bora duniani,ukija upande wa ghana maisha ni shida sana kwao kwa sasa licha ya kusifika kwa kuwa na katiba bora na demokrasia nzuri ,marekani nao Trump D Analia kubambikiwa kesi na chama twawala lakini ndo wanajisifu kwa katiba bora na demokrasia imara,sasa demokrasia ni nini!?

Mimi nadhani katiba mpya kwa upande wangu sioni kama ni suruhu ya changamoto alizonazo mwananchi
 
Hayo mambo ya Katiba Yako overrated ila hayana direct impacts kwenye maisha ya mtu mmja mmja,ni scarm Kwa locals na deal Kwa Wanasiasa..
 
Kwani kinachoendelea huko ni kwa sababu ya katiba mpya....!!? ELIMU, ELIMU, ELIMU.
Kumbe ni Kwa sababu ya nini? Nyie si ndio mnadanganya watu hapa kwamba ukiona Watoto wanakaa chini shida eti ni Katiba Mpya, upumbavu.
 
Kwa taarifa yako hizo nchi kutokana na kuwa na katiba bora, ndio maana unaona unayoyaona kwenye nchi hizo, ila kwakuwa umekulia kwenye malezi ya ukondoo hivyo unaona yanatokea Kenya, South Africa nk, ni makosa.
Sasa mbona hizo Katiba Mpya hazina maana yeyote kwenye maisha yoa? Mbona Zina maisha hovyo kuliko Tanzania..

Mfano Huwa mnazunguka huko mitaani mnawaambia watu eti Katiba Mpya itazuia Serikali Kukopa ,Ghana
,Zambia na Kenya zimefilisika kwa nini Katiba Mpya haikuzuia hayo?

Katiba Mpya is overrated na nasisitiza ni Kwa maslahi ya Wanasiasa na Wala sio Wananchi wa kawaida..

Hivi Kwa mfano maskini hana pesa hiyo Katiba Mpya itamsaidia nini akidhulumiwa Haki Mahakamani?
 
Waziri anasema hitaji la katiba mpya ni hitaji la watanzania.

Kwani mbinafsi wewe ni Mrundi?
Ni sawa akisema hivyo kwani nae ni mwanasiasa na Wala Mimi sipingi hiyo Katiba yenu Mpya ila nachojaribu kuweka sawa kumbukumbu ni kudhani kwamba hiyo Katiba Mpya ni muarobaini wa ustawi wa Maisha ya watu jambo ambalo ndio mnadanganya watu..

Mnadieiki kusema kabisa kwamba eti Katiba Mpya itaondoa tozo sijui nini wakati Katiba Mpya Wala haiji na pesa, mahitaji yatakuwa pale pale..

Hiyo ni scarm Kwa Ajili ya Wanasiasa,haitamsaidia mwananchi yeyote wa kawaida kuboresha maisha yake.
 
Back
Top Bottom