Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Yeah, wajinga kama mimi tuko tayari kukinunua. Kesho naweka order yangu Amazon.Kitabu halina solo watapigwa wajinga tu kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, wajinga kama mimi tuko tayari kukinunua. Kesho naweka order yangu Amazon.Kitabu halina solo watapigwa wajinga tu kama wewe
Huna akiliHuyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Anaandika UsokaWewe una chuki zako binafsi zilizotokana na kutotii mamlaka.
Magufuli aliwapenda watanzania. Magufuli alikuwa mzalendo kweli wa nchi ya Tanzania.
Nadhani Magufuli alikuwa anaumwa moyo toka hata kabla hajawa rais, alikufa kutokana na maradhi . Acheni kuzusha uongo.
Kwa hiyo na huko kilimanjaro ambako ndo mkoa uliioongoza watu kufa wengi kipindi cha janga la corona inamaanisha wanakilimanjaro wanaoongozwa na mbowe waliwatendea madhambi gani watanzania ?
Mkuu low IQ ni pamoja na kuamua kuja na maelezo mepesi ya vitisho juu ya tuhuma nzito kama hizi. Nadhani kwa kuwa unamuita mzushi ungetumia njia rasmi ili atiwe nguvuni kwa ushahidi utakao utoa wewe binafsi katika vyombo husika.Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Hakuna mtu ana abudu mzimu . Kila binadamu ana madhaifu yake . Magufuli pamoja na kwamba alikuwa ni rais lakini ni binadamu pia. Mungu mwenyewe anasamehe , kwa nini wewe usimsamehe Magufuli kama kuna mabaya aliyokutendea. Kuishi kwa kinyongo dhidi ya Magufuli hakumfifishi Magufuli zaidi ni kwamba unahatarisha afya yako . Mwache Magufuli apumzike kwa amani.Anaandika Usoka
"Kuna watu wanaabudu mzimu mzee Magu.Wanaona alikuwa Mungu japo sikatai kwao anaweza akawa mungu.Ila hili la kumtetea bila kujua udhaifu wake linatia shaka sana juu ya huko tuendako.Hivi mliwahi kujiuliza kwa nini familia haiongeaji!!.Pia hii ni kufuru kwamba Mungu hana watu wengine zaidi yake.Kama ingekuwa hivyo Mungu angemwacha,na ni vyema kujua akili za Mungu hazichunguziki,yeye ni zaidi ya viumbe vyote"
Subiri siku utekwe, ubambikiwe kesi huku mama yako mgonjwa aliye tegemezi kwako akikosa msaada wa huduma muhimu ya afya yake hadi kufariki sababu ya akaunti zako za benki kuzuiliwa.Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
jana nimekunywa supu ya MAKASA YA MUNGU aka,supu ya KENGE!!!Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Vilaza bhana sasa Lissu anahusika vp hapoMuda ndo utamshughulikia hata Lisu alijiona mjanja sana kutumika na vibaraka kumchafua JPM lakini laana inamtafuna na Sasa anashughulikiwa yeye tena baadhi ya wale waliomtuma sijajua na mabeberu wakimtumpa itakuaje
Hiyo ni argument ya KIPUMBAVU per se. Tunapomkosoa Dikteta kwa kuonesha maovu yake lengo ni kutaka viongozi wengine watakaokuja wasifanye udhalimu kama huo.Hakuna mtu ana abudu mzimu . Kila binadamu ana madhaifu yake . Magufuli pamoja na kwamba alikuwa ni rais lakini ni binadamu pia. Mungu mwenyewe anasamehe , kwa nini wewe usimsamehe Magufuli kama kuna mabaya aliyokutendea. Kuishi kwa kinyongo dhidi ya Magufuli hakumfifishi Magufuli zaidi ni kwamba unahatarisha afya yako . Mwache Magufuli apumzike kwa amani.
You and Kibendera cannot embrace God's forgiveness if you are so busy clinging to past wounds and nursing old grudges.
Mawazo ya kubana na kutisha watu wanakuwanayo viongozi baradhuri,wasio na uwezo na waoga tu. Siyo hivyo kwa Tz.Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Hata ingekuwepo unafikir punguani kama ww unaweza kuiona?Picha hamna kwasababu ni stori za kutunga tu Ili mkono uende kinywani
Kwahiyo ungependa afanywe nini?Huyo Hana haha ya kupelekwa mahakamani ni wa kushugulikiwa tu Ili iwe funzo Kwa viherehere
KabisaMawazo ya kubana na kutisha watu wanakuwanayo viongozi baradhuri,wasio na uwezo na waoga tu. Siyo hivyo kwa Tz.
AsingeionaHata ingekuwepo unafikir punguani kama ww unaweza kuiona?
Mkuu hao mabeberu huwa wanawatumaje watu. Maana hata kipindi cha JPM nilikuwa nasikia anawatesi wapinzani eti ametumwa. Je hukaa mezani na kutumwa. Wanatumwa tumwaje mi sielewagi eti.Muda ndo utamshughulikia hata Lisu alijiona mjanja sana kutumika na vibaraka kumchafua JPM lakini laana inamtafuna na Sasa anashughulikiwa yeye tena baadhi ya wale waliomtuma sijajua na mabeberu wakimtumpa itakuaje
Mkuu kama unaamini kaongopa tuwekee hapa ukweli unaoujua, punguza mihemuko weka hapa ukweli wako tuende sawa.Ukweli Gani kuandika hata Mimi naweza kuamka asubuhi nikaandika hivi unaakili timamu kweli alete picha za tukio ndio tutaamini ila sio maandishi