Serikali na Hatima ya Tamthilia za kigeni zilizo lugha ya Kiswahili kwa Kizazi Chetu

Serikali na Hatima ya Tamthilia za kigeni zilizo lugha ya Kiswahili kwa Kizazi Chetu

Tamthimlia zote Dunia maudhui ufanana hata hzi za kiswahili ni ajenda na mpango maalumu wa kutengeneza kizazi mazombi kisichofikiri na wamefaulu Kwa hili,madirector wanajua huu mpango wenye lengo kuu ni kubomoa jamii na kuivunja kabisa taasisi ya ndoa kwa kupromote ufeminist na wateja wakubwa wa hizi tamthilia ni wanawake kwa sababu ni wanawake wachache sana wenye uwezo wa kutofautisha uhalisia na tamthilia wengi ucopy waliyoyaona kwenye tv na kuyaingiza kwenye maisha halisi,thus ndoa hazishikiki kwa sababu wanawake wameacha wajibu wao wa asili kwa kupotoshwa na hizi tamthilia
 
Sasa wee mwenye hoja mbona hatuoni hapa? Hicho unachokitaka wee hakiwezekani, unajisumbua buree tyuuh.

Narudia acha kupangia watu maisha.
Unasikitisha,
Kwa kifupi acha ujuaji kwa kitu usichoelewa au acha kutumika
 
Tamthimlia zote Dunia maudhui ufanana hata hzi za kiswahili ni ajenda na mpango maalumu wa kutengeneza kizazi mazombi kisichofikiri na wamefaulu Kwa hili,madirector wanajua huu mpango wenye lengo kuu ni kubomoa jamii na kuivunja kabisa taasisi ya ndoa kwa kupromote ufeminist na wateja wakubwa wa hizi tamthilia ni wanawake kwa sababu ni wanawake wachache sana wenye uwezo wa kutofautisha uhalisia na tamthilia wengi ucopy waliyoyaona kwenye tv na kuyaingiza kwenye maisha halisi,thus ndoa hazishikiki kwa sababu wanawake wameacha wajibu wao wa asili kwa kupotoshwa na hizi tamthilia
Asante,
Umetupa somo kubwa sana ndugu
 
Nenda upande wa setting ktk kisimbuzi chako alafu zifungie hizo channel 🤣,,

Ila utalalamikiwa sana familia na kuitwa dingi mkoloni kishenz🤣,,
 
Nenda upande wa setting ktk kisimbuzi chako alafu zifungie hizo channel 🤣,,

Ila utalalamikiwa sana familia na kuitwa dingi mkoloni kishenz🤣,,
Nimecheka sana,
Bora niwe dingi mkoloni ila hizo Tamthilia hazifai ndugu.
 
Mimi nashauri TANESCO ikate umeme muda mwingi ili watu wasitumie muda wa uzalishaji mali katika kuangalia hizi tamthilia za kituruki, etc
 
Upo sahihi kwa upande huo ila hayo mambo yanamatokeo mabaya kidogo kwa sababu jamii haioni kila siku.

Hizo Tamthilia nazungumzia sababu jamii inaona kila siku kuanzia asubuhi Hadi usiku hivyo imegeuka kama ndio mtindo wa maisha wa Kitanzania
Sanaa nayo ni ushindani na ni biashara. Ukikosa kuwapa watu wako kile kinachowaelimisha na kuwaburudisha wataangukia upande wa pili. Ni sawa na mke ushindwe kumpa stahili zake ndani, ataangukia kwa yeyote anaekidhi haja zake. Serikali imeshindwa kusimamia mambo hayo na haina uwezo wa kukataza mambo hayo maana wanapata misaada ya fedha huko,na ushoga ni wimbi la kidunia likiongozwa na wenye nguvu za uchumi,kama huna nguvu za uchumi subiri matokeo ila usizuie na ukizuia uwe tayari kuishi kama shetani.
 
Mambo ya new world hayo kama walivyofaulu kwenye vyakula vya GMO lengo ni kuzalisha mazombie kuondoa ile asili ili kuleta kizazi kisicho na maadili thus sio ajabu mzazi kulala na mwanao,jinsia moja kuoana,ndoa za wanyama nk.
Wahanga wakubwa ni waafrika kwa sababu tunao mda mwingi wa kupoteza kutazama visivyo tija.
 
Mimi nashauri TANESCO ikate umeme muda mwingi ili watu wasitumie muda wa uzalishaji mali katika kuangalia hizi tamthilia za kituruki, etc
Hilo ni suluhisho la mda mfupi, soluhisho la mda mrefu ni serikali kukataza Azam TV kuonesha hizo Tamthilia
 
Nmna zipo nyingi hiyo ni moja wapo, na kama isingekuwa moja wapo ya njia basi series na tamthilia nyingi kusinge kuwa na wimbi la couples za jinsia moja SAWA ?!
Angalia mambo kwa jicho la 3
Ndo nia kuu ya huu uzi kujadili ushoga, kwan mashoga wote hawa walianza kwa kutazama tamthilia?

Huwa hamna hoja nyingine?
 
Back
Top Bottom