Serikali mshugulikieni kabendera akione Cha moto Ili iwe fundisho Kwa watu wanaotafuta kiki

Tanzania Kwa wajinga kama hao hamnaga sheria
Tanzania wajinga wapo kwenye ofisi za umma, na wapumbavu wapo mitandaoni wakitetea upumbavu wowote unaofanywa na utakaofanywa na watawala, NB-umeandika thread ya kipumbavu kabisa.
 
Tanzania wajinga wapo kwenye ofisi za umma, na wapumbavu wapo mitandaoni wakitetea upumbavu wowote unaofanywa na utakaofanywa na watawala, NB-umeandika thread ya kipumbavu kabisa.
Mpumbavu ni kabendera anaetafuta kiki Kwa jina la shujaa
 
Watu hawatakiwi kuendeshwa na hisia ndio maana kuna mahakama na wanasheria..
Nchi inafaa iongozwe na sheria sio hisia
Uko very right

I wish chakademus wangepunguza hisia na jazba
 
Huyo mjinga mmoja tu anaetafuta kiki ataipata
Fikiria kama kuna mtu naye anawaza kukufanyia wewe hivyo unavyotaka afanyiwe kabendera, itajisikiaje? Tuishi kwa kufuata sheria na taratibu ili kuepuka mihemuko ya aina hii. Leo hii wewe ndugu yako akipotea bila kujua tatizo utajisikiaje au utamshughulikia atakayetoa sababu za kupotea kwake?
 
Unajisikiaje mtu akitafuta kiki Kwa marehemu ambae hamjibu
 
Matatizo ya kushughulikia ni mengi sana huduma za maji, umeme , miundombinu , haya mambo ya kushughulikia watu ni udhaifu mkubwa mno
 
Jamani tuendelee na kazi nyingine,ukijadiliana na watu kama hawa utapasua kichwa chako bure,mtu anaulizwa swali na ye anauliza swali badala yakujibu kwanza alichoulizwa.
Jibu swali wewe umejuaje kama kafa
 
Unajua kabendera anaishi Wapi now??
 
Kwani wewe unajua lipi?
 
Huwezi kusema ashugulikiwe na kama ni kweli na ana ushahidi si utaonekana wewe ndo mjinga! Magufuli hakuwa malaika! Usimmwamini mtu kwa lugha yake! Yafanyikao sirini ni Mungu ndiye ajuaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…