Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa sijaona signature yako!! kumbe tatizo ni mimi. Nakushauri ikikupendeza usipenyeshe tamaduni ulizo karirishwa dhidi ya jinsia nyingine, waache waamue wao! wana midomo???Bado hoja iko pale pale kuwa tuzalishe madaktari wengi wa kike ili kuoumguza tatizo
Wapo wanaotaka wanakwamishwa na sababu mbalimbali.km hawataki kusomea hayo??
Ili waamue lazima wawepo na hao madaktari wa kike,hapo ndo uamuzi utakuwepo.waache waamue wao! wana midomo???
Kma umegraduate Univer. yeyote unajua idadi ya wanafunzi Madaktari ke'' waliopo kwenye vyuo vikuu vya tiba hata Leo hii, ni wengi kuliko me''Wapo wanaotaka wanakwamishwa na sababu mbalimbali.
Ili waamue lazima wawepo na hao madaktari wa kike,hapo ndo uamuzi utakuwepo.
Yani umepika ugali tu alafu umemuweka mtu na njaa unamuambia achague chakula anachotaka alafu kuna ugali tu,lazima acjague huo ugali uliokuwepo
Ili waachiwe waamue basi na hao madaktari wa kike wawepo kwa wingi alafu tuone watachagua wapi.
Sasa hivi hata wakichagua bado wanaume ni wengi,na huko sio kuchagua,hata mimi naumwa naenda spitali nakuta daktari wa kike nachagua nini sasa zaidi ya kutibiwa na huyo huyo mwanamke ?
Hatuangalii nani anaongoza idara mkuu.Kma umegraduate Univer. yeyote unajua idadi ya wanafunzi Madaktari ke'' waliopo kwenye vyuo vikuu vya tiba hata Leo hii, ni wengi kuliko me''
TMK Hospital Asha Mahita ndo mkuu alifanya vizuri pale kabla hajamwachia Malima,
Mganga Mkuu wa wilaya Sylvia Mamkwe demu!
Bado wakuu wa Idara wote wanawake, TMK OBGY dr Khadija Muarabu.
bado Mganga Mkuu mkoa ni Mdada hapo ni Bongo tu unataka idadi ipi?? uridhike??
Dr Beatrice mganga mkuu Dharula DSM me wanaongozwa na Ke'' mbona hawaja lalamika?
Sio vyote,pengine vichache viko hivyo na vingi vina idadi ndogo.Kma umegraduate Univer. yeyote unajua idadi ya wanafunzi Madaktari ke'' waliopo kwenye vyuo vikuu vya tiba hata Leo hii, ni wengi kuliko me''
Shida wewe umeleta dini kwenye mambo makubwa kama haya. Hebu muulize mkeo au dada yako angependa kutibiwa na daktari wa kike au kiume?Wakuu naomba niipongeze serikali kwa jitihada zake inazofanya katika kuhakikisha ile heshima ya jinsia zote inalindwa.
Tukiangalia katika majeshi hasa jeshi la polisi utakuta kuna askari wa kike ambao kama itatokea muhalifu ni mwanamke basi askari yule hakuajiriwa kwa bahati mbaya bali hiyo itakuwa ni kazi yake kumpekua sehemu za mwili wake.
Hali kadhaalika mwanaume atapekuliwa na askari wa kiume katika kulinda heshima.
Hata mashuleni kuna waalimu wa kike kibao ambao wao watashughulikia masuala mbali mbali ya wanafunzi wa kike.
Mbona sioni suala hili la kuheshimu jinsia na kulinda heshima ya mtu likifanyika na kusisitizwa katika kada ya afya ?
Kwanini isiwe kosa daktari wa kumtibia mgonjwa wa jinsia tofauti na yeye ikiwa katika hospitali hiyo ama maeneo hayo kuna daktari mwenye jinsia sawa na mgonjwa ?
Kama ambavyo polisi haruhusiwi kumfanyia upekuzi wa mwili mtu wa jinsia isiyekuwa yake wakati wa jinsia yake wakiwa pale hii ni kosa,vipi isiwe kosa katika hii kada ya afya ?
