Serikali msihangaike na madai ya wafanyabiashara ambayo hayatekelezeki. Njaa itawarudisha sokoni

Nani anafanya arrogance? Kwani lazima Serikali ifanye unachotaka wewe? Itakuwa ni Nchi au kioja?
 
Hawa waliosema fani ya kusifia viongozi ili wale huwa wanaishia viongozi wakiishia. They dont live long to see the other side of this struggle which is beneficial to all of us
Na ukihoji inawezekana vipi wanasiasa wana ukwasi usioakisi uhalisia wa mshahara jibu ni hawategemei siasa wana biashara zao.
 
Kama wewe ndie uliewapa mitaji Basi watarudi sokoni
 
Na ukihoji inawezekana vipi wanasiasa wana ukwasi usioakisi uhalisia wa mshahara jibu ni hawategemei siasa wana biashara zao.
Kwanza wafanyabiashara ndionawahonga Wanasiasa Ili msilipe Kodi ,Sasa wakichukua Kwa watu kadhaa wataacha kuwa na ukwasi? Lipeni Kodi acheni janja janja
 
kazi kulamba viatu kwa kusifia mitandaoni huku wenzio sasahivi wanapanda LC 300 wanaenda lunch, akili kama hizi za washinda njaa ndo zinafanya vijana wa hii nchi tuonekane hamnazo
 
Hawaj
Hawajakataa kulopa kodi,bali kodi zipungue,wewe jiulize sukari na diesel zina bei kubwa kuliko Zambia,Rwanda na Malawi?
 
Kwanza wafanyabiashara ndionawahonga Wanasiasa Ili msilipe Kodi ,Sasa wakichukua Kwa watu kadhaa wataacha kuwa na ukwasi? Lipeni Kodi acheni janja janja
Kodi kama hailipwi huku kuvunja rekodi kunapotangazwa kunatokana na nini?
 
Kodi kama hailipwi huku kuvunja rekodi kunapotangazwa kunatokana na nini?
Kwa idadi yetu inatakiwa Kodi iwe walau 30% ya GDP Sasa tuko chini ya 20% Kwa sababu ya ukwepaji Kodi.
 
Kwa idadi yetu inatakiwa Kodi iwe walau 30% ya GDP Sasa tuko chini ya 20% Kwa sababu ya ukwepaji Kodi.
Hiyo chini ya 20% inalipwa na kina nani?, mishahara ya private sector inatoka kwenye faida yao na ndipo mnapata kodi ya mishahara private sector, Faida za mabank kupitia Riba zinatoka kwenye faida yao na ndipo mnapopata kodi za mabank, Mtumishi mfano wa TRA ana offer nini? Embu tazama nafasi yao katika uhalisia utawaheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…