Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kwa taarifa yako,asilimia kubwa ya Waafrika wanaishi/tunaishi na maradhi mbalimbali kwenye miili yetu tena maradhi mengine hata hatujui kuwa tunayo.Poleni Watanzania, ila inatia moyo kujua alikua anaumwa maradhi mengine, Corona kwa Waafrika bado haijamchukua mtu aliyekua mzima, nimefuatilia habari za kila kifo..
Huu ugonjwa bado kuna mambo mengi hayajafahamika ila watu wakijaribu kuhoji na kufikiri tofauti wanaonekana wapotoshaji na wanajifariji.Ety alikuwa na magonjwa mengne??Nyie endeleeni kuufanyia utani huu ugonjwa.Natamani wa pili awe magu ili tujipange vzuri namna ya kupambana na huu ugonjwa.
Hushaingai viapo unakuja kushangaa kuandikwa kuhusu Mungu!Serikali haina dini mbona huyu waziri anaandika kuhusu Mungu kwenye document ya kiserikali?
Kwanini useme hivyo kwani kuna ambao watu waliacha kufa? Kila saa watu wanakufa haijarishi corona,kipindupindu wala ebola.Bila hatua stahiki, haya maneno mtayasema hadi mtachoka.
Kwamba Corona imesukuma mlevi!
Kwahiyo kinachofanya tusiumwe ni nini hali ya kuwa tuna maradhi?Mkuu, kwa taarifa yako,asilimia kubwa ya Waafrika wanaishi/tunaishi na maradhi mbalimbali kwenye miili yetu tena maradhi mengine hata hatujui kuwa tunayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa kutia wajinga moyo![emoji2211][emoji2211][emoji2211]Kumbe alikuwa anasumbuliwa na maradhi mengine..........kabla ya COVID-19.
Jasiri kitakwimu![emoji2211][emoji2211][emoji2211]Jasiri muongoza njia
Sent From Galaxy S9
Ila kilichopeleka kifo ni covid 19Kumbe alikuwa anasumbuliwa na maradhi mengine..........kabla ya COVID-19.