Mbeba Lawama
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 1,059
- 3,504
bado ujakutana na ka nesi ka fild kana kuwekea catheta ule mrija wa mkojo uku anakuangalia machoni utajuta kuumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]bado ujakutana na ka nesi ka fild kana kuwekea catheta ule mrija wa mkojo uku anakuangalia machoni utajuta kuumwa
Mimi mwenyewe Bora Dr wakiume najiskia amani kabisa
Si kweli kumtunuku mtu ni uamuzi tu mbona mitaani watu wanatunukiana kikawaida bila shida yoyote ile.Nina wasiwasi wanawake wa hivi wakishapona, siku nyingine wakikutana na huyo dokta katika mazingira tofauti hawashindwi kumtunuku huyo dokta.
Lakini nasikia wakati mnawapima njia huwa mnawachezea na vidoleKwanza kabisa nakusihi uache wivu.
Tanzania Kuna madaktari wa kiume wengi kuliko wanawake. Lakini pia Tanzania wanao attend hospital wengi Ni wanawake.
Pia Kuna manesi wengi to wakiume waliosomea kuzalisha pale labour.
Vumilia tu Kaka, kuona si kuchukua Wala kutumia.
Vidole ndio vinapima maana ndio vina feelings. Nikuambie kitu Ile sehemu Ina sura mbaya sana na Kuna zingine hazifai hata kugusa na kijiti sema tu Ni kazi.Lakini nasikia wakati mnawapima njia huwa mnawachezea na vidole
Wanaume wanajua kupet pet sababu wanaweka akiba ya maneno, ukikutana nae siku nyingine anakukumbusha, dah we Dada uko bomba siku ile nakuzalisha nilkuwa naombea tuje tukutane nikukumbushe! NI utani tuu.Wanawake tunapenda ma Dr na na nurse wa kiume, ukikutana na mwanamke ni roho mbaya tu hawajui kupet pet
Ndo mdudu gani huyu?Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiir.
Kha!kha!kha!Kinachouma mama mzazi anaenda hospitali anakutana na daktari ambaye ana umri kama wa mimi mwanae alafu madaktari wa kike wapo kabisa.
Kuna mama wa kipemba wakati anajifungua alitaka kuja daktari wa kiume, basi mama mpemba akamuuliza "uko radhi kuchungulia tv ya mamayo wee "?
Daktari akaenda mbio
Bila shaka wewe utakuwa ni daktari au muuguzi.Kwanza kabisa nakusihi uache wivu.
Tanzania Kuna madaktari wa kiume wengi kuliko wanawake. Lakini pia Tanzania wanao attend hospital wengi Ni wanawake.
Pia Kuna manesi wengi to wakiume waliosomea kuzalisha pale labour.
Vumilia tu Kaka, kuona si kuchukua Wala kutumia.
Teh!teh!teh!,Umeifanya siku yangu kuwa ya nzuri ya full kicheko.Aisee mi napenda kuhudumiwa dr wa kike....
Nakumbuka mwaka 2010 nilienda hospitali moja kkoo nko na ishu flani sehemu nyeti kavaa gloves zake akawa ananikagua mnara ukaanza kusoma kwa mbali akaniambia acha umalaya wewe[emoji23][emoji23]
Sauti iongezwe.Ndo mdudu gani huyu?
Umeandika kiujinga Sana, eti ma Dr ndo wanapendwa na wamama siyo ma nurse!Dr ndo wanaongoza kupendwa na wamama wanaokuja kujifungua .hawapendi manurse coz wana lalama hawana huruma, wanawafinya na mengineyo ambayo sina ushahidi kama kesi ya mzazi ikiwa ngumu wakati anajifungua mama mjamzito lazima aitwe daktari kuisolve tatizo sasa huyu ana bwabwaja ovyo na dada yake kakimbia sayansi kaenda arts anataka ifanyike anavyo waza yy
Si kweli hyo ni huduma ka huduma nyingine hyo kukumbushia ni uamuzi tuWanaume wanajua kupet pet sababu wanaweka akiba ya maneno, ukikutana nae siku nyingine anakukumbusha, dah we Dada uko bomba siku ile nakuzalisha nilkuwa naombea tuje tukutane nikukumbushe! NI utani tuu.
Sasa mbona ulikuwa unazunguka kote hukoo..Vidole ndio vinapima maana ndio vina feelings. Nikuambie kitu Ile sehemu Ina sura mbaya sana na Kuna zingine hazifai hata kugusa na kijiti sema tu Ni kazi.
