Serikali: Mchakato wa Katiba Mpya na maboresho ya Sheria ya vyama vya Siasa na Uchaguzi, sasa kuanza

Haitanizuia ila siwezi kupoteza mda wangu kuwatengenezea ulaji nyie Wanasiasa,Kila mtu apambane kivyake

Kwani nani ameomba msaada wako kwenye kudai hiyo katiba mpya? Au unadhani kuna mtu anafahamu uwepo au umuhimu wako?
 
Alikosea basi kuturoga woteee, sema jamaa anauchawi mkali sana yaani tangu tupo watanzania 2mln tu mpaka sasa tupo 61mln bado dawa inafanya kazi na yeye hayupo?
Yupo, hajafa. Bado anaendelea kuishi KIVINGINE HUMU HUMU TANGANYIKA.
 
Ninachofahamu ni kuwa Mh. Rais Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba. Anajua "A" mpaka "Z" ya kilichotokea, hivyo kwa kuwa sasa yeye ndiye raia namba moja mwenye nguvu zaidi, na kwa kuwa kama kweli atakuwa na nia ya dhati ya kutengeneza katiba mpya, sioni chochote wala yeyote wa kumfanya asitimize hili.

Naomba Watanzania wote tunaoitakia mema Tanzania yetu, tumuombee na kumpa ushirikiano ili lengo hili litimie kwa mustakabari mwema wa vizazi vya sasa na vijavyo.

Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki Mh. Rais Samia SS.
Mungu tubariki Watanzania.
Mengine nilikuwa siyakumbuki, kumbe alikuwa Makamu Mwenyekiti wa lile Bunge la Katiba lililovurugika, tuombe asijekupelekeshwa na wahafidhina ndani ya chama chake kama ambavyo ametuthibitishia hao jamaa walikuwepo wakati ule wa mchakato wa maridhiano ukiendelea, kule aliwashinda, hopefully, na hapa atawashinda pia.
 
Mchawi akifa uchawi wake haufi, unaendelea kufanya kazi
Kitafute kitabu chenye title ya " Kivuli kinaishi" ukosome! Bi Kilembwe hakuwa mwanamke Bali mwanamme ambaye ni Nyerere na ule unga wa ndele ndio huchomwa kwenye mwenge na Moshi wake tunauvuta ili tusahau na kupoteza kumbukumbu ya matukio mabaya mapema!
 
Sina hakika kama Katiba Mpya itaniongezea chochote Cha maana kwenye maisha yangu hasa nikiangalia kinachoendelea Kenya ,South Africa,Ufaransa..

Hizi mambo nadhani zinawasaidia zaidi Wanasiasa,so ikipatikana sawa isipopatikana sawa.
Una upumbavu mwingi sana
 
Ninachofahamu ni kuwa Mh. Rais Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba. Anajua "A" mpaka "Z" ya kilichotokea, hivyo kwa kuwa sasa yeye ndiye raia namba moja mwenye nguvu zaidi, na kwa kuwa kama kweli atakuwa na nia ya dhati ya kutengeneza katiba mpya, sioni chochote wala yeyote wa kumfanya asitimize hili.

Naomba Watanzania wote tunaoitakia mema Tanzania yetu, tumuombee na kumpa ushirikiano ili lengo hili litimie kwa mustakabari mwema wa vizazi vya sasa na vijavyo.

Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki Mh. Rais Samia SS.
Mungu tubariki Watanzania.
Sa100 atasaidia Nchi kupata KATIBA mpya Bora sana ikiwa tu ataondoa mawazo ya kugombea 2025.

Bring back our WARIOBA 🙏🙏🙏🙏
 
Ninachofahamu ni kuwa Mh. Rais Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba. Anajua "A" mpaka "Z" ya kilichotokea, hivyo kwa kuwa sasa yeye ndiye raia namba moja mwenye nguvu zaidi, na kwa kuwa kama kweli atakuwa na nia ya dhati ya kutengeneza katiba mpya, sioni chochote wala yeyote wa kumfanya asitimize hili.

Naomba Watanzania wote tunaoitakia mema Tanzania yetu, tumuombee na kumpa ushirikiano ili lengo hili litimie kwa mustakabari mwema wa vizazi vya sasa na vijavyo.

Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki Mh. Rais Samia SS.
Mungu tubariki Watanzania.
Naunga mkono hoja 100 % . Na huo ndio ukweli wenyewe !!
 
Sina hakika kama Katiba Mpya itaniongezea chochote Cha maana kwenye maisha yangu hasa nikiangalia kinachoendelea Kenya ,South Africa,Ufaransa..

Hizi mambo nadhani zinawasaidia zaidi Wanasiasa,so ikipatikana sawa isipopatikana sawa.
We ni mjinga na mpumbav wa kwanza dunian
 
Vile "Mama" anawasisitizia CCM kuwa katiba mpya ni lazima na ni sasa👇😁😁😁
 
Back
Top Bottom