Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

naona mapovu yanakutoka.........ukibishana na mpumbavu nawe utakuwa mpumbavu.....ungekuwa umeipitia DSM map zone ungetambua ya kuwa wewe ni wale wale....shabiki kumbukizi......DSM map zone 2018.......katafute mbwiga mshika mwiko wewe....
Mabinti mnakuwa na maneno ya hovyo? Mimba changa inakupelekesha wewe na mimi sio niliyekubebesha hiyo mimba dada
 
Serikali haina dini mbona huyu waziri anaandika kuhusu Mungu kwenye document ya kiserikali?
Hata wimbo wetu wa taifa unaanza na neno "Mungu". Tofautisha Mungu na Dini. Ni kweli serikali haina dini (tamka 'dini mahsusi), lakini inaongozwa na watu wanaomwamini Mungu na raia wake wanamwamini Mungu katika dini zao mbalimbali.
 
QUOTE="fyddell, post: 34829359, member: 64028"]
Alikuwa na pressure na kisukari.
[/QUOTE]

Maskini dah! Usikute hiyo presha imepanda sababu ya hofu na kutengwa. Pole nyingi kwa familia
 
Kumbe alikuwa anasumbuliwa na maradhi mengine..........kabla ya COVID-19.
Kwani ukiwa unawahisha mgonjwa wa malaria hospitali katika ambulance, halafu hiyo ambulance ikapata ajali mgonjwa akafa utasema kafa kwa sababu gani?
a. Kafa kwa malaria kwa sababu bila malaria asingekimbizwa hospitali kwa ambulance hiyo aliyopatia ajali
b. Kafa kwa ajali kwa sababu bila hiyo ajali angeweza kufika hospitali akapona
c. Kafa kwa uzembe wa dereva wa ambulance kwa sababu hiyo ambulance ingeendeshwa na dereva mwingine angefika hospitali salama
d. Kafa kwa uzembe wake mwenyewe kwa sababu angewahi kwenda hospitali kabla hajazidiwa asingehitaji kukimbizwa hospitali kwa ambulance ya dharura

Jibu ni ....................
 
Upungufu wa kinga mwilini huwenda ndio ikawa chanzo cha kifo chake..

Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kukebehi tu lakini hatujui ya kesho. Marehemu alikuwa na asili ya pumu na siyo kama alikuwa kwenye hali mbaya kabla ya kuugua. Alilazwa hospital ya Agha khan na watu wengi walikuwa wanamtembelea hospitalini kabla hajahamishwa.
 
Ulikatazwa kufanya hizo hatua stahiki?

ni Aya ya Qur'an. Tunaisoma Qur'an kutwa mara tano kwa uchache leo miaka zaidi ya 1400 hatujachoka na hatutachoka daima. Soma...

الَّذِينَ إِذَا أَصَابَتْهُم مُّصِيبَةٌ قَالُوا إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ - 2:156

Who, when disaster strikes them, say, "Indeed we belong to Allah, and indeed to Him we will returnable."
Hili siyo suala langu peke yangu.
 
Mloganzila bado Inafanya vizuri kwenye headlines za vifo bila kujali ugonjwa

Jr[emoji769]
Unataka watu wasiende kutibiwa huko...Leo nilipofika ofisini nikasema dah..nilikuwa mloganzila...it was just a joke...lakini reaction ya wenzangu mmmh
 
CCM njooni muendelee kumsifia Jiwe, yaani baada ya kutuibia mmeamua sasa kutuacha tufe kwa Corona....
Inaelekea unakejeli juhudi za Rais na serikali katika mapambano dhidi ya Corona
 
Back
Top Bottom