Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

Huyu nae ni wa wapi?

Kwanza utambue una haki ya kujua na kupata taarifa za taifa lako kama mwananchi!

Haya mambo yanayofanyika gizani bila we kujua umeshajua fidia ambazo zimelipwa kwa usiri wa mikataba hiyo? Na hiyo ni kodi yako!

Nina mashaka na uelewa wako wa mambo!
 
We we ni Ng'ombe

Kaka Samahani Hivi Kwanini Unemfananisha Rafiki yangu huyo Mganguzi unemfananisha na N’gonbe[emoji30][emoji30][emoji12][emoji3]
Yaani bado natafakari huyu ng’ombe cheusi nilienae hapa ndo jamaa eti…
Kuna Mwingine kadogo kenyewe mpaka ukapige fimbo ndio kaende joshoni!
Eti ng’ombe….’Unamaanisha Akili yake,Mwili wake au na umbo lake ni kama ng’ombe au???
Bado nawaza sanaaa kaka ujue…
halafu yeye bado hajafakari kama mimi hapa.
Daaa eti “Wewe ni Ng’ombe”[emoji16]🥹🥲
Daa kaka Umewaza nini Mpaka unemwanbia Mtoa mada kuwa ni ng’ombe umechagua Mnyama ng’ombe
na yeye amekenua tuu…[emoji12]
yaani nimetamani Kumpiga Picha hiyu ng’ombe wetu nimuweke hapa halafu bdio nimfananishe na jamaa
 
Akili yako kisoda!
Serikali inaposhindwa kwenye kesi ( disputes) kwenye mikataba ya hovyo ya Siri huko Duniani mbona huwa Dunia ututangazia!

Nchi hii imekwama kwa kuwa na watu wengi wenye akili ndogo kama wewe, yule mwenyekiti wa CCM nyamagana anayetaka Waarabu waje haraka wachanganye damu na yule Mama Mwenezi wa CCM Taifa anayeuliza maswali ya kipumbavu kama vile mbona Bandari haijawekwa kwenye kiroba kama imeuzwa!

Danahni una maanisha hiki kisoda kwenye chupa au Kisoda kingine[emoji3166][emoji3][emoji12]
daaa,
Kidoda cha Soda au bia???
Sasa mbona Kichwa cha binafamu ni kikubwa kuliko kisoda[emoji30] daaa
 
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?
Ukisikia neno kuna watu na viatu bas huyu ndie kiatu chenyewe hapo chini 👇
 
Attachments

  • IMG_20220920_184248.jpg
    IMG_20220920_184248.jpg
    11.9 KB · Views: 1
Wewe na yule mwich ni upinde then elimu hamna

Mkataba huu wa uhaini ulivujishwa na wazalendo
 
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?

Wewe ni nguruwe kabisa, nahisi hata nguruwe ana faida kwa wala kitimoto, akili yako imejaa kamasi kama siyo tope!!
 
Majambazi huwa yanasalitiana.

Hivyo mtatuvujishia tu hata mfanyaje.
 
Majambazi huwa yanasalitiana.

Hivyo mtatuvujishia tu hata mfanyaje.
Lengo la kuruhusu mjadala lilikuwa jema kabisa ,Sasa walengwa wanajifanya ndio wqjuaji zaidi
 
Tatizo Kila ajenda mbaifanya ni ya kisiasa ndio maana mapovu yanawatoka
 
Back
Top Bottom