Serikali mnataka tufanye kazi gani?

Serikali mnataka tufanye kazi gani?

Salamu wakuu.

Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu.

Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too sad.

KiJana anapambana kujiajili. Anajinyima kula sometimes anakula.hata mlo mara mbili ili awekeze katika mambo yake.

Ila serikali yetu imekua ni sehemu moja wapo ya kurudisha maendeleo ya vijana hapa nchini...

Hivi kweli mnakuta mtu anapambana na kibiashara chake ana unga unga lakini from no where wanakuja watu wanajiita sijui nani wanataka vibari vya nini sjui...

Alafu wanakutoza pesa ambayo ukipiga maesabu mtaji wa kazi yako hata haufukii faini ya pesa waliyokutoza..

Sasa nauliza hivi tukiingia mtaani na kuanza kuiba , kukaba au kufanya mambo ya hovyo mtatufanya nini...

Kuna mambo mengine yanafanyika yanaumiza sana sana
Huku ni kurudisha a nyuma kimaendeleo wakuu

Nimeumia sana mpaka sasa pesa niliyoitafuta zaidi ya miaka mitatu imekuja kutolewa ndani ya dakika 5 tuu...
Inauma sana wakuu...
Shida siri-kali inawazee nasiyo vijana na hao hao wazee wa zamani wanatuambia vijana wa kileo tujiajiri na wakati enzi za ujana wao kujiajiri ndiyo ilikua mteremko na bado wakakataa kujijiri.
 
huana haja ya kuiba kuona wovu, wala kutamani au kudokoa mali ya wenyewe, watakupoteza bure tu

kilimo, ufugaji na biashara ni ajira za wazi, mtatiji ikiwa ni uthubutu, nguvu na bidii yako tu unatoboa maisha kiulaini sana :NoGodNo:
Kama kilimo chenyewe hawatulipi Hela za mahindi mpaka Leo sijui serikali hii tuiite jina Gani, Mimi naiona serikali yetu inapenda watu wawe masikini ili tutawalike kirahisi,huwezi kudhulumu mpaka mtu wa mwisho(mkulima)Huku unajidai ni serikali sikivu
 
Huko serikali wamejaa wazee hawajui vijana wanapitia changamoto gani kwasasa!, tena wakiowaona vijana kadhaa waliofanikiwa nakutumbua wanajua vijana wote mambo safi!. kumbe wengine mafanikio waliyonayo wanajihusisha na mambo ya hovyo!.
sera
katiba
serikali
viongozi
vyote hivi vinahitajika kuboreshwa.
Mfano wafanyakazi wengi wa TRA mind set zao ni za kimasikini wamejaa chuki na roho mbaya yaani wao kila mwaka wanataka wakuongezee kodi.Hivi biashara ya mtaji wa milioni 3 kila mwaka ukiongezewa kodi biashara itaacha kufa?Bora wachawi na wezi kuliko wafanyakazi wa TRA
 
Back
Top Bottom