Yani utakuta hospitali kuna madaktari wa jinsia nyingi lskini mwanamke anatibiwa na mwanaume au kinyume chake.
Serikali isomeshe watoto wengi wa kike ili kuja kuepusha hii aibu,ipunguze vigezo vya kusomea udaktari kwa mwanamke hasa kwa mambo ya kawaida haya ambayo hayahitaji kujitoa sana wanawake wasomeshwe waje kuzalisha wanawake wenzao.
Chumba cha kuzalisha kuna madaktari wa kike watano na wa kiume mmoja,huyu wa kiume anatafuta nini,kwa nini isiwe kosa kisheria?
Haya ni maoni yako kwa sababu sijataja dini sehemu yeyote.Shida wewe umeleta dini kwenye mambo makubwa kama haya. Hebu muulize mkeo au dada yako angependa kutibiwa na daktari wa kike au kiume?
Wingi wa kesi za madaktari wa kiume kuwaingilia wagonjwa wa kike,zinatosha kutenganisha matibabu kwa jinsia. Muda Sasa, wa kuwa na huduma za afya kwa mujibu wa jinsia Kama ambavyo wodi zao zimetofautishwaWakuu naomba niipongeze serikali kwa jitihada zake inazofanya katika kuhakikisha ile heshima ya jinsia zote inalindwa.
Tukiangalia katika majeshi hasa jeshi la polisi utakuta kuna askari wa kike ambao kama itatokea muhalifu ni mwanamke basi askari yule hakuajiriwa kwa bahati mbaya bali hiyo itakuwa ni kazi yake kumpekua sehemu za mwili wake.
Hali kadhaalika mwanaume atapekuliwa na askari wa kiume katika kulinda heshima.
Hata mashuleni kuna waalimu wa kike kibao ambao wao watashughulikia masuala mbali mbali ya wanafunzi wa kike.
Mbona sioni suala hili la kuheshimu jinsia na kulinda heshima ya mtu likifanyika na kusisitizwa katika kada ya afya ?
Kwanini isiwe kosa daktari wa kumtibia mgonjwa wa jinsia tofauti na yeye ikiwa katika hospitali hiyo ama maeneo hayo kuna daktari mwenye jinsia sawa na mgonjwa ?
Kama ambavyo polisi haruhusiwi kumfanyia upekuzi wa mwili mtu wa jinsia isiyekuwa yake wakati wa jinsia yake wakiwa pale hii ni kosa,vipi isiwe kosa katika hii kada ya afya ?
Yani utakuta hospitali kuna madaktari wa jinsia nyingi lskini mwanamke anatibiwa na mwanaume au kinyume chake.
Serikali isomeshe watoto wengi wa kike ili kuja kuepusha hii aibu,ipunguze vigezo vya kusomea udaktari kwa mwanamke hasa kwa mambo ya kawaida haya ambayo hayahitaji kujitoa sana wanawake wasomeshwe waje kuzalisha wanawake wenzao.
Chumba cha kuzalisha kuna madaktari wa kike watano na wa kiume mmoja,huyu wa kiume anatafuta nini,kwa nini isiwe kosa kisheria?
Sasa Daktari amespecialize kwenye mambo ya uzazi kwa wanawakeWakuu naomba niipongeze serikali kwa jitihada zake inazofanya katika kuhakikisha ile heshima ya jinsia zote inalindwa.
Tukiangalia katika majeshi hasa jeshi la polisi utakuta kuna askari wa kike ambao kama itatokea muhalifu ni mwanamke basi askari yule hakuajiriwa kwa bahati mbaya bali hiyo itakuwa ni kazi yake kumpekua sehemu za mwili wake.
Hali kadhaalika mwanaume atapekuliwa na askari wa kiume katika kulinda heshima.
Hata mashuleni kuna waalimu wa kike kibao ambao wao watashughulikia masuala mbali mbali ya wanafunzi wa kike.
Mbona sioni suala hili la kuheshimu jinsia na kulinda heshima ya mtu likifanyika na kusisitizwa katika kada ya afya ?
