Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mkuu ni kweli hatuwezi shindana na serikali. Maana inaweza pigwa tena risasi juu ikaja chini kwa mtoa hoja. Nadhani ni Bunduki au aina ya Risasi zinazotumika.Mawazo mazuri na umeyawasilisha vema bila kutumia nguvu. Jeshi letu LA polisi lindeni usalama wetu.
kwani wananchi wanatawanywa kwa risasi ya moto?Inaonekana hizi risasi zinazotumika kwenye silaha zetu nyingine ni fake au zina tatizo flani. Mara kadhaa imetokea Polisi wanapiga Risasi Juu kutawanya watu. Yenyewe inakata kona na kwenda kumfuata mtu aliye chini.
Kuna haja Serikali iangalie hizi zinatengenezwa wapi. Isije ikawa ni za Kichina au wanatengeneza hapo Mbozi Mkoa wa Songwe. Inasikitisha. Tunajua makosa si ya Askari maana wao huwa hawahukumiwi kwa jambo hili. Basi angalau anayenunua hizo Silaha awe anawajibishwa.
View attachment 2232054
Ndiyo... Unataka watawanywe kwa kupewa tende? Wananchi wenyewe kwani watu basi?kwani wananchi wanatawanywa kwa risasi ya moto?
Kweli eenh?Watu mmekaa ki malalamiko sana, hujui kwamba risasi zinazopigwa juu zikirudi zinaweza kujeruhi mtu na hata kumuua?
Kama wewe hujali usalama wa maisha yako acha wanaojali walalamike.wewe baki na hizo akili zako siku yakikituta ndo utajua vizuri hichi wanachokizungumza watu.Watu mmekaa ki malalamiko sana, hujui kwamba risasi zinazopigwa juu zikirudi zinaweza kujeruhi mtu na hata kumuua?
kwa nini asitume blanks kutawanya watu badala ya kutumia risasi za moto?Inaonekana hizi risasi zinazotumika kwenye silaha zetu nyingine ni fake au zina tatizo flani. Mara kadhaa imetokea Polisi wanapiga Risasi Juu kutawanya watu. Yenyewe inakata kona na kwenda kumfuata mtu aliye chini.
Kuna haja Serikali iangalie hizi zinatengenezwa wapi. Isije ikawa ni za Kichina au wanatengeneza hapo Mbozi Mkoa wa Songwe. Inasikitisha. Tunajua makosa si ya Askari maana wao huwa hawahukumiwi kwa jambo hili. Basi angalau anayenunua hizo Silaha awe anawajibishwa.
View attachment 2232054
Blanks huwa hazina madhara so hazina haja ya kutumia.kwa nini asitume blanks kutawanya watu badala ya kutumia risasi za moto?
Kupiga risasi hewani kazi yake ni kutisha watu bila kuwadhuru ili watawanyike.Blanks huwa hazina madhara so hazina haja ya kutumia.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duh! shida ni risasi kukata kona kutoka juu na kumuelekea aliejeruhiwa au labda bunduki ndo haziko imara made in Ukraine zinapinda pinda toka juu kwenda chini? au tukague mikono ya askari inayumbayumba? au labda kichwani mwa askari aliona amelenga juu kumbe kamuweka mtu kwenye target?
mbona kama naona vya kuangalia ni vingi ati!
askari watuongezee mengine ya kitaalam