Serikali msijisahau katika hili la daktari kumtibia mtu wa jinsia tofauti na yeye

Ktk uhalisia nikinyume chake wanawake wengi wanatoa ushuhuda kuwa hata wakati wa kujifungua wakihudumiwa na mwanaume wanafarijiwa sana ila si mwanamke ambao huwasema badala ya kuwafariji. Hata Mimi nikihudumiwa na ke huwanafarika zaidi huruma na pole zinakuwa nyingi
 
gynecologist wengi ni wanaume na wakina mama wengi wanapenda kuhudumiwa nao... hilo usemalo likifwatwa nahisi tutapata changamoto sana
 
Upuuzi, kwahiyo mitaala nayo ibadilike, Dr wa kiume ajifunze kumtibu mgonjwa wa kiume tu na Dr wa kike ajifunze kumtibu mwanamke tu? Mbona mnazihusudu sana hizo nyuchi, na ukute hata bikra hujaitoa wew, umeikuta ipo wazi kbs
 
Mkuu Dr ukiwa mafunzoni unajifunza kutibu wagonjwa wa jinsia zote, acha wivu usio na maana boss... alafu nikuambia tu hao wake zenu wanapenda zaid kutibiwa na Dr wa kiume kuliko wa kike, ndo maana Daktari bingwa wa wanawake wa kiume ana wateja wengi kuliko wa kike
 
Ila kwenye swala kujifungua mm wanawake weng ambao nimeisha sikia shuhuda zao wanasema bora kuzalishwa na mwanaume kuliko mwanamke mwenzake. Tatzo ni kuwa jinsi tofaut na yako ikikuhudimia mara nyingi inakuwa na ukarim tofaut na ukihudumiwa na doctor wa jinsia kama yako.


Ila kiukwel sometimes sio sawa sema ndio hvyo hamna namna.
 
Kuwepo nesi wa kike pembeni bado sio ishu.

Mbona polisi wa kike anapomkagua mtuhumiwa wa kike haitakiwi polisi wa kiume awepo bali huwa ukaguzi unafanyikwa wakiwa wawili tu ?
Kuwepo wa kike na kiume ni Sheria kabisa na Wala sio tatizo pia unaficha nini huko ndani kisichojulikana, na hyo ya police mbona hukagua watu hadharani wakiwa wanaona nadhani hujawahi kukutana na Hawa mapolice wetu
 
Mkuu sio kweli kwamba hospitali zote hufanya hivyo.

Lakini hata kama wanafanya bado sio suluhisho zuri kwa jambo hili
Hyo ni Sheria ya wizara inavotaka na inaonyesha wewe hujawahi enda hospital ukajua treatment wanayopata wanawake, kwanza wewe kwanini uumie kuhusu wanawake wakati wakiwa labor huwa uchi hawajali, bado kupimwa njia kwa vidole, kwa mwanamke aliyezaa kuchunguliwa sio issue kabisa, na ukiwa hospital Mambo ya aibu tupa kule wewe pata tiba ukiwa mgonjwa serious huwazi Cha jinsia ya Dr
 
Una complicate maisha tu...wenzio hata hawaon hyo shida...tena wengne wananyanduana hukohuko
 
Hakuna kitu kinafikirosha kama ile kitu "kupimwa njia"...unampeleka wife unakutana na Dr mara unaambiwa upishe mara moja.Daaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi musiwe mnapeleka wake zenu hospital, unaumia mkeo kupimwa tena upapa wake unakuwa mchafu dr kashaona ma milion ya k, hata hawazi hicho unachofikiria
 
Kama mteja/mgonjwa wa kike wa hao madaktari, Basi nachagua kuhudumiwa na daktari mwanaume, unakuwa mikono salama zaidi kuliko hizo za kujiita madaktari wa kike, kifo nje nje Yani sitaki kuwasikia kabisaaa
Mimi mwenyewe Bora Dr wakiume najiskia amani kabisa
 
Aisee mi napenda kuhudumiwa dr wa kike....

Nakumbuka mwaka 2010 nilienda hospitali moja kkoo nko na ishu flani sehemu nyeti kavaa gloves zake akawa ananikagua mnara ukaanza kusoma kwa mbali akaniambia acha umalaya wewe[emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣
 
Mi mara tatu ishatokea nakataa kutibiwa na mdada wa umri wa chini nikaomba bora mmama
 
Kama unaumwa na unahitaji tiba hutajali jinsi ya daktari au nesi anayekutibu.
 
Aiiiiiise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…