Kwanini isiwe kosa daktari wa kumtibia mgonjwa wa jinsia tofauti na yeye ikiwa katika hospitali hiyo ama maeneo hayo kuna daktari mwenye jinsia sawa na mgonjwa ?
Kama ambavyo polisi haruhusiwi kumfanyia upekuzi wa mwili mtu wa jinsia isiyekuwa yake wakati wa jinsia yake wakiwa pale hii ni kosa,vipi isiwe kosa katika hii kada ya afya ?
Yani utakuta hospitali kuna madaktari wa jinsia nyingi lskini mwanamke anatibiwa na mwanaume au kinyume chake.
Serikali isomeshe watoto wengi wa kike ili kuja kuepusha hii aibu,ipunguze vigezo vya kusomea udaktari kwa mwanamke hasa kwa mambo ya kawaida haya ambayo hayahitaji kujitoa sana wanawake wasomeshwe waje kuzalisha wanawake wenzao.
Chumba cha kuzalisha kuna madaktari wa kike watano na wa kiume mmoja,huyu wa kiume anatafuta nini,kwa nini isiwe kosa kisheria?
Allahu Akbar!!!!!!!!!Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiir.
Achana na mila kitaaluma hairuhusiwi daktari kujitibu mwenywe au kumtibu Mtu wake wa karibu bila ku consult daktari mwenzake. Kuna kitu inaitwa conflict of intrest.Hivi umeelewa hoja ya mtoa mada?
Mtoa mada analalamika mgonjwa kutibiwa na dk asiye wa jinsia wa jinsia yake wewe unasema sheria zipo zinataka kama mgonjwa ni ke na dr ni me basi awepo na dr/nesi wa kike,sasa huyo nesi wa kike atazuia vp dr wa kiume kumchungulia mgonjwa?
Hio sheria kama ipo basi itasaidia unyanyasaji wakijinsia ila mambo mengine kama kuchungulia hio sheria itasaidia vipi?
Nikuulize swali,hivi endapo ikitokea mama wa dr wa kiume ni mjamzito je huyu dr wa kiume anaweza kumzalisha mama yake chini ya uwepo wa dr/nesi wa kike?
Kwavyovyote dr ataomba ma dr wenzake wamzalishe mama yake kwani kwa utamaduni wakiafrika sio heshima.
Sasa inakiwaje vi dr vidogo vinapata ujasiri wakuchungulia wamama wenye rika sawa na mama zao?
Kama hiyo avatar hapo juu ni wewe,mashallahWewe hujaumwa
Hha hapana mkuu.Allahu Akbar!!!!!!!!!
Mtoa mada isije ikawa ni wale watu wanataka wake zao wazalishwe na madaktari wa kike lkn binti yake/mkewe kusoma na kufanya kazi ni marfuku na wanaamini mwanamke sehemu salama kwake ni nyumbani.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kinachouma mama mzazi anaenda hospitali anakutana na daktari ambaye ana umri kama wa mimi mwanae alafu madaktari wa kike wapo kabisa.
Kuna mama wa kipemba wakati anajifungua alitaka kuja daktari wa kiume, basi mama mpemba akamuuliza "uko radhi kuchungulia tv ya mamayo wee "?
Daktari akaenda mbio
Mkuu ndo wana jf tulivyo na nimeshaona tatizo hilo ndio maana siwi kimya kujibu kwa sababu ya kutetra ninachosema.Kuna watu wanashambulia utadhani jamaa amesema kwamba mgonjwa anaona aibu wakati jamaa kaweka wazi kabisa hoja zake
Hili ni pendekezo au wazo tu mshkaji ametoa kwamba kwanini na kwenye tiba wasiweke utaratibu wa kuwa asitibiwe mgonjwa na tabibu wa jinsi tofauti (tena akaongezea kabisa "kama kuna tabibu wa jinsi yake eneo husika") ili kulinda heshima ya utu wa mgonjwa kama ilivyo kwenye polisi na kwingineko?
Sasa wewe unakurupuka tu ooh hujaumwa wewe mara mwingine ooh ugonjwa hauna aibu... sasa kwani kuna sehemu hapo kaandika kuwa anashauri hivyo kwakuwa mgonjwa anaona aibu?