Halafu mwanamke ukishamchunguza kwa ukaribu asilimia kubwa ukiomba mchezo unapewa ili nawewe akuone.
sababu ni kua hakuna athari yeyote impatayo mgonjwa endapo atahudumiwa na Dr wa jinsia tofauti na yakeUnaposema kwa nini tusitumie inatakiwa uwe na sababu,
jinsia haina mchango wowote kupelekea mgonjwa kupona, kinachosababisha mtu kupona ni taaluma ya daktarikusema tusitumie itifaki za jinsia bila sababu hiyo haiwi hoja,hoja ni kwa nini tusitumie.
kwani kipi ambacho hakina malalamiko?Hii nayo pia inalalamikiwa na watu wengi tu kwamba imempa raisi mamlaka makubwa,sasa huwezi kuitumia hii hoja ambayo pia ina malalamiko ati ukaifanya hoja ya juu ya jambo lingine lenye malalamiko pia.
kipi kinachokufanya uone upande ulioko wewe hauna mgongano?Yaani unatumia hoja yenye mgongano kumaliza mgongano,ilitakiwa uweke hoja ambayo haina malalamiko kuoneshma hii uliyoitumia.
ni kwasababu hizo ni protocols za upolisi sio udaktariSasa kama huko kupekua hakuhitaji taaluma kwa nini hata polisi wame asimpekue polisi wa kike ?
hii ni personal opinion, kwa polisi hata kama hayupo polisi wa kike zoezi la upekuzi haliwezi kukwama wakitaka kukupekua watamwita hata mpita njia yeyote wakike ilimradi tu awe na utimamu wa kiakili. lakini kwa bahati mbaya afya haichezewi kama kopo la kombolela kua yeyote tu anabutua na ndio maana hata hizi dispensary zinafanyiwa ukaguzi na watu wa idara ya afya kila kipindi kubaini kama kuna manesi ambao hawaja qualifyWakati yule anaepekuliwa pengine anatuhumiwa kinyume na mgonjwa ambaye hana tuhuma yeyote,hapo ilikuwa huyu anaepekuliwa apekuliwe na polisi yeyote yule
thamani ya jinsia ina compex kubwa kuliko thamani ya uhai?lakini mpaka katika mas'ala haya ya uhalifu bado wakaona kuna thamani ya jinsia lazima ilindwe,why isilindwe thamani ya jinsia katika mas'ala ya afya ambayo hayo ni mas'ala salama kabisa ?
sio hakizingatiwi bali kina mipaka, na ndio maana kuna wodi za wanaume na wodi za wanawake ila linapokuja swala la kutibiwa first priority ni nani mwenye ujuzi wa ku-fix huu ugonjwa na sio daktari gani au nesi wa jinsia ya kike amtibu huyu mgonjwaKigezo ni gender,kwa nini hiki kigezo cha gender hakizingatiwi katika fani hii ya afya ?
probably ameona mbali zaidi kuwa hawezi kuzi-handle hisia zake pindi mama yake akiugulia maumivu makubwa kutoka kwenye mikono ya mwanae hivyo akaamua amuachie daktari mwingine mwenye huo ujuzi.Kwa sababu daktari wa kiume utakuta anakataa kumzalisha mama yake ili ampate mdogo wake
assumptions zako ziko very irrelevant kwasababu basically sayansi haina mfumo wa dhana ya aibu. na ndio maana hata kama baba yako au mama yako anafundisha somo la sayansi hawezi kukwepesha maneno endapo atakua anafundisha eti kwasababu kuna mtoto wake yuko darasanihii maana yake kama gender na ule utu ungekua haupo basi hili lisingepatikana kabisa ingekuwa rahisi daktari kumzalisha mama yake.
.lakini hayo yote yanafanywa na pengine daktari hawezi kupangiwa kwao kuepuka hili jambo.
hakuna kitu kama hicho na wala usije ukajidanganya kua kuna mafunzo malumu ya upekuzi mapolisi hufundishwa, si lazima polisi wakike auu wakiume ndio akukague anaweza akachukuliwa mtu wa nyumba ya tatu kutoka kwako na akakukagua wao wakasimama ku verify tu.Ndio wanafundishwa kupekua kwa kupewa mifano wao kwa wao wanawake wapekuane,hachukuliwi mwanaume akatolewa mfano.hili niliwahi kulisikiia kwa baadhi ya askari wanalisema hasa wale wa kike.
atasubiria kwa muda gani?Mbona haina shida hiyo,kwa sababu watakuja watu wa jinsia yake atawahudumia vizuri,hiyo haina shida.shida ni kuja mtu wa jinsia tofauti na yeye.
kwanini wanafunzi woote wasipae one ya 7?Kwa nini pasiwe na obstetrician wa jinsia zote,inashindikana nini ?
hilo ni swali ambalo ulitakiwa ujiulizeNani kalazimisha mkuu ?
