Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Sasa kama wewe ni mbumbumbu utawezaje kuona mantiki iliyopo kwenye posts/ comments zangu?Hujaona ulionyesha umbumbumbu wako ni wapi? Soma comments zako utajua kweli wewe ni Mbumbumbu
Abdulrazack kwani wewe ujioni kuwa mbumbumbu?!😆Nimekuwaje mbumbumbu?
Umesema 'Nenda China.....' hivi mtu ambae sio Mbumbumbu anaweza kuandika umbumbumbu km huo ulioandika wewe MbumbumbuSasa kama wewe ni mbumbumbu utawezaje kuona mantiki iliyopo kwenye posts/ comments zangu?
China aende kufanya nini[emoji16]Nenda China uone kama kuna huo upuuzi wa makanisa
Hilo sio jina langu. Na wala sio muislamu.Abdulrazack kwani wewe ujioni kuwa mbumbumbu?!😆
Mbona hasiraMsitishe watu kwa hoja ya kanisa la Mungu kwani hayo mengine ya shetani?Rwanda washiriki wakubwa wa genocide walikuwa maaskofu wa hilo kanisa mnaloliita la Mungu.Wamekamatwa wengi tu Ulaya na wengine wanasakwa.Ndio maana Kagame hataki huo ujinga
Msifikiri mnayo sole rights ya kuwasemea watanzania wote na kuwaamulia mambo yao.Huo uwezo kawapa nani?
Kwani shida ipo wapi?Umesema 'Nenda China.....' hivi mtu ambae sio Mbumbumbu anaweza kuandika umbumbumbu km huo ulioandika wewe Mbumbumbu
Mkipewa hoja ngumu mnaanza kusingizia hasira eeh?Mbona hasira
Punguza umbumbumbu unajiaibishaKwani shida ipo wapi?
Abdulrazack unasema China hakuna makanisa, hiyo ni China plaza sio China Beijing utakuwa umesimuliwa habari za China.Hilo sio jina langu. Na wala sio muislamu.
Alafu mbumbumbu ni nyie
Yaaani nakuhakikishia. Kama mimi ni mbumbumbu wewe umevuka mstari wa kihiyo, kilaza na upumbavu kabisaPunguza umbumbumbu unajiaibisha
Ilo jina nimepewa lini ? Na Wapi nimesema China haina kanisa?Abdulrazack unasema China hakuna makanisa, hiyo ni China plaza sio China Beijing utakuwa umesimuliwa habari za China.
Una haki ya kuitwa mbumbumbu
Wewe eleza ulichokisoma kwenye hayo maandiko acha kua MbumbumbuSoma mmaandiko uelewee ndipo uje useme kanisa la Mungu nilipii
Hivi unaelewa maana ya Mbumbumbu au bado unajidhihirisha jinsi gani wewe ni Mbumbumbu kwa kuandika ulichokiandika?Yaaani nakuhakikishia. Kama mimi ni mbumbumbu wewe umevuka mstari wa kihiyo, kilaza na upumbavu kabisa
Giza gani?Raisi yupo Kimya si atoke aongee aisee..... Haoni hili Giza Lilo likumba Taifa yeye amenyamaza tu
Mambumbumbu hamkosekaniKanisa la Mungu ? toa ujinga wako hapa.!!
Hilo swali unajiuliza au unatuuliza? Toa jibu
Kwa hiyo Abdulrazack unataka kusema nini hasa ?Ilo jina nimepewa lini ? Na Wapi nimesema China haina kanisa?
Nenda China uone kama kuna huo upuuzi wa makanisa
Hata kwa kuiuza NCHI ikiwezekani na kufanya mengine yananayo na hayo? Acha kua Mbumbumbu weweAjabu acha watoe matamko ila nchi na serikali haifanyi kazi kwa matamko bali maslahi mapana ya nchi
wengi humu bendera kufuata upepo tu hata huo mkataba hamjausoma ila mnafuatisha mkumbo, haya kwa mfano wewe tuambie mkataba una page ngapi tuanzie hapo? Na kipengele gani kina shida ili kibadlishwe?Hata kwa kuiuza NCHI ikiwezekani na kufanya mengine yananayo na hayo? Acha kua Mbumbumbu wewe