Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Kwani unafahamu namba ya wasiokuwa wazima Tanzania na Africa?
Kila anayefariki kwa Corona Afrika wanasema alikua anaumwa mazagazaga mengine, mara kisukari mara hiki mara kile. Hivyo bado hatujakumbana na kifo cha Mwafrika aliyekua mzima.

Wazungu tatizo lao miili yao imezoea madawa mpaka haina uwezo wa kujipigania na ndio maana wakikutwa na kirusi kama hiki hakiwaach salama.
 
Mkuu wazungu wakienda kukupima watakuambia una maradhi kibao wakati wewe una jiona ni mzima!
Sisi tunaumwa maradhi kibao mengine hayana tena madhara!
 
71491C60-5E2D-4F39-B20B-29AA55A2E661.jpeg
 
ingia kwenye map zone ya DSM mkuu utaona mipaka,sibishi ila ndio uhalisia ulivyo...
Uhalisia upi wakati mimi nimeishi pale miaka rundo? Bi mkubwa alinunua shamba kule mwaka 72, pia wakati tunahamishwa kupisha ujenzi wa hospitali tulikuwa tunahesabika kama wakazi wa wilaya kinondoni na sio kisarawe
 
mkuu tafuta map zone ya DSM...wacha kulalamika...mambo yamebadilika....ramani inasoma pale ni kisarawe...hii sio 1972 ni 2020 blaza......
 
mkuu tafuta map zone ya DSM...wacha kulalamika...mambo yamebadilika....ramani inasoma pale ni kisarawe...hii sio 1972 ni 2020 blaza......
Kwahiyo mnyika ni mbunge wa mkoa wa pwani?
 
Bila hatua stahiki, haya maneno mtayasema hadi mtachoka.
Ulikatazwa kufanya hizo hatua stahiki?

Hiyo ni Aya ya Qur'an. Tunaisoma Qur'an kutwa mara tano kwa uchache leo miaka zaidi ya 1400 hatujachoka na hatutachoka daima. Soma...

الَّذِينَ إِذَا أَصَابَتْهُم مُّصِيبَةٌ قَالُوا إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ - 2:156

Who, when disaster strikes them, say, "Indeed we belong to Allah, and indeed to Him we will return."
 
Punguza ufala basi, Mkoa Dar, Wilaya Ubungo, Kata Kibamba
naona mapovu yanakutoka.........ukibishana na mpumbavu nawe utakuwa mpumbavu.....ungekuwa umeipitia DSM map zone ungetambua ya kuwa wewe ni wale wale....shabiki kumbukizi......DSM map zone 2018.......katafute mbwiga mshika mwiko wewe....
 
TANZIA
Familia ya Marehemu Alhaj Brigedia Generali Hashim Mbita kwa huzuni kubwa inasikitika kuarifu msiba wa mdogo wetu mpendwa IDDI HASHIM MBITA uliotokea usiku wa kuamkia leo hospitalini Mloganzila.
Kutokana na tatizo lililopelekea kifo chake, CORONA, serikali itamzika mpendwa wetu leo mchana. Wawakilishi wachache sana wa familia wataruhusiwa kuhudhuria mazishi. Hakutakuwa na msiba wala matanga ya pamoja kuepuka kueneza maambukizi. Kila mtu aomboleze kwake.
Dua nyingi tumuombee Iddi Allah amuweke pema peponi. Amina.

Poleni familia ya Marehemu Mzee Brigedia Hashim Mbita, Bwana alitoa Bwana amemtwaa .

Watoto wa mjini hili gonjwa lipo, mjihadhari kwa kufuata maelekezo ya Wizara ya Afya.
 
Back
Top Bottom