Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
walikuja kutaka nini eneo lako la kazi na akina nani hasa..Mkuu mi ni kijana ambaye najihusisha na huduma za stationary na movies
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walikuja kutaka nini eneo lako la kazi na akina nani hasa..Mkuu mi ni kijana ambaye najihusisha na huduma za stationary na movies
Sawa mkuu..Dhaifu ni watu walioshindiwa kupambania haki zao za msingi za kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Watu wanaojiita kama basata mkuuwalikuja kutaka nini eneo lako la kazi na akina nani hasa..
Au sio... atatoboa kiulaini kabisa 😊😊.huana haja ya kuiba kuona wovu, wala kutamani au kudokoa mali ya wenyewe, watakupoteza bure tu
kilimo, ufugaji na biashara ni ajira za wazi, mtatiji ikiwa ni uthubutu, nguvu na bidii yako tu unatoboa maisha kiulaini sana![]()
upo darWatu wanaojiita kama basata mkuu
Pole sana mkuu.Salamu wakuu.
Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu.
Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too sad.
KiJana anapambana kujiajili. Anajinyima kula sometimes anakula.hata mlo mara mbili ili awekeze katika mambo yake.
Ila serikali yetu imekua ni sehemu moja wapo ya kurudisha maendeleo ya vijana hapa nchini...
Hivi kweli mnakuta mtu anapambana na kibiashara chake ana unga unga lakini from no where wanakuja watu wanajiita sijui nani wanataka vibari vya nini sjui...
Alafu wanakutoza pesa ambayo ukipiga maesabu mtaji wa kazi yako hata haufukii faini ya pesa waliyokutoza..
Sasa nauliza hivi tukiingia mtaani na kuanza kuiba , kukaba au kufanya mambo ya hovyo mtatufanya nini...
Kuna mambo mengine yanafanyika yanaumiza sana sana
Huku ni kurudisha a nyuma kimaendeleo wakuu
Nimeumia sana mpaka sasa pesa niliyoitafuta zaidi ya miaka mitatu imekuja kutolewa ndani ya dakika 5 tuu...
Inauma sana wakuu...
Ndio mkuu...upo dar
Nishapoa mkuuPole sana mkuu.
hizo ndiyo issue yapaswa watu makini kujadiliana na kutafuta na kupendekeza namna bora ya kulainisha ama kuondoa kabisa vikwazo hivyo ili biashara ifanyike vizuri na faida na mabadiliko yaonekane kwenye maisha ya wahusika na watejaYaah lakini hapo hapo ndo nakutana na vipingamizi vya kutaka nirudi nyuma

Daaah acha tuu sijui nifanyaje anhizo ndiyo issue yapaswa watu makini kujadiliana na kutafuta na kupendekeza namna bora ya kulainisha ama kuondoa kabisa vikwazo hivyo ili biashara ifanyike vizuri na faida na mabadiliko yaonekane kwenye maisha ya wahusika na wateja![]()
Huyu ni jobless tu baada ya kuondolewa kwenye baraza la mawaziri anatuchora tu 😭😭😭Ulilima nini na ulipata nini nionavyo wewe upo tu humu mchana usiku asubuhi jioni,u chawa na wewe wewe na chawa .Na kwa hali hiyo kilimo unakisingiziatu.
Umeelewa au umelewahuana haja ya kuiba kuona wovu, wala kutamani au kudokoa mali ya wenyewe, watakupoteza bure tu
kilimo, ufugaji na biashara ni ajira za wazi, mtatiji ikiwa ni uthubutu, nguvu na bidii yako tu unatoboa maisha kiulaini sana![]()
Haha , kivipi mkuu. Mbona Rais anauza rasilimali za nchi, anachagua mawaziri, wabunge wabovu ili apige pesa.Na ukisema uanze kuiba Mungu anakutumia kama mfano ili kuonya wengine waache kuiba.
I feel your pain Bro, stay calm malipo ni hapa hapa duniani. Kuna mambo ya kiwaki sana hapa nchini na yanasababishwa na hawa wanaojiita maafisa wa serikali. Yaani utu hawana kabisaAnything can HAPPEN...
Unapoona an angel ame turn kuwa monster si jambo la kushangaa....
Chuki zinaanza hivo hivi...
End of day......
Pole kijana,yepi yamekukuta?wana laana hawa watu,ila mungu anawatia adabu siunaona wanavyopukutika kila uchao,wengine wana mauvimbe katikati ya matundu yao ya hajaSalamu wakuu.
Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu.
Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too sad.
KiJana anapambana kujiajili. Anajinyima kula sometimes anakula.hata mlo mara mbili ili awekeze katika mambo yake.
Ila serikali yetu imekua ni sehemu moja wapo ya kurudisha maendeleo ya vijana hapa nchini...
Hivi kweli mnakuta mtu anapambana na kibiashara chake ana unga unga lakini from no where wanakuja watu wanajiita sijui nani wanataka vibari vya nini sjui...
Alafu wanakutoza pesa ambayo ukipiga maesabu mtaji wa kazi yako hata haufukii faini ya pesa waliyokutoza..
Sasa nauliza hivi tukiingia mtaani na kuanza kuiba , kukaba au kufanya mambo ya hovyo mtatufanya nini...
Kuna mambo mengine yanafanyika yanaumiza sana sana
Huku ni kurudisha a nyuma kimaendeleo wakuu
Nimeumia sana mpaka sasa pesa niliyoitafuta zaidi ya miaka mitatu imekuja kutolewa ndani ya dakika 5 tuu...
Inauma sana wakuu...
Relax gentleman 🐒Umeelewa au umelewa