Serikali na jamii kwa ujumla tuwasaidie bodaboda Arusha kutoka kwenye mtazamo usiofaa

Nilipokuwa Arusha nilishangaa sana kuona vijana wengi ni masela mavi na hawana hela,wenye hela na wanaopiga inshu za maana ni watu wazima

Sasa nikawaza baada ya miaka 20 Arusha patakuwaje,kama vijana wengi wasasa wapo hvyo na hawana inshu za kueleweka
 
Hilo ni tatizo la malezi na Sio tatizo la jamii.Mfumo wao wa malezi ndio unawashape wawe hivyo.
Hadi dini na elimu vikiwakolea ndipo wataweza kustaarabika
 
Ujanja mwingi ujinga..!
 
Endeleeni na harakati uchwara za kwenye software! Mnatumia watu wachache kuhitimisha tabia ya wote

Mazafanta kbs
 
Was chuga bhana[emoji23], jirani yetu hapa ni mchuga yeye na mkewe,mavazi yao sasa na walivyo wembamba na hile miguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nawaangaliaga naishia kusema hiiiiiiiiiiiii[emoji15]
 
Emmaculate asee huyu la mama alikua moto
 
Pichani dada maarufu mitaa ya Kijenge aliyefariki kwa ajali ya pikipiki mwaka jana. Alijulikana kwa jina maarufu LA MAMA. Huu msiba uliniuma sana. Ndoto zangu nyingi kwa huyu hayati "La mama" zilizimika.
Thread yooote kumbe lengo kuu ni point hii yako ya mwisho?🤣🤣🙌
 
Tamka Hayati La Mama kwa sauti
 
Wazee wa Arusha republic (USA) wazee wasiopenda fedhea
 
Was chuga bhana[emoji23], jirani yetu hapa ni mchuga yeye na mkewe,mavazi yao sasa na walivyo wembamba na hile miguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nawaangaliaga naishia kusema hiiiiiiiiiiiii[emoji15]
Mkuu huu muda wa kuwaangalia unautoa wapi? Mbaya iwe hata hawajui kama huwa unawaangalia na kuwashangaa haha
 
Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…