kwa namna gani?Hao wanafunzi ambao hawajaqualify inatakiwa waqualify
wamepewa sasa mitihani ya kuwapima hawajafaulu, unapendekeza njia gani itumike kama mbadala?sasa ili wamudu hayo mambo kwa sababu ni wanafunzi basi wanatakiwa wa qualify na kuanza kufanya kszi hizo.
wafanyeje sasa?Hakuna aliyesema kuwa ati wafanye hivyyo hivyo labda iwe hukunielewa tokea mwanzo.
serikali izalisheje ebu fafanua?Nakubali wanawake wengi ni nurse assistant,lakini solution yangu iko pale pale kuwa serikali izalishe madaktari wengi wa kike ili waje kupunguza au kuondoa hili wimbi
kwani mkakati currently tulionao hau-support kuwepo madaktari wa kike?sote tunakubaliana hapa kuwa kweli madaktari wa kike hawatoshi na ndio maana nikaanzisha uzi,sasa solution basi swrikali iqeke mikakati ya kuzalisha madaktari wengi wa kike kwa ajili ya kutibu hili janga.
mkakati upi huo mbona haupo specific?Unarudi kule kule kuwa madaktari wa kike ni wachache,solution ni kuweka mikakati itakayosaidia kuzalisha madaktari wengi wa kike ambao hata hao wakufanya operation watakuepo wa kutosha,na sidhani kama unaweza kuniambia kuwa wanawake hawawezi kumaster hizo kazi,sidhani.
mpaka hapo jinsia hai-matterAma nikijibu swali lako hapa huwezi kurudi na mgonjwa,atatibiwa na mwaume huyo huyo kwa sababu daktari mtaalamu wa kike hayupo.
tatizo umeweka mawazo bila kuweka njia ya namna gani kifanyike ili iwe hivyo, kusema tu serikali iweke mkakati unakua bado umetuweka gizani kwasababu serikali imetoa mpaka elimu bure kwa wanafunzi je ni mkakati gani huo haswa unaouona nje ya elimu?Na sikusema popote kwenye uzi wangu kuwa wanawake wasitibiwe na madaktari wa kiume,nilichosema madaktari wa kike wawe wengi.alafu pia serikali yenyewe itilie mkazo suala hili,na wala sikuja na personal conclusion kwamba ati wasitibiwe NO NO.
ukishasema madaktari wa "kike" hapo unakua unazungumzia gender, na ndio maana hukusema madaktari kwasababu hoja yako ingepoteza maana kwakua neno hilo lina wigo mpanaPale iliconclude kwamba ishu sio gender bali ishu ni uadimu wa daktari wa kike mzee.
najua haukukataa ila na ndio maana point yangu kubwa ni kua swala la gender kwa daktari ili kumtibu mgonjwa sio kigezo, ujuzi kwanza hilo la gender linakuja baadae hukoKitendo cha mimi kusema "Ikiwa ugonjwa huo anaeweza kutibu ni dokta wa jinsia tofauti na mgonjwa basi uzi wangu wala haukukataa kutibiwa.
sawaHii maana yake ni kuwa natanguliza maslahi ya kutibiwa na daktari wa jinsia tofauti endapo wa jisnia sawa hayupo.
anaweza akawepo na asimuhudumie mgonjwa wa jinsia yake kulingana na mgawano wa majukumu na hiyo ndio sababu moja wapo mpaka swala la gender kwa madaktari kupuuzwaSuala la jinsia kwangu litamata endapo dakatri bingwa wa jinsia ya mgonjwa atakuepo,na hiyo ndio point ya uzi wangu.
wataalamu wapo, na ndio maana ni ngumu kwenda hospitali ukarudi kwa kukosa huduma kwasababu wataalamu hawapoNdio maana sikusema wasitibiwe bali nilisema serikali iongeze wataalamu
halafu mara nyingi swala la udaktari linahusisha team ya watu zaidi ya wawili kwenye sensitive issues humo utakuta madaktari na manesi combined wanashirikiana. sasa ni ngumu kukuta daktari yuko ofisini anakula kiyoyozi haendi kutoa assist kwenye operation muhimu eti kwakua yupo mwenzake mwenye ujuzi kama wakelakini nikasema pia katika sehemu ambazo kuna madaktari wa jinsia zote wataalamu wa magonjwa husika basi swrikali itilie msisitizo kuwa katika hospitaki hizo wagonjwa watibiwe na daktari wenye jinsia sawa na hao.
hata kama sio kuokoa maisha ila mgonjwa hatakiwi kukosa huduma hata kama anaumwa jipu sehemu za siriKwa hiyo kwa kukufahamisha zaidi.
Mwanamke kutibiwa na mwanaume wakati ambapo daktari wa mwenzie wa kike hayupo Hili ni jambo ambalo kwangu kuna maslahi ya kuokoa maisha ya mgonjwa huyu hivyo siwezi kukataa.
ni sahihi ila ni ngumu kwa mazingira ya maisha yetu kuchagua daktari kama nyanya gengeni, wenzetu wame undergo unakuta kila familia ina daktai waoLakini mwanamke kutibiwa na dokta wa kiume wakati dokta wa kike mtaalamu pia yupo,sasa suala hili ndo serikali itilie mkazo kuwa atibiwe na mtu wa jinsia yake.
we unafikiri suluhu ya hii ni nini?Angalia katika kada ya afya hasa udakri usiangalie wanaongozaje katika mambo ama ujumla wake,hapa tunachoangalia ni jambo maalumu la udaktari,daktari wa kike ni wachache.
kama ambavyo hapo juu umesema kua madaktari wakike ni wachache kwahiyo kama unatumaini kuwapata madaktari wengine basi tegemea kuwapata katika kiwango hicho hicho kidogo otherwise uweke limitation kwa kuwawekea vikwazo wanaume ili wakike wapiteBado uwezekano wa kuwapata madaktari wa kike upo kama ambavyo hawa waliopo wamepatikana basi inawezekana kuwapata wengine kama hawa waliokuwepo.
usiseme hivyo kwasababu watu hufanya yale wanayoyapenda kwa interests zaoVingimevyo usema kuwa wanawake kiasili hawawezi kuwa madaktari.ila kama kuna ambao weweza basi mikakati ikifanyika pia itawezekana kuwapata wengine.
sio waliaminishwa, sayansi ni ngumu. hata wao huko nyuma kabla ya kuchagua michepuo walikua wakijionea utofauti wa sayansi na masomo mengineHapa tutaingia kwenye jambo lingine.
Mfano
Darasani kwangu asilimia ya wanafunzi kubwa walitaka kuwa madaktari lakini walikataa kuchukua sayansi kwa sababu ya kuaminishwa kuwa sayansi ni ngumu.
sayansi haihitaji motivation wala inspiration kwamba ukipewa nasaha masomo yatakua mepesiHawa walikuwa wanataka udaktari lakini walikwamishwa na sababu mbovu ambazo wangepewa nguvu ya ziada ya jihitaha pengine na kuhamasishwa basi wangeliweza kufikia malengo yao.
na katika sababu tunaangalia yenye mashiko sio ilimradi tuKumbuka kuna kila sababu inayomkwamishwa mtu asifikie analolitaka.
mkakati gani?Yes nao ni wasomi ila sio wasomi wa udaktari.
Solution ni kuweka mikakati za kuzalisha madaktari wengi wa kike ili htatizo hili liondoke.
Wanawake wengi hawajachagua sayansi kutokana na mazingira na sababu mbali mbali za kijamii na kisaikolojia lakini sababu hizi zikiangaliwa kwa upana wake na kutafutiwa ufumbuzi basi tunaweza kuzalisha madaktari wengi wa kike.
kwani CBG sio sayansi?Mfano wanawake wengi huambiwa kuwa sayansi ni kwa ajili ya wanaume,wengi huambiwa sayansi ni ngumu hivyo chukua japo CBG,utakuwa saikolojia zao zinakuwa hivyo wanaamini hivyo kizazi na kizazi.
Sababu zako hazina mashikoSababu kama hizi zikipigwa vita na nyinginezo basi tunapata madaktari wengi wa kike.
Ndio wanaweza endapo watakidhi vigezoWanawake pia wanao uwezo wa kuwa madaktari wala sio kwamba ni jambo special kwa mwanaume tu hapana,sababu ni nyingi sana.
Sio rahisiKama hivi leo idadi ya manesi ni wengi sana basi inawezekana oia idadi ya madaktari ikawa nyingi pia.
Kwamba kuna mikakati ikipangwa hata asiyejiweza katika masomo ya sayansi naye atabustiwa awe dokta?kwa sababu unesi na udaktari ni kada moja ila tofauti ni utaalamu kwa hiyo kama manesi wa kike wapo wa kutosha badi pia inawezekana na madaktari pia wakawepo wa kutosha wa kike ikiwa mikakati itapangwa.
Pendekezo lako ni lipi kwenye hiyo mikakati?Sasa hapo ndo inatakiwa mikakati madhubuti ambayo sio mikakati ya kyona matokeo mwaka mmoja ama miwili ijayo bali iwe mikakati ya kuanzia pengine miaka 10 mbele huko.
Mkakati upi huo ambao unaona haupo na ndio kikwazo?Ni jambo linahitaji mikakati madhubuti.
Ndio kutokana na kuachiwa hili suala kwa upana wake