Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie
Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu Lissu hataibiwa kura zake ama nyani haoni kundule na hapa mkiibiana kura tusisikie tena mkilalamika kuwa mnaibiwa kura kwenye uchaguzi, kama nyie wenyewe ndani ya chama ni wezi huko nje itakuwaje.
Tatu, Tundu Lissu kudai alitaka kuhongwa na Abdul imebainika kwa andiko la Yericko Nyerere kuwa ni uongo mtupu na ulilenga kumdhalilisha kijana huyo
Nne, kuna watu diaspora na wafanyabiashara na wengine hawajasemwa ndani ya serikali wanaichangia chadema ili kuiangusha CCM.Kwangu hili naliona ni ndoto za mchana na mtu yeyote anayedhani CCM itashindwa na Chadema ni mpuuzi wa maisha.
Tano, Kuna wajanja ndani ya chadema ndio wanaongoza michakato ya hela yote, wengine pambaneni tu mkiumia na kufa ni upuuzi wenu wenyewe
Sita, Lissu amebainisha ndani ya taasisi ya chadema kuwa kuna mambo mengi ya hovyo, katika hali kama hii huwezi kushika dola.
Saba, Lissu ameonyesha kuwa bora tupambane kupata madiwani na angalau ubunge maisha yaende lakini kushika dola ni ndoto za mchana