Wakikusikia wamiliki wa hizo polyclinic watakuchukia sana hahahaaNHIF inathulumiwa sana, hapa ninapoishi kuna jamaa alikuwa na dispensary ila Sasa hivi kaibadilisha kuwa polyclinic anaibia mfuko balaa, hakuna huduma yyte ya kibingwa inayotolewa hapo Zaid ya ma specialist kuja na ku sign form tu inasikitisha kwakweli.
Ila mimi imenitatiza. Nilikuwa nalipa 1.5m kwa binafsi na wategemezi 5.Vifurushi vimesaidia sana hasa katika Suala la Dawa ila kwingine ni pasua kichwa .
Samahani. Ni pungufu.Ila mimi imenitatiza. Nilikuwa nalipa 1.5m kwa binafsi na wategemezi 5.
Sasa hivi nalipa takriban 2.4 na huduma penguin.
Daa pesa nyingi sana angalia namna nyingine ya BimaIla mimi imenitatiza. Nilikuwa nalipa 1.5m kwa binafsi na wategemezi 5.
Sasa hivi nalipa takriban 2.4 na huduma penguin.
Hapa ndo tunaanzia, waliwezaje kukubali kuisajili kama Polyclinic.NHIF inathulumiwa sana, hapa ninapoishi kuna jamaa alikuwa na dispensary ila Sasa hivi kaibadilisha kuwa polyclinic anaibia mfuko balaa, hakuna huduma yyte ya kibingwa inayotolewa hapo Zaid ya ma specialist kuja na ku sign form tu inasikitisha kwakweli.
Nadhani Ummy yuko sahihi kuna Haja ya kijiridhisha UpyaHapa ndo tunaanzia, waliwezaje kukubali kuisajili kama Polyclinic.
Maana kabla ya kupitisha lazima wakague na kuona uwepo wa vitengo, mikataba ya wafanyakazi na wanaendelea ku-monitor utendaji wa kituo/day to day activities. Kama unabaki kulala ofisini ndo hapa tunarudia kijulacho ki nguoni mwako.
Kwenye fomu kuna namba ya simu ya mgonjwa na ya daktari wa mgonjwa.
Kuna mfumo unaweza kuona daktari yuleyule ameona wagonjwa at the same time and same date hospitali C, Y and Z. Huyo unamchukua ili kuwakirisha wenzie. Unashindwa ku-check hivi vitu??
Pia hand-writing haziwezi kuwa sawa. Ukipata fomu za aina hiyo nyingi si unajiongea?? Kisheria, hakuna entry inatakiwa kufanywa na mtu tofauti zaidi ya mhusika wa fomu/daktari.
Bongo kuongeza chumvi kwingi. Kwanza polyclinic nyingi zipo mjini sehemu ambazoo uelewa ni mkubwa na specialist wanajulikana sana. Yaani mgonjwa aje kutibiwa kwa gyno specialist x halafu amkute MD na akubali tu kirahisi tu kupata huduma. Halafu kwenye Polyclinic si specialist tu wapo kuna MD pia. Kwa sehemu kubwa makubaliano huwa ni kuwa kwa kila specialist anapewa sehemu ya fedha kwa kila mgonjwa anayemuona. Sasa itakuwaje umlipe MD halafu kwa mgonjwa huyohuyo umlipe specialist anayekuja ku-sign fomu! Kwa sababu consultation inayolipwa na NHIF ni Tshs.15,000 kwa mgonjwa.Hapa ndo tunaanzia, waliwezaje kukubali kuisajili kama Polyclinic.
Maana kabla ya kupitisha lazima wakague na kuona uwepo wa vitengo, mikataba ya wafanyakazi na wanaendelea ku-monitor utendaji wa kituo/day to day activities. Kama unabaki kulala ofisini ndo hapa tunarudia kijulacho ki nguoni mwako.
Kwenye fomu kuna namba ya simu ya mgonjwa na ya daktari wa mgonjwa.
Kuna mfumo unaweza kuona daktari yuleyule ameona wagonjwa at the same time and same date hospitali C, Y and Z. Huyo unamchukua ili kuwakirisha wenzie. Unashindwa ku-check hivi vitu??
Pia hand-writing haziwezi kuwa sawa. Ukipata fomu za aina hiyo nyingi si unajiongea?? Kisheria, hakuna entry inatakiwa kufanywa na mtu tofauti zaidi ya mhusika wa fomu/daktari.
Nadhani Ummy yuko sahihi kuna Haja ya kijiridhisha.
Kama yapo, ni uzembe.Bongo kuongeza chumvi kwingi. Kwanza polyclinic nyingi zipo mjini sehemu ambazoo uelewa ni mkubwa na specialist wanajulikana sana. Yaani mgonjwa aje kutibiwa kwa gyno specialist x halafu amkute MD na akubali tu kirahisi tu kupata huduma. Halafu kwenye Polyclinic si specialist tu wapo kuna MD pia. Kwa sehemu kubwa makubaliano huwa ni kuwa kwa kila specialist anapewa sehemu ya fedha kwa kila mgonjwa anayemuona. Sasa itakuwaje umlipe MD halafu kwa mgonjwa huyohuyo umlipe specialist anayekuja ku-sign fomu! Kwa sababu consultation inayolipwa na NHIF ni Tshs.15,000 kwa mgonjwa.
... NHIF itoe huduma zake kupitia hospitali za serikali peke yake! Huko private ni vijiwe vya kuibia mfuko and for sure hauna maisha marefu; wataufilisi soon.NHIF inathulumiwa sana, hapa ninapoishi kuna jamaa alikuwa na dispensary ila Sasa hivi kaibadilisha kuwa polyclinic anaibia mfuko balaa, hakuna huduma yyte ya kibingwa inayotolewa hapo Zaid ya ma specialist kuja na ku sign form tu inasikitisha kwakweli.
Hapa tunaanza na serikali kuimarisha kweli vituo vyake. Maana mpaka private wamesurvive ujue hitaji lao lipo.... NHIF itoe huduma zake kupitia hospitali za serikali peke yake! Huko private ni vijiwe vya kuibia mfuko and for sure hauna maisha marefu; wataufilisi soon.
Yaani kwa sasa tu wanachama wa NHIF wengi wanakimbilia hospitali binafsi, halafu ufute bima hospitali binafsi uende kuweka msongamano hospitali za Serikali. Huu ushauri wako utaturudisha 90kweusi... NHIF itoe huduma zake kupitia hospitali za serikali peke yake! Huko private ni vijiwe vya kuibia mfuko and for sure hauna maisha marefu; wataufilisi soon.
Hawa watu wanaweza, 2C imeondoka kwa kushindwa kudhibiti wizi.Yaani kwa sasa tu wanachama wa NHIF wengi wanakimbilia hospitali binafsi, halafu ufute bima hospitali binafsi uende kuweka msongamano hospitali za Serikali. Huu ushauri wako utaturudisha 90kweusi
Kwa Bongo kila kitu kinawezekanaBongo kuongeza chumvi kwingi. Kwanza polyclinic nyingi zipo mjini sehemu ambazoo uelewa ni mkubwa na specialist wanajulikana sana. Yaani mgonjwa aje kutibiwa kwa gyno specialist x halafu amkute MD na akubali tu kirahisi tu kupata huduma. Halafu kwenye Polyclinic si specialist tu wapo kuna MD pia. Kwa sehemu kubwa makubaliano huwa ni kuwa kwa kila specialist anapewa sehemu ya fedha kwa kila mgonjwa anayemuona. Sasa itakuwaje umlipe MD halafu kwa mgonjwa huyohuyo umlipe specialist anayekuja ku-sign fomu! Kwa sababu consultation inayolipwa na NHIF ni Tshs.15,000 kwa mgonjwa.
Trust the process πππHawa watu wanaweza, 2C imeondoka kwa kushindwa kudhibiti wizi.
Kwa uelewa wangu, vituo vya serikali vinaongoza kwa kutokuwa na daw au vitendea kazi. Lakini, mty anasema tutaenda kuongeza upatikanaji wa dawa, huku 2C ametoa. Kama vile dunia itasimama.
Badala ya kuongeza upatikanaji wa dawa ili hata huko kujaza 2C kusiwe na haja au nafasi huku uki-deal na wakaidi ndo uiondoe.
Kuna watu wataumia, Tanzanu si Dar-es-salaam tu.
Huu ushauri ka Nguvu za Giza... NHIF itoe huduma zake kupitia hospitali za serikali peke yake! Huko private ni vijiwe vya kuibia mfuko and for sure hauna maisha marefu; wataufilisi soon.
Mkuu, wewe ni daktarBongo kuongeza chumvi kwingi. Kwanza polyclinic nyingi zipo mjini sehemu ambazoo uelewa ni mkubwa na specialist wanajulikana sana. Yaani mgonjwa aje kutibiwa kwa gyno specialist x halafu amkute MD na akubali tu kirahisi tu kupata huduma. Halafu kwenye Polyclinic si specialist tu wapo kuna MD pia. Kwa sehemu kubwa makubaliano huwa ni kuwa kwa kila specialist anapewa sehemu ya fedha kwa kila mgonjwa anayemuona. Sasa itakuwaje umlipe MD halafu kwa mgonjwa huyohuyo umlipe specialist anayekuja ku-sign fomu! Kwa sababu consultation inayolipwa na NHIF ni Tshs.15,000 kwa mgonjwa.
Kwa uzalendo uliotukika ni vyema tukazitaja kwa majina hizi polyclinicNHIF inathulumiwa sana, hapa ninapoishi kuna jamaa alikuwa na dispensary ila Sasa hivi kaibadilisha kuwa polyclinic anaibia mfuko balaa, hakuna huduma yyte ya kibingwa inayotolewa hapo Zaid ya ma specialist kuja na ku sign form tu inasikitisha kwakweli.