Serikali na CCM walivyo na sikio la kufa lisilosikia dawa, tayari wanataka kuanzisha vita nyingine kubwa na hatari zaidi na Kanisa la Mungu

Serikali na CCM walivyo na sikio la kufa lisilosikia dawa, tayari wanataka kuanzisha vita nyingine kubwa na hatari zaidi na Kanisa la Mungu

Sasa kama wewe ni mbumbumbu utawezaje kuona mantiki iliyopo kwenye posts/ comments zangu?
Umesema 'Nenda China.....' hivi mtu ambae sio Mbumbumbu anaweza kuandika umbumbumbu km huo ulioandika wewe Mbumbumbu
 
Msitishe watu kwa hoja ya kanisa la Mungu kwani hayo mengine ya shetani?Rwanda washiriki wakubwa wa genocide walikuwa maaskofu wa hilo kanisa mnaloliita la Mungu.Wamekamatwa wengi tu Ulaya na wengine wanasakwa.Ndio maana Kagame hataki huo ujinga
Msifikiri mnayo sole rights ya kuwasemea watanzania wote na kuwaamulia mambo yao.Huo uwezo kawapa nani?
Mbona hasira
 
Hilo sio jina langu. Na wala sio muislamu.

Alafu mbumbumbu ni nyie
Abdulrazack unasema China hakuna makanisa, hiyo ni China plaza sio China Beijing utakuwa umesimuliwa habari za China.

Una haki ya kuitwa mbumbumbu
 
Abdulrazack unasema China hakuna makanisa, hiyo ni China plaza sio China Beijing utakuwa umesimuliwa habari za China.

Una haki ya kuitwa mbumbumbu
Ilo jina nimepewa lini ? Na Wapi nimesema China haina kanisa?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Yaaani nakuhakikishia. Kama mimi ni mbumbumbu wewe umevuka mstari wa kihiyo, kilaza na upumbavu kabisa
Hivi unaelewa maana ya Mbumbumbu au bado unajidhihirisha jinsi gani wewe ni Mbumbumbu kwa kuandika ulichokiandika?
 
Hata kwa kuiuza NCHI ikiwezekani na kufanya mengine yananayo na hayo? Acha kua Mbumbumbu wewe
wengi humu bendera kufuata upepo tu hata huo mkataba hamjausoma ila mnafuatisha mkumbo, haya kwa mfano wewe tuambie mkataba una page ngapi tuanzie hapo? Na kipengele gani kina shida ili kibadlishwe?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom