Serikali mnataka tufanye kazi gani?

Serikali mnataka tufanye kazi gani?

Chek hi life cycle mkuu

Upo chuo
Kutokana na ugumu wa life waliopitia ma broo zako walio maliza unaona bora ujiwekee na kufanya biashara mbali mbali ukiwa chuo ili ukimaliza kidogo utoke na capital

Unamaliza chuo
Unakuja mtaani unakutana na issue mbali mbali. Unasema its oky unapambana nazo...
Lakini hapo hapo unakutana na mambo un normal kama haya ambayo yanakufanya ukate tamaa kabisa

Hapo unajiuliza ufanye nini sasa maana hata kama ni mambo ya makodi mara ma vibari kwanini wasiwe wanangalia scale ya mtu either ni large or small...
Hawaangalii time ya wewe pale ulipo...
Even income yako per day....

Why wanafanya hvi
 
Haha , kivipi mkuu. Mbona Rais anauza rasilimali za nchi, anachagua mawaziri, wabunge wabovu ili apige pesa.

Halmashauri za serikali wote ni wezi wa uchaguzi, rasilimali, viwanja. Mashamba, vitu vyote muhimu?

Chukua kadi ya CCM. anza uchawa, utabaki salama. Biashara zako zitafagiliwa.
Toka leo uanze kuibia watu kama fasta huvishwi tairi.
 
Salamu wakuu.

Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu.

Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too sad.

KiJana anapambana kujiajili. Anajinyima kula sometimes anakula.hata mlo mara mbili ili awekeze katika mambo yake.

Ila serikali yetu imekua ni sehemu moja wapo ya kurudisha maendeleo ya vijana hapa nchini...

Hivi kweli mnakuta mtu anapambana na kibiashara chake ana unga unga lakini from no where wanakuja watu wanajiita sijui nani wanataka vibari vya nini sjui...

Alafu wanakutoza pesa ambayo ukipiga maesabu mtaji wa kazi yako hata haufukii faini ya pesa waliyokutoza..

Sasa nauliza hivi tukiingia mtaani na kuanza kuiba , kukaba au kufanya mambo ya hovyo mtatufanya nini...

Kuna mambo mengine yanafanyika yanaumiza sana sana
Huku ni kurudisha a nyuma kimaendeleo wakuu

Nimeumia sana mpaka sasa pesa niliyoitafuta zaidi ya miaka mitatu imekuja kutolewa ndani ya dakika 5 tuu...
Inauma sana wakuu...
Mkuu fanya biashara za magendo ndio njia pekee ya kutoka, Viongozi wenyewe wanafanya magendo kwa kutuibia pesa zetu za umma.
 
Pole kijana,yepi yamekukuta?wana laana hawa watu,ila mungu anawatia adabu siunaona wanavyopukutika kila uchao,wengine wana mauvimbe katikati ya matundu yao ya haja
Manina zao yaani wale mi nikiwekwa nao chamber moja mi na wao tuu tu dael physical yule mzee namtoa utumbo
 
Mkuu fanya biashara za magendo ndio njia pekee ya kutoka, Viongozi wenyewe wanafanya magendo kwa kutuibia pesa zetu za umma.
I will mkuu..
Tunapielekea..
Mara kumi nishikwe na kesi ngumu ila sio mi napelekwa jela et kwa kesi ya sijui kibari kimefanyaje daaah
 
huana haja ya kuiba kuona wovu, wala kutamani au kudokoa mali ya wenyewe, watakupoteza bure tu

kilimo, ufugaji na biashara ni ajira za wazi, mtatiji ikiwa ni uthubutu, nguvu na bidii yako tu unatoboa maisha kiulaini sana :NoGodNo:
Shetani katika ubora wako.
Agent Green Guard.
 
Hizi biashara za kijinga wachie wanyonge, fanya biashara ngumu
Haya mambo yanaanzaga hvi hvi tuu..
Nakumbuka mama alinambia ka vipi niende Mozambique tuu huku bongo jau..

Sasa huko mi nikienda na kichwa changu hiki naweza fanya makubwa.
kutafta for family is better no matter what mkuu ..

Nafikilia hili
 
Salamu wakuu.

Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu.

Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too sad.

KiJana anapambana kujiajili. Anajinyima kula sometimes anakula.hata mlo mara mbili ili awekeze katika mambo yake.

Ila serikali yetu imekua ni sehemu moja wapo ya kurudisha maendeleo ya vijana hapa nchini...

Hivi kweli mnakuta mtu anapambana na kibiashara chake ana unga unga lakini from no where wanakuja watu wanajiita sijui nani wanataka vibari vya nini sjui...

Alafu wanakutoza pesa ambayo ukipiga maesabu mtaji wa kazi yako hata haufukii faini ya pesa waliyokutoza..

Sasa nauliza hivi tukiingia mtaani na kuanza kuiba , kukaba au kufanya mambo ya hovyo mtatufanya nini...

Kuna mambo mengine yanafanyika yanaumiza sana sana
Huku ni kurudisha a nyuma kimaendeleo wakuu

Nimeumia sana mpaka sasa pesa niliyoitafuta zaidi ya miaka mitatu imekuja kutolewa ndani ya dakika 5 tuu...
Inauma sana wakuu...
Ukiingia mtaani kuiba, kukaba na kufanya mambo ya ovyo sawa, ila omba wananchi unaowaibia, kuwakaba na kuwafanyia mambo ya ovyo wasikubananishe. Ila mimi naomba sana wakubananishe tena wakiwa na mafuta ya petroli na kiberiti! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom